Dodoma kuna shida ya upatikanaji wa hati miliki za ardhi. Mtu anakuwa amemaliza kulipia kiwanja na kufuata hatua zote zinahitajika lakini linapofika suala la kupewa hati ni mtihani.
Wapo wananchi ambao wamemaliza kulipia viwanja vyao kwa takribani miaka minne sasa, lakini hadi sasa hawajapatiwa...
WAHAMASISHAJI jamii kupitia mikutano 39 walioifanya na jamii katika Wilaya nne za kisiwa cha Pemba walifanikiwa kuibua jumla ya changamoto/matatizo/kero 44 kwa mwaka 2022.
Kero hizo ziliibuliwa maoneo tofauti kisiwani Pemba katika Wilaya ya Wete kero 12, Micheweni 12, Chake Chake 9 na Mkoani...
Habari za muda huu,
Wadau na shida moja kwa anaejua kiwanda ama msambazaji mkubwa wa Mifuko hii ya kutunzia nafaka inayoitwa Kinga njaa anielekeze ni jinsi gani nitaipata hiyo Mifuko kwa bei nafuu na Mimi niiuze?
Tusiseme mengi ila kumbuka hakuna dora zilizokuwa na nguvu kama Ottoman empire, Roman empire, Greek, Egypt, Babeli chini ya vyama vyenye nguvu na ushawishi lakini viliporomoka mpaka mavumbini. CCM kuamini kwamba mtatawala milele huko ni kujidaganya mchana kweupe.
Chini ya CCM tunaona namna nchi...
Awamu iliyopita kuliibuka kikundi cha wasiojulikana, wanapewa nguvu kubwa kiasi kwamba binadamu walioripotiwa kupotea au kutokuonekana au kutekwa vyombo havikuona umuhimu wakuwatafuta Kwa kigezo kwamba wamejiteka wenyewe.
Kisiasa tulielezwa kwamba KAZI NI moja Tu, miradi ya maendeleo. Hakuna...
Habari wakuu?
Mimi nipo mkoani Mtwara, nimefikiria kuanza biashara ya bucha ya mbuzi, changamoto ni upatikanaji wake! Na utaratibu wa kuanza hii biashara upoje! Naomba kwa mwenye uzoefu anisaidie! Namna ya kuwasafirisha, lakini vibali vyake, na mpaka kupata leseni! Naweza kuanza halafu...
USAID, UNICEF, SAVE THE CHILDREN, UNDP, WORLD CHURCH SEVIRCE, IRC, WORLD VISION NAKADHALIKA, haya mashirika huwa yanatoa kazi kila siku mitandaoni, na for the past seven years nimekua nikiapppy kupitia portal zao, lakini sijawahi itwa sio interview ya ana kwa ana hata ile online aptitude test...
Habari zenu wana Jamii F. Naomba msaada kwa yoyote anayejua wapi wanauza vyombo vya ndani vya mtumba(masufuria, sahani, vikombe, urembo etc.
Natanguliza shukran
Kata ya Kiriba ya Jimbo la Musoma Vijijini imepata Sekondari ya pili ili kutatua matatizo ya umbali mrefu unaotembewa na mwanafunzi wa Kata hiyo kwenda masomoni Kiriba Sekondari.
Vilevile, Shule hiyo mpya, iitwayo Bwai Sekondari, itapunguza mirundikano ya wanafunzi kwenye madarasa ya Kiriba...
Habari za Leo wapendwa
Binafsi nina familia na ninaona namna familia yangu jinsi inavyopitia kipindi kigum kutokana na hii changamoto ya Maji.
Mimi nilikuwa nashauri Media zote nchini waandae Makala kuhusu upatikanaji wa Maji wazunguke mitaa yote jiji la Dar es salaam wahoji wananchi na...
Habari wadau kwa ujumLa.Naimani mu wazima wa afya.
Ni jambo la kawaida kwa kizazi hiki cha sayansi na teknolojia kuhakikisha tunaenda sambamba na mataifa yalioendelea kupitia nyanja hizo.
Changamoto imekua kubwa na kama wahusika hawaioni au hufanya makusudi yasio na sababu yeyote ile basi...
Hili jibu alipewa Bonilove wakati anataka kununua Mazda Atenza na Boni Bila hiyana akavuta mzigo na picha ndo likaanzia hapa,..
.
Boni ni mkazi wa makao makuu ya nchi wenyewe wanapaita Dodoma na ni mmoja wa wasirikali waliotoka Dar wakaenda Dom Kikazi, Ni kijana flani mtu wa maji, misosi na...
Mboji ni aina ya mbolea ya asili yenye rangi nyeusi kahawia na harufu nzuri ya kidongo ambayo hutokana na kuoza kwa mchanganyiko wa masalia ya mimea,mazao au matunda, kunakosababishwa na vijidudu na wadudu rafiki wa mazao.
Mbolea ya mboji unaweza kutengeneza mwenyewe kwa kukusanya mabaki ya...
Muswada wa sheria ya bima ya afya kwa wote umesomwa bungeni kwa mara ya kwanza mwezi Septemba, 2022.
Kwa mujibu wa kifungu cha 32, muswada huo umeweka zuio la upatikaji wa baadhi ya huduma muhimu kwa wananchi pasipo kuwa na bima ya afya.
Inasomeka
Zulo la kupata haadhi ya huduma pasipo kuwa...
SoC 2022 Kilimo kwa ukuaji wa uchumi na ustawi wa jamii.
Kwa mda mrefu Sasa watanzania tunaendelea kukumbana na matatizo ya upungufu wa baadhi ya bidhaa Kama vile mafuta ya kupikia, Jambo ambalo hupelekea Bei kuwa kubwa na kuzua taharuki.
Aidha baadhi ya jitihada za serikali kupitia wizara ya...
Mamlaka ya vitambulisho vya taifa tanzania ( NIDA) sidhani kama walikuwa na lengo la kukamilisha mradi huu kwa wakati,
Nahisi kuna watu ndani ama nje ya idara hii kwa makusudi na kwa malengo yao binafsi wanayoyajua wao wanaosababisha kadhia hii iendelee kwa makusudi kabisa.
Urasimu huu unakuja...
JINSI HALI YA UVIKO 19 ILIVYO LETA ATHARI KATIKA UPATIKANAJI, UTUNZAJI NA UZALISHAJI WA CHAKULA.
UTANGULIZI
UVIKO 19 ni ugonjwa ulio anza kusambaa mwishoni mwamwaka 2019, ukianzia huko nchini CHINA katika jimbo la WUHAN. Ugonjwa huu unaushisha dalili mbalimbali ikiwepokupumua kwa shida, mafua...
Watu Bilioni 1.42 Duniani wakiwemo Watoto Milioni 450 wanaishi katika maeneo yenye hatari kubwa ya upatikanaji wa Maji. Kwa mujibu wa Takwimu za Umoja wa Mataifa, uhaba wa Maji unaathiri zaidi ya 40% ya Watu wote
Watu 3 kati ya 10 wanakosa Huduma za Maji safi na salama ya kunywa. Pia Takwimu...
Guys neona nilete hii topic mezani kwa ambae anajua au experience, ukiachana na degree na masters chini kuna diploma na certificate but lets highlight kwa diploma hasa hali ikoje let's say upande wa tech (IT).
Habari wana JF,
Natumai wazima ndugu zangu nimekuja kuomba ushauri kuhusu bank gan hapa nchini yenye makato nafuu kwa mwezi, na pia wakati wa utoaji, na ipi yenye huduma bora sana, na yenye internet banking bora.
Pia yenye urahis wa kupatikana namaanisha ATM's nyingi. Na je what if mtu akitaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.