uongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwl.RCT

    SoC03 Maadili ya Uongozi: Hadithi ya Simba Mfalme na Nyani Mjanja

    MAADILI YA UONGOZI: HADITHI YA SIMBA MFALME NA NYANI MJANJA Imeandikwa na: Mwl.RCT Katika hadithi hii, nataka kufikisha ujumbe kuhusu maadili ya uongozi na jinsi yanavyoathiri jamii. Hadithi yangu inahusu simba, mfalme wa wanyama, na nyani, mshauri wake. Hadithi yangu inatokea katika hifadhi ya...
  2. Mwl.RCT

    SoC03 Karma na Uongozi: Jinsi matendo yetu yanavyoathiri Jamii

    KARMA NA UONGOZI: JINSI MATENDO YETU YANAVYOATHIRI JAMII Imeandikwa na: Mwl.RCT **************** Kuna kijiji kimoja kilichokuwa kikiishi katika umaskini mkubwa na matatizo mengi. Kiongozi wao alikuwa mtu mwenye tamaa na kujali maslahi yake binafsi badala ya maslahi ya jamii. Mmoja wa wakazi wa...
  3. KENZY

    Ni sahihi wanawake kuwapa uongozi au tunajipiga mtama sisi wenyewe..??

    Kichwa cha habari hapo juu hakina lengo ya kudhihaki jinsia bali ni mada ambayo ningependa tuiangalie kwa mapana!.. Binafsi wanawake na uongozi hili jambo linanipa ukakasi zaidi nazungumzia uongozi ktk taasisi kubwa kubwa,ukakasi unanishika zaidi kutokana na hulka za hivi viumbe kitabia,mawazo...
  4. mwanamichakato

    Kusudi la Mungu na uongozi wa Tanzania-simameni katika kweli, haki na toba-msiogope

    Mwenyezi Mungu ni mwingi wa uweza mkuu, Mwenyezi Mungu ni mkuu mno. Aliwatambua na kuwateua hata kabla hamjazaliwa. Naamini hakuna kiongozi yeyote anapata uongozi kwa mapenzi yake mwenyewe bali makusudi ya Mwenyezi Mungu muumba mbingu na nchi. Uongozi ni fulushi zito mnoo ambalo kama si kwa...
  5. The Supreme Conqueror

    Nimeitazama hii video kwa makini hakika Uongozi ni jalala

    Nyerere,JPM na Sasa Ruto
  6. M

    SoC03 Kuunda Mabadiliko ya Kweli: Kukuza Utawala Bora na Uwajibikaji katika Siasa na Uongozi

    Kukuza Utawala Bora na Uwajibikaji katika Siasa na Uongozi Utangulizi Utawala bora na uwajibikaji ni mambo muhimu katika kujenga jamii imara na yenye maendeleo endelevu. Katika andiko hili, tunapendekeza mabadiliko yanayolenga kukuza utawala bora na uwajibikaji katika uwanja wa siasa na...
  7. Mwl.RCT

    SoC03 Tofauti Kati ya Kiongozi Bora na Mtawala Mbaya: Sifa za Uongozi wa Kidemokrasia na Utawala wa Kiimla

    TOFAUTI KATI YA KIONGOZI BORA NA MTAWALA MBAYA: SIFA ZA UONGOZI WA KIDEMOKRASIA NA UTAWALA WA KIIMLA Imeandikwa na: MwlRCT UTANGULIZI Katika historia ya binadamu, kumekuwa na watu waliopewa jukumu la kuongoza na kutawala jamii zao. Hata hivyo, si kila mtu aliyekuwa na jukumu hilo alikuwa na...
  8. Stephano Mgendanyi

    Dkt. Damas Ndumbaro amekutana na kufanya mazungumzo na Uongozi wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania na Uongozi wa Jumuiya ya Mabohora Tanzania

    WAZIRI DKT. DAMAS NDUMBARO AMEJADILI MCHAKATO WA KATIBA MPYA NA TAASISI ZA DINI MBALIMBALI Waziri wa Katiba na Sheria, Mheshimiwa Dkt. Damas Ndumbaro amekutana na kufanya mazungumzo na Uongozi wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania na Uongozi wa Jumuiya ya Mabohora Tanzania tarehe 13 Mei, 2023...
  9. Yoda

    Pakistan na siasa za aina yake, uongozi huko ni jasho na damu

    Hili taifa miaka yote tangu kuanzishwa kwake huwa liko katika migogoro ya kisiasa. Mawaziri wake wakuu rasmi wote 18 waliowahi kuingia madarakani hakuna aliyewahi kumaliza awamu yake ya uongozi. Lazima moja kati ya kuuwawa, kupinduliwa, kuondolewa kwa kura ya kutokuwa na imani au kujiuzulu na...
  10. Suzy Elias

    Bashe punguza kujiamini kana kwamba una hisa ki uongozi na aliyekuteua

    Bwana mdogo Bashe kwa siku za hivi karibuni umeonyesha hali ya kujiamini iliyopitiliza huku ukisahau kwamba wewe ni mteule na mda wowote uteule wako unaweza kutenguliwa. Tatizo la vijana wengi huwa mnavimba vichwa mnapopata kuaminiwa na kusifiwa na mteule japo kwa mambo kadha wa kadha...
  11. Msanii

    Mungu anaratibu anguko la CCM. Hakutakuwa na ombwe la uongozi

    Umofia kwenu nyote, Nimefuatilia kwa jicho la uchambuzi nimengundua Kuna kani (nguvu) isiyo ya kawaida inatendakazi kwa namna ya ajabu sana. Niliwahi kuandika kuwa Mungu ameondoa kauli kwenye midomo ya watawala kuanzia juu hadi ngazi za chini. Mungu amesikia kilio chq Watanzania. Mungu...
  12. GENTAMYCINE

    Uongozi wa Simba SC tafadhalini tutengeeni Siku Maalum kwa Sisi Mashabiki 'Kuwapiga' Wachezaji wetu Wanaozingua

    Mkiruhusu Wachezaji wafuatao watakuwa wanachezea sana Vipigo vyangu kwani ndiyo Wanatugharimu pakubwa Simba SC ila kwa Unafiki na Upopoma wetu tunajifanya hatujui na hatuoni..... 1. Clatous Chama 2. Henock Inonga 3. Said Ntibanzonkiza 4. Pape Ousmane Sakho 5. Shomary Kapombe 6. Kibu Denis 7...
  13. benzemah

    Miradi ya uwekezaji nchini imeongezeka kwa 16.5 ndani ya Mwaka chini ya Uongozi wa Rais Samia

    Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu imeendelea na juhudi mbalimbali za kuhamasisha na kuvutia uwekezaji nchini. Akiwasilisha Bajeti ya Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara, bungeni hii leo Mei 04 2023 Waziri wa Wizara hiyo, Dkt Ashatu Kijaji ameeleza kuwa katika kipindi cha...
  14. THE FIRST BORN

    Uongozi wa Yanga Chini Ya Hersi tuupeni Maua yake

    Yanga For Many Years ilikua inajitafuta sana kiukweli ilikua inajitafta na hilo halina ubishi na katika misimu iliyokua inajitafta simba ilipiga hatua kubwa sana japo hayo mafanikio ya simba yanaanza kupoteza nguvu ikiwa ndio mwaka mmoja wa Hersi pale yanga. Hersi ndani ya mwaka mmoja wa...
  15. IamBrianLeeSnr

    Uongozi Simba SC waapa kuandika rekodi Afrika

    Uongozi wa Simba SC umeweka wazi kuwa, mpango kubwa ni kuandika rekodi nyingine ya kumvua ubingwa bingwa wa taji la Ligi ya Mabingwa Afrika, Wydad AC ya Morocco. Simba SC inayonolewa na Kocha Mkuu, Roberto Oliveira maarufu Robertinho, leo Ijumaa (Aprili 28) ina kibarua cha kuhakikisha inatinga...
  16. benzemah

    Pius Msekwa akoshwa na uongozi wa Rais Samia

    Spika mstaafu wa Bunge, Mzee. Pius Msekwa, amesema maridhiano ya kisiasa vya yaliyofanywa na serikali dhidi ya vyama upinzani, yamedumisha utulivu na kuondoa migogoro ya kisiasa huku akisisitiza njia sahihi ya kutatua kero za muungano ni njia ya mazungumzo. Msekwa alitoa kauli hiyo nyumbani...
  17. L

    Serikali ya Rais Samia imeleta tabasamu na matumaini katika kila Sekta

    Ndugu zangu, Mnyonge mnyongeni Haki yake mpeni, Serikali ya Rais Samia imeleta Tabasamu na matumaini katika kila secta, Leo hii ukiangalia na kufuatilia kila secta utagundua na kuona kuwa Rais Samia amefanya uwekezaji na mapinduzi makubwa katika kila secta inayogusa maisha ya mtanzania, kila...
  18. OKW BOBAN SUNZU

    Goli 2 za Shirikisho ni sawa na offtarget 1 ya Championship

    Hutaki unaacha 🤣🤣🤣
  19. Dr Matola PhD

    Ushauri muhimu kwa uongozi wa Yanga na mashabiki wa Yanga, hatutaki hadithi ya Simba na Jwaneng Galaxy

    Ni wazi mashabiki wengi wa Yanga wanaamini kazi imeisha, kilichobaki ni kumaliza kazi Dar. Mimi niko kinyume, kazi ndio imeanza, mpaka sasa hatuna deni na wachezaji wetu na benchi la ufundi kwa sababu wameshavuka malengo yaliyowekwa kuingia kwenye makundi, wanachotupa kwa sasa ni bonus tu...
  20. T

    Ukiondoa Mawaziri, Wakurugenzi, wakuu wa Idara, mikoa na wilaya' wengine Serikali iwaagizie baiskeli ili kuokoa uchumi unaokufa

    Shalomu Tanzania' Kwanza, itasaidia sana, pesa nyingi zilizoelekezwa kununua magari ya viongozi, bajeti yake ielekezwe kwenye maendeleo. Bajeti ya kunywesha mafuta magari hayo kwa mwaka mzima, pia ielekezwe kwenye maendeleo na bajeti hiyo itumike kama nyongeza ya mshahara kwa wafanya kazi...
Back
Top Bottom