Salaam, Shalom!!
Baada ya Pope wa Katoliki kuwadissapoint waumini, Mzee wa Upako,kama anavyojiita, Tingatinga, ametoka hadharani na kuhalalisha pombe Kwa waumini wake.
Ameongea hayo madhabahuni kuwa, BIBLIA haijakataza POMBE,Wala KULEWA, Bali Biblia imekataza ULEVI.😳😳 Amejiumaumaaa...