upendo

Upendo Ni Pamoja is an album by pianist Ramsey Lewis which was recorded in 1972. It was his first release for the Columbia label, after a decade with Chess Records in Chicago.

View More On Wikipedia.org
  1. Unique Flower

    Kama unampenda halafu hurudishiwi upendo njoo tufarijiane 🖤💔

    Mie nipo single Kisa napenda kweli mpenzi wangu halafu yeye harudishi fadhila kwakweli . Sasa kama upo kama mie njoo tufarijiane halafu kama unahonga hurudishiwi fadhila njoo ufarijike hapa kama unatoa marange, vitu vya kifahari unajikomba halafu urudishiwi fadhila njoo upozee hapa roho.
  2. Wakuperuzi

    Baada ya jina lake kutoka kwenye Mkeka wa Afya ataka nisubiri miaka 5 ndio niweze kumuoa

    Mpango hapa ni kuleta tu maombi ya kutafuta mke mwingne humu ndani. Habari ya kusubiri miaka 5 na mtu katupiwa Kagera huko ni uongo.
  3. J

    Afya ya Akili: Ni vitu gani unajifanyia kama ishara ya kujijali, kujithamini na kujipenda?

    Kujijali (Self-Care) kuna maana tofauti kwa kila Mtu, na wote tuna namna yetu ya kujijali ili kupunguza Msongo wa Mawazo (Stress) na kulinda Afya ya Akili Kwa wengine, kujionesha Upendo ni kwa kujinunulia kitu kipya, kusafiri au kutembelea sehemu mpya, kutenga muda wa kupumzika au kufanya...
  4. Mmawia

    Hayati Magufuli na Nape Nnauye walipoteza upendo wa Wananchi kwa Bunge lao

    Miaka ya 2010 hadi 2015 bunge la JMT lilikuwa ni kivutio cha wananchi kulitazama. Mara baada ya kuingia madarakani kwa utawala wa awamu ya tano wakalivuruga Bunge. Kitendo cha kufunga bunge lisionyeshwe live ilikuwa ni pigo kubwa na ugonjwa mkubwa uliowafanya wananchi kulipuuza hilo Bunge. Na...
  5. Mwl.RCT

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe: Kiongozi Mwenye Furaha na Upendo kwa Watu Wake

    Mwenyekiti wa CHADEMA, moyo wa ukarimu, Mtu wa watu, anayesimama kidete kila wakati. Freeman Mbowe, kiongozi hodari, Anapenda na kujali kila mmoja wetu kwa dhati. Anapowatembelea watu, furaha huonekana machoni, Salamu za upendo zinatoka moyoni mwake kwa utulivu. Katika harakati zake, anapigania...
  6. K

    Mpaka sasa bado sijaona makosa ya Hayati Magufuli labda kosa alilonalo ni kuipenda Tanzania kwa maisha yake na huo ndio upendo wa kweli.

    Mpaka sasa najaribu kutafuta makosa ya Hayati JPM nikiri kusema sijaona makosa yoyote labda pengine macho yangu yameamua kuangalia yanayopendezwa nayo au kwa sababu nyingine yoyote ila sijaona. Nakumbuka Hayati aliwahi kusema alikuwa anafuatwa na makandarasi na kumuahidi mabilioni ya shilingi...
  7. Analogia Malenga

    Uhitaji wa Upendo na Msaada wa Mwenza Katika Nyakati za Shida

    Jana, katika harakati zangu za kila siku, nilikumbana na tukio ambalo limeacha hisia nzito moyoni mwangu. Nilipokea kikaratasi kutoka kwenye Gari la Magereza, kilichotupwa kwangu na mmoja wa wafungwa aliyeniomba msaada. Nilichukua hatua ya kutokudharau na nikakisoma kikaratasi hicho. Ujumbe...
  8. Dasizo

    Kuchora tatoo ya mpenzi wako ni kipimo sahihi cha upendo au ni ulimbukeni wa mapenzi?

    Kuchora tatoo ya mpenzi wako ni kipimo sahihi cha upendo au ni ulimbukeni wa mapenzi?
  9. Slowly

    Ukitaka kujipima kama una upendo wa kweli na uvumilivu basi fuga mbuzi wa kienyeji

    Kuwafuga hawa wanyama inahitaji uvumilivu wa Hali ya juu na upendo uliotukuka vinginevyo utakuwa unavunja mguu wa mbuzi kila sku. Wana visirani na viburi sijawahi ona. Picha linaanza akikata kamba aisee atakupigisha tizi moja sio ya nchi hii na ukimkamata ukaanza kumvuta na kamba yake...
  10. KJ07

    Simulizi ya upendo katikati ya giza

    Simulizi:UPENDO KATIKATI YA GIZA Mtunzi:KJ07 SEHEMU YA KWANZA. ============================ Kuna wakati mwingine katika maisha ambapo upendo huzaliwa katikati ya machafuko na giza la kina. Ni wakati huo ambapo Tunde, msichana mdogo kutoka kijiji kidogo nchini Nigeria, alikutana na mtu ambaye...
  11. MK254

    Shukrani Wakristo kwa upendo, kituo cha redio kinamilikwa na Muislamu ila mmekichangamkia

    Kituo cha Wasafi media kinamilikiwa na Muislamu, na kila Jumapili huwa kinapeperusha kipindi cha Kikristo. Leo hapa naona pamenoga kweli kweli Wakristo wamejumuika na kumsifu Yesu kwa upendo, hapa nawaza dini zingine unakuta hata mgahawa ukimilikiwa na mtu asiye wa dini hiyo hawawezi hata...
  12. benzemah

    Rais Samia akutana na mtoto Hamimu Mustapha aliyetibiwa maradhi ya ngozi yaliyokuwa yakimsumbua kwa muda mrefu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Mtoto Hamimu Mustapha Baranyikwa (15) mwenye matatizo ya ngozi ambaye ni mkazi wa Nyakanazi Mkoani Kagera. Mtoto huyo Hamimu alifika Ikulu kwa ajili ya kumshukuru Mhe. Rais kwa msaada wa matibabu...
  13. comte

    Kijana Hamim asaidiwe amuone Mh. Rais kumshukuru kwa moyo wake wa upendo

    Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam "Nilisikia Rais Samia anapita Nyakanazi na mimi kwetu ni pale pale Nyakanazi. Wazazi walinikataza, wewe usiende na hali hiyo uliyokua nayo watu wanakukimbia. Unaenda kufanya nini, watakupiga." Hayo ni maneno ya Hamimu Mustapha Baranyikwa (15), mkazi wa kijiji...
  14. Determinantor

    Kulikoni Upendo FM kujitoa online?

    Shalom. Upendo FM wamepatwa na shida Gani Hadi wajitoe online? Nimekua msikilizaji na mfuatiliaji wa vipindi vya maombi; Morning and Evening Glory, kile cha SAA Tano/sita mchana hadi saa Saba, ibada za jumapili n.k. kwa muda mrefu sana. Nashangaa ni week ya pili sasa wamejitoa kabisa online...
  15. Hemedy Jr Junior

    Upendo, Muda na urafiki

    FAHAMU MAMBO MATATU(3) KWENYE MAISHA HAPA DUNIANI. [ ] MUDA. [ ] URAFIKI. [ ] UPENDO. • habari za wakati huu... Kijana unatumia vipi muda wako katika (nyakati hizi) Muda ni mali aya muda unakuwaje mali sasa maana muda wote tuko bize mitandaoni vipi tunatumia mitandao kufanya mambo SAHIHI au...
  16. Yesu Anakuja

    Wachungaji wa Upendo TV kumuiga Mwakasege

    Sijui kama ni mimi tu, hivi kuna tatizo gani kila mhubiri anayehubiri upendo TV, awe Mchaga, Mhaya, Mndengereko, Msukuma au mnyakusa nakadhalika, anaiga sauti ya Mwakasege? au ndio wanaamini kuhubiri ni kutumia sauti ya Mwakasege? Yule mwenzenu ile sauti ni ya kinyakyusa, pamoja na kuishi...
  17. Hemedy Jr Junior

    Ukiijua kweli hutoteseka kamwe

    Kuna watu hawaendi Msikitini wala kanisani, ila wako na Imani kubwa mno wako na matendo mema wanasaidia maskini wako na adabu wanamuheshimu kila mtu wenye dini zao na watu tofauti. Unajilipua... unategemea upate pepo ya Muumbaji inakuingia akilini kweli? Waliotetea waafrika hawapo kwenye vitabu...
  18. L

    Kanuni za "Udhati, Matokeo Halisi, Upendo na Nia Njema" zafungua enzi mpya ya mustakbali wa pamoja kati ya China na Afrika

    “Kanuni zilizotolewa na rais Xi Jinping wa China za "Udhati, Matokeo Halisi, Upendo na Nia Njema" zimefungua enzi mpya ya maendeleo ya pamoja kati ya China na Afrika.” Hayo yamo kwenye makala iliyotolewa na gazeti la Daily News la Tanzania yenye kichwa “Tanzania imepata mengi kutokana na Ziara...
  19. D

    Hongereni 107.7 Upendo fm Radio kwa kujitenga na Waongo

    Tuwapongeze upendo Radio kwa kusimamia maadili ya Vyombo vya habari Radio nyingine zote sasa zimekuwa ni Kamari,Kamari hata ile ya taifa ni kuhamasiha Kamari tu, matangazo ya waganga wa Kienyeji, Manambii ambao mienendo na matendo yao yanatiliwa shaka, shuhuda za Uongo kuna Radio moja kila...
  20. W

    Mama Janeth Magufuli nikikuangalia naona upendo, nikikusikiliza nasikia upendo; Mungu akubariki sana!

    Kupitia TBC jana, katika kipindi kinachozungumzia yaliyojiri wiki hiyo, nimekuona ukiwa katika ibada/misa ya kumuombea marehemu mume wako ambaye pia alikuwa raisi wa JMT. Ulipokaribishwa mbele kwa ajili ya kutoa neno, kinywa chako kilinena vema kabisa. Katika mengi uliyoongea, kamwe hukusahau...
Back
Top Bottom