Habari JF,
Kuna kero kubwa katika Mtaa wa Wikichi, Halmashauri ya Mji wa Njombe, inayosababishwa na wachimbaji na wapasuaji wa miamba ya mawe kwa ajili ya ujenzi.
Wachimbaji hao wanatumia vilipuzi kama baruti vinavyosababisha milipuko mikubwa na mitetemo inayofanana na milipuko ya mabomu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.