upigaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tanzania isijiingize kwenye mtego wa upigaji kupitia magonjwa ya milipuko!

    Inawezekana na Iliwezekana huko kwa nchi za wakubwa wetu..kutumia Afya,magonjwa na milipuko ya magonjwa kama chanzo cha upigaji fedha. chondechonde tusiingie kwenye mtego huu. Makampuni ya dawa,vifaa tiba na other medical supplies yamekamata uchumi duniani na yapo katika ushindani wa kiuchumi...
  2. Pendekezo la Sheria Mpya upigaji Penati

    Colina Pierluigi moja ya marefa Bora katika Historia ya soka na Mwenyekiti wa marefa wote toka shirikisho la mpira duniani FIFA. Amenukuliwa akitoa pendekezo kuhusu upigaji mpya wa penati zitakazo patikana ndani ya dakika za mchezo kuwa Kama zile za Matuta Yani unapiga Mara moja ukikosa au...
  3. Kuna upigaji wa fedha wa kutisha miradi ya Viwanja vya michezo Tanzania.

    Nchini Kyrgyzstan Serikali ya nchi hiyo inajenga uwanja wa kisasa kweli wa michezo wenye uwezo wa kuchukua watu 45,000 kwa gharama za Dola Milioni 60 tu za Marekani sawa na shilingi Bilioni 154 za Kitanzania. Huko Arusha Serikali ya CCM wanajenga uwanja wa michezo wenye uwezo wa kuchukua watu...
  4. Pre GE2025 Tume ya Uchaguzi: Mfumo wa Upigaji Kura wa Kibaha, secondary ni Njia nzuri ya Kuondoa Wizi na Malalamiko Katika Uchaguzi Mkuu wa 2025

    Katika mwaka wa uchaguzi mkuu wa 2025, kuna haja ya dharura ya kuboresha mfumo wa upigaji kura nchini Tanzania. Kila uchaguzi umekuwa na kadhia ya wizi wa kura, hali ambayo inakosesha uaminifu na uhalali wa matokeo. Katika juhudi za kukabiliana na tatizo hili, shule ya sekondari ya Kibaha...
  5. Milipuko ya Magonjwa je kuna Upigaji na utakatishaji fedha ?

    Tumeshuhudia nchi isiyo na mwenyewe Ya DRC kila mlipuko mpya wa ugonjwa Africa lazima iingie. Halafu kifuatacho ni harakati za misaada "mingi" sina hakika kama ni yote.
  6. Unafuta Sherehe za Uhuru kuokoa pesa wakati huo huo wale wote walio husika na upigaji report ya CAG mwaka huu umewasamehe kwa asilia 100

    Rasi Samia anafanya hadaaa za kiwango cha juu kabisa, na pia anacheza na akili za wajinga kwenye hii Jamhuri ilio jaa wajinga. Report ya CAG mwaka huu watuhumiwa wote wamesamehewa kwa asilimia 100 kwa kuombewa msamaha na kamati ya CCM ya kuombea watuhumiwa mbalia mbali msamaha kwa raisi...
  7. J

    LGE2024 Wananchi washindwa kupiga kura baada ya kutoona majina yao kwenye ubao ya wenye majina ya waliojiandikisha

    Siku ya jana jumatano ya tarehe 27/11/2024 ambapo kulikuwa na zoezi la uchaguzi mdogo Tanzania nzima wapiga kura wamelalamika kwamba waliteseka kutafuta majina yao ili wakapige kura pia wamesema kuna baadhi ya majina hayakuwepo hivyo imepelekea watu wengine kushindwa kupiga kura Serikali...
  8. LGE2024 Upigaji Kura Kata ya Itumbili Magu ulivyokuwa, Waziri Dkt. Stergomena ni mmoja kati ya walioshiriki

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) tarehe 27 Novemba 2024 amepiga Kura ya kuwachagua Viongozi wa Serikali za Mitaa katika Mtaa wa Unyamwezini Kata ya Itumbili, Magu mkoani Mwanza. Mara baada ya kupiga Kura, Dkt. Stergomena Tax, amesema ameridhishwa na...
  9. LGE2024 Zoezi la Upigaji Kura Mwanza linaendelea licha ya mvua kunyesha, leo Novemba 27, 2024

    Mbali na baadhi ya wananchi kujitokeza lakini kumekuwa na changamoto mbalimbali kama vile Utaratibu wa majina haujafuata mpangilio wa majina ya watu (alfabeti) na kuchanganywa hali ambayo inasababisha usumbufu kwa wapigaji kura Mfano Katika kituo cha kupigia kura cha National Housing Kata ya...
  10. LGE2024 Hali ilivyo Upigaji Kura Meatu na Itilima Mkoani Simiyu, leo Novemba 27, 2024

    Wananchi wa Wilaya za Itilima na Meatu Mkoani Simiyu wakiendelea na zoezia la kupiga Kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024.
  11. T

    LGE2024 Iringa: Wananchi na viongozi mbalimbali washiriki kupiga kura

    Wananchi na viongozi wa kada mbalimbali wameendelea kujitokeza katika upigaji kura kwenye vituo mbalimbali kuanzia majira ya saa 2 asubuhi Akizungumza muda mfupi baada ya kupiga kura Mkuu wa mkoa wa Iringa Peter Serukamba amewasihi wananchi kuimarisha utulivu wakati wote wa zoezi hilo
  12. LGE2024 Njombe: Wananchi Wanging'ombe zoezi la Upigaji Kura halichukui muda mrefu

    Baadhi ya wananchi wa Igwachanya Halimashauri ya Wanging'ombe, waliojitokeza katika zoezi kupiga kura leo November 27, 2024 ili kuwapata viongozi wa mitaa, vijiji na vitongoji watakaowaongoza kwa kipindi cha miaka 5. Soma Pia: Yanayojiri kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa mkoa wa Njombe
  13. LGE2024 Wananchi Dar wafurahishwa na Utaratibu wa Upigaji Kura

    Baadhi ya Wananchi waliojitokeza katika zoezi la Upigaji kura katika kituo cha shule ya msingi Viziwi Buguruni iliyopo Ilala Jijini Dar es Salaam wameonyesha kuridhishwa na jinisi ambavyo zoezi hilo ambalo linaloendelea katika kituo hicho. Wakizungumza na ManaraTv wananchi hao wameeleza sababu...
  14. LGE2024 Mbunge Festo Sanga ashiriki katika upigaji kura wa Serikali za Mitaa, Kijiji cha Bulongwa

    Mbunge wa Makete (CCM), Festo Sanga ni mmoja kati ya Wabunge ambao wamejitokeza kupiga kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaofanyika leo Novemba 27, 2024 katika Mikoa yote Nchini. Sanga amepiga kura katika Jimboni la Makete, Kijiji cha Bulongwa - Kitongoji cha Amani.
  15. A

    DOKEZO Takukuru yabaini upigaji Kadco, ununuzi wa majenereta

    Sintofahamu ya ununuzi wa majenereta katika Kampuni ya Uendeshaji na Uendelezwaji wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Kilimanjaro (KADCO), imetatuliwa baada ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Kilimanjaro kusimamisha ulipaji wa malipo ya jenereta. Kadco iliagiza...
  16. Kama fomu tu iko hivi, vipi upigaji na uhesabuji kura?

    Viongozi wa upinzani mmepata sababu na ushahidi wa kutangaza kujitoa kwenye huu uchaguzi wa kihuni. Kinachofanyika na serikali ya CCM ni kuona watu wote hawana akili kabisa ni mapunguani. Ni dhahiri hawa watu wamejipanga bila kujali aibu yeyote. Ukiangalia sababu za kuenguliwa ni za kijinga...
  17. Kama fomu tu iko hivi, vipi upigaji na uhesabuji kura?

    Viongozi wa upinzani mmepata sababu na ushahidi wa kutangaza kujitoa kwenye huu uchaguzi wa kihuni. Kinachofanyika na serikali ya CCM ni kuona watu wote hawana akili kabisa ni mapunguani. Ni dhahiri hawa watu wamejipanga bila kujali aibu yeyote. Ukiangalia sababu za kuenguliwa ni za kijinga...
  18. MCHENGERWA NA TAMISEMI YAKO FUATILIENI CHATO KUNA UPIGAJI AJABU, HASA KWENYE CHAGUZI NA KAZI NYINGINE MAALUM

    Mhe. Waziri Mchengerwa na wizara yako imulikeni Chato na chukueni hatua mapema. Mambo si mambo kule, hali si hali. Nimepenyezewa taarifa kuwa watumishi wa zoezi la uchaguzi wanadhulumiwa malipo yao kuanzia siku ya kwanza ya uchaguzi hadi leo hii, na hadi sasa zoezi la ugawaji fomu kwa wagombea...
  19. Nini tatizo nchini kwetu mpaka waajira wapya wanawaza njia za upigaji hela ya serikali

    Aibu sana yaani kama vile takukuru haina makali maana hata waajiriwa wapya hawaogopi kabisa kufanya udanganyifu.michezo hii tunajua ipo kwa wakubwa huko ma senior waliozoea kazi ila cha kusikitisha mpaka mazungumzo ya vijana katika mataasisi ni namna ya kuwa katili ili kula hela ya umma.watoto...
  20. Vijana hawa Wakiafrika wametengeneza video kuonesha mnyororo wa upigaji wa pesa za miradi Afrika. Its funny but depressing 🤣😠

    https://youtube.com/shorts/5lm6tYWIaAk?si=ljz2wml3yqs92TuF
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…