Ninasikitika sana Kuona kocha mzawa (Mexime) Kuleta Maigizo kama vijana vijana Wa TikTok ya kuwatania Simba SC Kuwa hawaleti timu badala ya kuchanganua mbinu namna gani ya kumkabili Mpinzani wake (Simba SC).
Kocha na benchi lake la Ufundi wamejisahau kabisa wanacheka Cheka tena na kutokumbuka...
Kwa wataalam wa masuala ya Ulinzi na Usalama aibu waliyoipata SADC baada ya Mission yao kufeli nchini Congo DRC, sio jambo lililotokea kwa bahati mbaya.
Baada ya kuingia siasa za ushindani kusini mwa Bara la Afrika, Vyama vinavyofahamika kama vyama vya ukombozi ambavyo vingi vinatawala nchi za...
Nimesikia hotuba ya Lissu katika sherehe za siku ya wanawake duniani iliyoandaliwa na BAWACHA. Hotuba hiyo ilidhihirisha kwamba hakuna mpango kazi wowote wa "no reform no election".
Tundu Lissu alionekana kujivua lawama kuhusu kauli hiyo na kusema iliasisiwa na uongozi uliotangulia.
Kwa...
Uongozi wa Yanga mnataka kutingisha kiberiti ila sidhani kama mmefikiria vya kutosha madhara ya haya mnayofanya.
Kuna matendo mengi ya hovyo mmehusishwa nayo ambayo yalifukiwa kwa sababu za kisiasa. Huku mnapokwenda tutalazimika kuyafukua na hamtabaki salama.
1. Tutafufua udhamini usio halali...
Kiukweli ukiangalia matukio mengi ya mpira kwa Tanzania chanzo ni uongozi mbovu tunafanya mambo kwa kubembelezana sana hakuna professionalism kabisa
Ligi ya series A wanaadhibu timu bila kujali ukubwa juventus walishashushwa daraja na ac milan kukatwa point
Mpira wetu ili uendelee tunatakiwa...
Tukiwaambia kuwa nyimwa vitu vyote na Mwenyezi Mungu ila siyo Akili na uwezo wa kuona mbali mambo na kuyakabili haraka mnakuwa wagumu Kuelewa. Ni kwamba kama kuna Kosa la Kiufundi ambayo Uongozi wa Yanga SC na hasa Kurugenzi yao ya Mawasiliano na Habari imefanya ni Kukaa kimya kwa kutokutoa...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi ameufuta Uongozi wa Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBRC) baada ya uchunguzi wa tuhuma mbalimbali zilizowasilishwa na wadau wa mchezo wa ngumi.
Taarifa kutoka Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imeeleza...
Katika kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wanawake, hakuna mfano bora wa mwanamke shupavu, mwenye maono na anayevunja vikwazo kuliko Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan. Safari yake ya uongozi si tu fahari kwa Tanzania bali pia ni mwangaza kwa wanawake duniani...
bora
duniani
katika
kimataifa
kina
mfano
rais
rais samia
rais samia suluhu
rais samia suluhu hassan
samia
samia suluhu
samia suluhu hassan
siku
suluhu
uongozi
wanawake
Nimefika clinic ya NHIF saa 08.03, hadi kutika saa 09.15 hakuna daktari vyumba vyote 1-3. Maelezo yanatolewa kuwa wako "round". Tunadubiti dakika kama kumi anapatikana daktari mmoja( chumba no1).
Kuna wagonjwa zaidi ya 50, tunasubiri kudra ya wakuu hawa. Sasa ni saa 09.57 hakuna dalili ya...
Ndio unaweza niita Mkoloni au Mfuasi wa Mfumo Dume , Vyovyote vile iwavyo, ukweli ni kwamba, Kuna Nafasi za Kiuongozi na Kiutendaji hazitakiwi kupewa Wanawake Kwa sababu tu ni Wanawake !!.
Badala yake ni Lazima Wanawake wao wenyewe kuonyesha Uwezo na uthubutu wao Kila sehem waliyopo ili...
Tunafahamu kuna ujenzi wa daraja maeneo ya msasani barabara ya kuelekea stendi mpya inaendelea na ni sehemu ya juhudi za serikali katika kuboresha miundo mbinu,ila kosa la kwanza mlilofanya ni kumpa tenda mkandarasi asiye na weledi kabisaa kabisaa,kwa maarifa yangu madogo alipaswa ajenge njia...
Leo,kwenye mkutano wa viongozi wa AFC/M23 huko mjini Bukavu, Kivu kusini, katika mkutano wa hadhara baina ya uongozi wa M23 na raia wa Bukavu, jeshi la serikali liliandaa shambulizi kutumia Drones, kwa bahati mbaya zote zilidunguliwa kabla hazijafika zilikokuwa zimeelekezwa.
Siku mbili...
Baadhi ya Taasisi zilizoanzishwa na Rais Mkapa;
1.TAA
2.TCRA
3.PPRA
4.BRELA
5.EWURA
6.TACAIDS
7.SUMATRA
8.TANROADS
9.TAKUKURU
10.TRA.
11.MKUKUTA.
12.MKURABITA.
13.HESLB
Baadhi ya Taasisi zilizoanzishwa na Rais Samia.
1. Samia Legal Aid
2. Goli la Mama
3. Samia App
4. Kazi Iendelee
5. Generation...
https://www.youtube.com/watch?v=BQDpwewcZEw
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Maadhimisho ya Miaka 10 tangu kuanza kwa mafunzo ya Uongozi kwa Wanawake Tanzania (Female Future Program) pamoja na Mahafali ya Wahitimu wa Awamu ya 10 ya Mafunzo hayo...
Mwaka jana miezi kama hii walitutembelea maofisa wa bank ya CRDB tawi la Livingston na kutushauri kutuongezea mtaji kwa kutupa mikopo, sisi wafanyabiashara wa hali ya chini tulichangamkia fursa kwa kwenda bank kufungua account na kupata fomu za mkopo huo ulioitwa mkopo wa Mama Samia
Matokeo...