Wakuu,
Bila shaka mmewahi kuusikia Wimbo wa 'Nina siri na Yesu', ukiimbwa na mwimbaji mashuhuri wa nyimbo za injili kutoka nchini Rwanda mwenye asili ya Congo, Israel Mbonyi.
Sasa siku kadhaa zilizopita alitoa wimbo wake mpya ukienda kwa jina 'Nitaamini'. Ni wimbo mzuri mno, lakini napenda...
kuna watu kama watatu baada ya kumbilia kwenye makanisa ya upako ya uamsho wa kisasa waliingia wazima ila baadae wanasumbuliwa na mapepo.
Siku ya jumapili imegeuka kama siku ya leheso ya kutoa mapepo hayo kisha jumapili ijayo zoezi linajirudia tena.
Wafanyamazingaombwe na waganga wengi...
Nimetafakari kwa kina kuhusu kuibuka kwa makanisa ya upako wa mafanikio.
Kikubwa nilichogundua ni kuwa Tatizo kubwa ni umasikini na matatizo ya aina tofauti tofauti.
Kwangu mimi ninaweza kusema kwamba kuibuka kwa makanisa mengi ya aina hii si ishara kwamba Wengi wanamtafuta Mungu saana, la...
Hivi karibuni Kumeibuka Madhehebu mengi ya kikristo Nchini na hata nje ya nchi ndani ya Afrika yakijinasibu kwamba yanagawa upako kwa kutumua vifaa walivyokuwa navyo wengine wakitumua mawe (Jiwe jeupe la upako), wengine udongo, wengine busu, wengine mafuta na maji ya upako.
Hata hivyo hivi...
ASKOFU LUSEKELO: TEC WAMEPOTOKA KWA KUTOA ANDIKO LA MKATABA WA BANDARI
Askofu Kanisa la Tutashinda, Antony Lusekelo ametoa maoni kuhusu Waraka wa uwekezaji wa Bandari uliotolewa na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) akidai kitendo kilichofanywa na Baraza hilo kutoa Waraka hadharani...
Kwa hakika haupo udini hapa!
Amesema "Naongea mambo ya moyoni sikurupuki, sijakurupuka. Haya ninayoongea yatabaki kwenye hansadi mbele za Mungu na katika historia ya nchi hii."
Ameongeza "Wanalalamika kuwa tumetoa Waraka na haujasomwa kwenye vyombo vya habari vya kimataifa. Nani atasoma waraka...
Ndugu wanajamii, kuna utofauti upi wa kiimani Kati ya maji ya "baraka " na maji "ya upako"?
Je, tofauti pekee ni, yale mengine kuuzwa? Au kuna tofauti zingine za ziada?
Je, mkate wa Bwana na keki ya upako Vina tofauti gani?
Nashawishika kuamini kuwa bulldozer ana"copy" vitu upande wa...
Nahitaji mtu mwenye sifa tajwa,Kwa ajili ya kupata ufumbuzi wa changamoto zangu.
Ni vizuri asiwe mwamposa Wala kuhani musa Wala manabii uchwara.
Natanguliza shukrani zangu za dhati
17 February 2023
Rais wa baraza la manabii na mitume Tanzania Dr. Joackim Peter Kimanza ... shalom waTanzania tupo mbele yenu katika uamsho wa kuwafikia watanzania mpaka ngazi za Vijiji.. kuweza kufikia hilo mimi kama rais wa baraza ninawateua wafuatao ...
Toka maktaba :
Habari za muda huu wakuu..
Naomba niende kwenye maada husika. Mimi ombi langu kwa serikali ni kua.. Wale manabii wanaouza maji ya upako wasajiliwe na mamlaka za maji (ewura) ili na wao walipe kodi.. vivyo hivyo mafuta nao ... maana hiyo imekua ni biashara kubwa watu wanatumia shida zetu...
Habari za muda huu wakuu,
Naomba niende kwenye maada husika. Mimi ombi langu kwa serikali ni kua wale manabii wanaouza maji ya upako wasajiliwe na mamlaka za maji (EWURA) ili na wao walipe kodi vivyo hivyo mafuta nao, maana hiyo imekua ni biashara kubwa watu wanatumia shida zetu kujinufaisha...
Ni wazi kwamba toka Tanzania ipate uhuru, Nabii Mkuu Mheshimiwa Dr Geor Davie wa Ngurumo ya Upako na Msemaji Mkuu wa Serikali na Ufalme wa Mungu hapa Duniani ndie mtu maarufu kuwahi kutokea katika mkoa wa Arusha.
Umaarufu na ushawishi wa Nabii Mkuu umefanya sasa hata wanasiasa wa mkoa wa Arusha...
Jambo wadau?
Naingia kwenye mada moja kwa moja pasipo kuwachosha na maneno mengi. Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikifuatilia upako wa manabii na mitume jinsi wanavyoanza huduma zao kwa pako za hali ya juu sana lakini baada ya muda zile pako huanza kufifia taratibu na kuisha kabisa. Nabaki...
Mamia ya masheikh wamelaani watu wote wanamkashfu Nabii Mkuu Mheshimiwa Dr. Geor Davie wa Ngurumo ya Upako. Mashehe hao wanasema Nabii mkuu ni nabii wa kweli, nabii anaewapenda watu wote na anaewajali watu wote.
Mashehe hao wameitaja JamiiForums kuwa watu wanamtungia uzushi Nabii kwa kumuandika...
Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC) nchini Tanzania, Anthony Lusekelo ‘Mzee wa Upako’ ameonyesha sura mbili katika sakata la tozo za miamala ya kielektroniki.
Amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan imeonyesha usikivu kwa umma baada ya kupungua na kufuta...
Pamoja na mapungufu yake yote, Mzee wa Upako ni mmoja wa viongozi wachache wa dini waliojitokeza hadharani kukemea kitendo cha wewe kuwekwa ndani bila kujali gharama anayoweza kulipa kwa uamuzi wake huo.
Hivyo, Mheshimiwa Mbowe, katika kuonyesha shukrani zako kwa vitendo, nakushauri Jumapili...
Ni siku ya tatu sasa akihutubia ktk moja ya safu ya mafundisho yake katika jamii. Askofu wa Kanisa la TAG hapa Ubungo Kibangu Maarufu kama Mzee wa Upako ametoa maoni yake juu ya kesi anayohisi huenda ni ya kuzingizia ya Ugaidi dhidi ya Mbowe.
Askofu huyo licha ya kudai kuwa wafuasi wa chama...
Katika Huduma za Kiroho mbalimbali ndani na nje ya nchi kumekuwa na shuhuda za hadharani kabisa kuhusiana na matumizi ya bidhaa za upako kama mafuta, maji, vitambaa, bangili, keki nk. Nyingi za shuhuda hizi zimekiri nguvu iliyomo ndani ya bidhaa hizi ikiwemo nguvu ya kufisha baadhi ya...
Haya yamesesmwa na Mzeee wa Upako Mchungaji Antony Lusekelo ktk moja ya video clip inayoenea mitandap ya kijamii kwa kasi.
Amesema siasa za chuki, uhasama, kujilimbikizia madaraka na mali ni za kijinga na zimepitwa na wakati.
Sikiliza mwenyewe hapa.
Jiwe limetupwa Gizani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.