Duuh nimeona leo kwenye mahubir ya mzee wa upako kuwa yeyote anaekataa kuchanjwa chanjo ya corona huyo ni 'zombi'' tena amefika mbaali zaidi na kusema kuwa gwaji boy nae anapotosha watu kwa kuwazuia kwenda kuchanjwa kwahyo nayeye ni zombi.
Habari!
Nimeongea na mama nitilie kadhaa nimegundua kuwa sasa wameamua kuachana na waganga wa kienyeji katika kukuza biashara zao. Na sasa wameamua kutumia mafuta na maji ya upako ambavyo vinapatikana kwa bei ndogo na kwa uwazi.
Bila kujali dini au madhehebu yao wamama na wadada hawa...
Salute to all my fathers, mothers, brothers, sisters and my age mates in this social forum.. straight to the topic of discussion.
nimekuwa nikisikia tetesi nyingi sana hasa kwa makanisa mengi na watumishi wa mungu humu nchini kuhusu maji ya upako.
kuna siku nilikuwa kijiweni muda fulani...
Jana nilimsindikiza shostisto wangu kwa nabii. Kilichompeleka yeye ni shida na changamoto za mahusiano yake. Mume mlevi, mume Malaya Kama mbwa, mume bahili, hajali ndoa Wala familia. Hajali ndugu zake Wala wa mkewe. Mume mgumu Kama ndevu za gaidi wa Mkuranga.
Rafiki yangu huyu aliniomba...
Nimemfuatilia kwa karibu sana mwanzo mwisho na nilichojifunza ana mafundisho mazuri sana ila kuna kosa kubwa amefanya la kutaka Wanafunzi wa UDSM kuwa ni wakosoaji wa Watumishi wa Mungu huku wakiwa hawaelewi chochote kuhusu imani.
Anaendelea kusema Utumishi ni taaluma unapaswa kuheshimiwa na...
Poleni na majukumu ya hapa na pale sasa na kale yanayowafanya msilale, niende moja kwa moja kwenye mada husika.
Kama kweli maombi yanafanya kazi kwa namna ambayo tunaaminishwa, kwanini viongozi wa dini wameungana kutekeleza agizo la kuvunja mirundikano ikiwemo mijumuiko ya kiibada ili kuikwepa...
Kibwagizo cha mwezi
Nasikitika sana, tena sana, kwa msiba mkubwa uliotokea Moshi, Kilimanjaro, kwa Wakristo waliokuwa wakigombea kukanyaga “mafuta ya upako”. Roho za marehemu ndugu zetu zipumzike kwa amani. Amina.
Lakini pamoja na simanzi hii kubwa, ni fursa ya kukumbushana tena jambo. Mungu...
Waumini 18 wa Dini ya Kikristo wamefariki dunia usiku huu mjini Moshi, wakati wakikanyagana kugombea kukanyaga mafuta ya upako katika kongamano la kidini la Mtume Boniface Mwamposa, DC wa Moshi Kippi Warioba amethibitisha
Updates: 00:45
Idadi ya watu waliopoteza maisha kwa kukanyagana imefikia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.