upatikanaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JF Member

    Hongera kwa Naibu Waziri Mkuu: Upatikanaji wa Umeme na Mafuta vimeimarika sana

    Hakika naona utendaji kazi mzuri sana. Huna kelele lakini hupumziki na kazi zako zinaeleweka. 1. Hapo nyuma kukatika kwa umeme kulikuwa hakuna formula, sasa hivi angalau - japo kaza tena ili mambo yaende. 2. Hapo nyuma upatikanani wa mafuta ulikuwa wakusua sua. Na bei zilikuwa zinapanda...
  2. BARD AI

    CHADEMA yalia rafu upatikanaji wa Vibali vya Helikopta kwa ajili ya ziara za Viongozi wake

    Kutopatikana kwa vibali vya usafiri wa Helikopta unaotumiwa kwenye ziara za kuimarisha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kumekwamisha ratiba ya viongozi wa chama hicho kuendelea na mikutano katika Kanda ya Nyasa. Suala la helikopta hiyo kukosa vibali lilidokezwa wiki iliyopita na...
  3. T

    Geita: Mawasiliano kwa mtandao wa tiGO ni changamoto

    Nimekuwa mtumiaji wa huu mtandao kwa zaidi ya miaka 18 (nikibadirisha chip mara moja tu kuendana na mahitaji ya mabadiriko ya teknolojia) sasa enzi hizo buzzy ni bomba na ile longa longa ukikesha huku ukihangaika kupata laini… enzi hizo mabibo hostel vijana usiku ndo ulikuwa muda wa...
  4. peno hasegawa

    Benki ya Dunia yaipongeza Tanzania kwa jitihada za kuimarisha upatikanaji wa umeme

    Benki ya Dunia (WB) imeipongeza Tanzania kwa kuchaguliwa na kuwa miongoni mwa nchi nne barani Afrika zilizoingizwa katika mradi wa Benki ya Dunia wa ‘ASCENT’ ambao unalenga kuimarisha upatikanaji wa umeme kwa wananchi. Amesema hayo Mkurugenzi wa Kanda ya Mashariki na Kusini mwa Afrika wa Benki...
  5. Angyelile99

    Mchakato wa upatikanaji wa madereva walio bora na smart zaidi

    Kati ya maeneo ambayo serikali inatakiwa kuendelea kutokea macho ni pamoja na usalama barabarani, sio tu kwa kuweka idadi kubwa ya askari wa usalama barabarani, wala sio tu kuhakikisha kila dereva eliyepo barabarani basi awe na leseni. Moja ya jambo kubwa ambalo serikali inatakiwa kulitolea...
  6. King Nkondo

    Hongera Waziri Dotto Biteko kwa kuanza kuimarisha upatikanaji wa umeme

    Niende moja Kwa moja kwenye hoja, Kwa siku chache ulizokaa Wizara ya Nishati ndugu Biteko, Leo ni siku ya tatu mfululizo mkoa wa Geita na Shinyanga hatujakatiwa umeme. Huo ni mwanzo mzuri tutakuwa wachoyo wa fadhila tusipokutia moyo, endelea kushikilia hapohapo mwamba, hakika mama kafunga goli...
  7. Roving Journalist

    DAWASA imetoa uhakika wa upatikanaji wa huduma ya maji kwa wananchi wa Tabata

    DAWASA YAJIBU HOJA YA WAKAZI TABATA KISUKURU Yaainisha mipango ya muda mrefu na mfupi ya upatikanaji huduma ya majisafi. Mamlaka ya Majisafi ya Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imetoa uhakika wa upatikanaji wa huduma ya maji kwa wananchi wa Tabata Kisukuru na Kinyerezi, Kifuru...
  8. K

    Kama upatikanaji wa maji usiporidhisha jijini Mwanza na sisi tutarudisha kadi za CCM kama maeneo mengine

    Upatikanaji wa maji hapa Jijini Mwanza hauridhishi hata kidogo na tunapenda kuitaarifu Serikali ya CCM kuwa kama hali hii itazidi kuendelea na sisi tutarudisha kadi za CCM kama maeneo mengine.
  9. Erythrocyte

    Je hali ya Upatikanaji wa mafuta Zanzibar Ikoje?

    Naomba wale walioko Zanzibar watueleze hali ya upatikanaji wa Mafuta upande huo na ikiwezekana watupe na bei kwa lita Moja , tulinganishe na Tanganyika ambaye ni Mshirika wao wa Muungano. Natanguliza Shukrani.
  10. ACT Wazalendo

    Mchinjita: Serikali Imefeli Kuondosha Uhaba wa Petroli na Diseli

    Utangulizi Itakumbukwa kwamba tarehe 2 Agosti 2023 Serikali kupitia Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) ilitangaza bei mpya za mafuta ya petroli, dizeli na mafuta ya taa. Bei hizo ziliibua malalamiko na vilio kwa wananchi katika maeneo mbalimbali nchini, kutokana na kupaa...
  11. Ame saleh

    Upatikanaji mbovu wa taarifa kwa wanafunzi wanapokua vyuo vikuu

    Hoja: Upatikanaji Mbovu wa Taarifa na Ufanisi wa Mifumo ya Uwakilishi:Wanafunzi wanapata changamoto katika kupata taarifa muhimu vyuoni kutokana na mfumo dhaifu wa mawasiliano. Mifumo ya wanafunzi wanaowakilisha (CRs) inaweza kusaidia, lakini matokeo yake hayana uhakika kwa sababu ya muda...
  12. benzemah

    Upatikanaji Dawa Muhimbili Wafikia Asilimia 97

    Hospitali ya Taifa Muhimbili na Amana zimesema upatikanaji wa dawa na vifaa tiba kwa sasa ni asilimia 97. Akizungumza jana jijini Dar es Salaam Mfamasia wa Hospitali ya Muhimbili, Nelson Faustine amesema, hali ya upatikanaji wa dawa na vifaa tiba katika taasisi hiyo imeimarika na wameshuhudia...
  13. JanguKamaJangu

    EWURA: Tuna mafuta ya kutosha Nchini, wenye vituo lazima wawe na mikataba na waagizaji

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imeendelea kuwahakikishia wananchi upatikanaji wa uhakika wa mafuta nchini baada ya kutembelea maghala ya kuhifadhia mafuta jijini Dar es Salaam, 23 Julai 2023. Ziara hiyo iliyoongozwa na Waziri wa Nishati, January Makamba, na kujumuisha...
  14. Kidaya

    SoC03 Tutumie maji chini ya ardhi kuongeza upatikanaji wa huduma ya maji

    Tunahitaji maji katika shughuli za kila siku za kibinadamu (kunywa, upishi na usafi), kiuchumi (kilimo na ufugaji, uvuvi, ujenzi, kuzalisha nishati, utalii, viwandani n.k) na mazingira. Katika kuongeza upatikanaji wa huduma ya maji kwa mijini na vijijini, Serikali inatekeleza miradi ya maji...
  15. Vedasto Prosper

    Kwanini, Simiyu, Kigoma, Mara, Geita na Pemba hawatumii Uzazi wa Mpango Kama Mbeya na Iringa?

    Katika ripoti ya Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto na Viashiria vya Malaria wa Mwaka 2022 ya Wizara ya Afya Dodoma kushirikiana na Wizara ya Afya Zanzibar, Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dodoma, Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Zanzibar, iliyotoka Januari 2023, INaonesha Kuna Mikoa kabisa haina...
  16. Roving Journalist

    Manyara: Upatikanaji wa Petroli Mbulu ni changamoto, EWURA yatoa onyo wanaohodhi mafuta

    Kuna ujumbe wa Mdau katupia picha hii na kueleza kuwa hali ilivyo katika Mbulu Mjini Mkoani Manyara Wananchi wakiwa kwenye foleni ya kupata Petrol ni baada ya takribani wiki wakikosa huduma ya Nishati ya Petrol. Hii inatokana na uwepo wa vituo vitatu pekee vya kutolea huduma hii muhimu na...
  17. K

    SoC03 Kilimo cha umwagiliaji kwa Kanda ya Ziwa kitachochea upatikanaji wa chakula cha kutosha

    Kutokana na kutokuwa na mvua za uhakika na za wakati kwa baadhi ya maeneo hapa inchi imepelekea maisha ya wananchi wengi hasa vijijini kuwa magumu kwa sababu tegemeo lao kubwa ni kilimo cha mazao ya chakula au biashara, ambacho pia ndio tegemeo lao la kukomboa familia zao kiuchumi, elimu, Afya...
  18. S

    Hivi ile peremende ya maridhiano na upatikanaji wa katiba mpya bado ipo vinywani mwa wapinzani ama imeyuyuka??

    Huyu rais Samia anapaswa kuangaliwa kwa jicho la tatu. Anajua kucheza na akili za watanzania kweli kweli. Kabla ya kumleta mwarabu alianza kwa kuwaweka sawa wabunge (kama alivyotujuza mbunge wa CDM Aida Kenan). Aliwapeleka Dubai kwa ziara ya "mafunzo". Wakala bata na kupewa cha mfukoni. Suala...
  19. Lidafo

    SoC03 Umuhimu wa Idara ya Usalama wa Taifa kuwa na Tovuti yake Itayosaidia Utoaji na Upatikanaji wa Taarifa kwa ulinzi wa Taifa letu

    Idara ya Usalama wa Taifa Tanzania (TISS) Ni Idara ambayo inamajukumu ya kukusanya, kuchunguza na kuchambua Taarifa na shughuli zote zinazohusiana na Usalama wa Taifa. Ikiwa ni pamoja na kubaini matishio yote dhidi ya Tanzania lakini pia kushauri wizara zote juu maswala ya ulinzi na Usalama...
  20. Suley2019

    Jumaa Aweso: Hali ya upatikanaji wa maji mjini yafikia asilimia 88

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amewasilisha Bungeni Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha ya Wizara ya Maji kwa Mwaka 2023/2024 ambapo amesema hali ya upatikanaji wa huduma ya maji Mijini imeongezeka kutoka wastani wa asilimia 86.5 mwezi December, 2021 hadi wastani wa asilimia 88 mwezi Desemba...
Back
Top Bottom