Eneo lote huku ukanda wa pwani, ni karibu kila familia inauguza, kama sio kila mtu kuugua Mafia iliyochanganyika na homa, kchwa, kiuno n.k
Kila mtu ukimsalimu anasema anajisikia homa, sijui kichwa, sijui mwili umechoka n.k
Kwanza kabisa nadecrea interest kuwa, Mimi si mwanasayansi na sjasomea...