Habari za usiku ndugu zangu.
Kilicho nileta hapa ni kujua jinsi gani naweza pata hati ya tabia njema. Mahali inapopatikana, vitu ambavyo natakiwa niwe navyo na gharama.
Kwa kumbukumbu zangu, sikumbuki ni lini na kwa namna gani Mbowe, Lipumba na Mbatia walikwamisha "nia njema ya CCM" ya kuunda katiba mpya.
UVCCM hebu mjifunze kusoma matukio hata kama mlikua hamjapevuka bado. Msiwe wajinga kupitiliza, siasa ni sayansi na sio uropokaji.
Ile sherehe mliyofanya...
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI
TAARIFA FUPI KUHUSU TAARIFA ZINAZOZUNGUKA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII (SOCIAL MEDIA) JUU YA KUSHUKA KWA BEI YA MAYAI NCHINI
15 JUNI 2021
1. UTANGULIZI
Tarehe 15/06/2021 Wizara ya Mifugo na Uvuvi iliona ujumbe unazunguka kwa njia ya...
Kama mtu umelazimishwa kufanya kitu ulichokuwa hukiamini ni vigumu sana kukitekeleza kwa ufanisi. Kuratibu ni pamoja na Kuagiza, kusafirisha, kutunza, kusambaza na kuhamasisha jamii waliyoiaminisha chanjo hazifai ili ipate chanjo.
Kuhamasisha jamii kunawa mikono tiririka.
Kuhamasisha watu...
Poleni kwa mahangaiko ya dunia hii ndugu zangu. Poleni wahanga wenzangu mliopitiwa na wezi.
Ushauri kwa serikali: Kuna haja ya kuona namna ya kuweka mazingira wezeshi kwa wazee wa mila kuanzisha mahakama na kutoa hukumu kimila.
Katika kupambana na wizi au uhalifu katika jamii, baadhi ya nchi...
Habari wataalam,
Nataka nijenge nyumba ndogo kwa mjengo wa stail ya ghorofa moja yaani floor moja kwa juu, kutokana taratibu za nchi na vibali vya ujenzi.
Naomba kwa anaejua hatua za kufanya ili kupata vibali na gharama za kupata hivo vibali, sitaki kujenga kienyeji nataka kufuata utaratibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.