Tahadhari ya Upepo mkali unaozidi Kilomita 40 kwa saa pamoja na mawimbi makubwa imetolewa kwa baadhi ya maeneo ya Pwani na Ukanda wa Bahari ya Hindi yakiwemo Dar, Lindi, Mtwara, Pwani na Visiwa vya Unguja na Pemba
Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) pia imesema maeneo machache kwenye Mikoa kadhaa...