Katika fuatilia zangu, nimegundua kuwa kuna upigaji mkubwa sana kwenye miradi ya ujenzi hasa majengo mbalimbali na barabara nchini Tanzania.
Kiukweli barabara nyingi nchini zinajengwa chini ya kiwango, kuanzia upana , hadi ubora wa barabara husika na kamwe huoni wakandarasi wakichukuliwa hatua...
Nipende kuipongeza serikali katika jitihada zake za kuboresha huduma za Usafifi wa Mabasi ya Mwendokasi Dar (DART).
Hivi karibuni DART wamefanya ukarabati wa vituo vya mwendo kasi kwa kuweka mifumo ya ukataji tiketi kwa kutumia Kadi ambapo kadi hiyo ni Kwaajili ya DART Tuu inauzwa Tsh 5000...
Katika kuhakikisha askari wa Kike wanakuwa imara na mahiri katika kila nyanja wanazohudum Suala la kujengewa umahiri katika ulengaji wa Shaba kwa askari hao likatolewa na wabobezi wa shabaha (Sniper) kutoka Jeshi la Polisi Nchini Marekani.
Miongoni mwa askari wa kike waliopata mafunzo ya...
Licha ya Serikali kulifungia Kanisa la Christian Life (CLC), lililoongozwa na Dominique Dibwe maarufu kama ‘Kiboko ya Wachawi’, imebainika kiongozi huyo wa dini anaendelea kutoa huduma hiyo, huku akiomba mamilioni ya fedha kwa waumini wake.
Tofauti na awali, Dibwe ambaye ni raia wa Jamhuri ya...
Asubuhi ya Leo majira ya saa 5 hivi nimepishana na msafara wa Rais ukitokea mkoa wa Rukwa kuelekea Songwe. Binafsi kama Mwandishi wa habari za mazingira naelekea mwambao wa ziwa Tanganyika kikazi. Nilipofika Namanyere wilaya ya Nkasi nimeachana na basi niliyokuja nayo toka Mbeya maana inaendelea...
Hizi timu mbili zinazoitwa za wanachama kwa nini uongozi wao hawaweki hesabu zao za kifedha hadharani?
Ukirejea haya malalamiko ya huyu anayeitwa mzee wa Yanga, Magoma na Hamis Kigwangala wa Simba inaonyesha kuna ujanja mkubwa sana katika hizi timu. Hii yote ingeweza kuwekwa sawa kama masuala...
mwananchi.co.tz
Moshi kujenga bweni la watoto wa kiume kukabiliana na ukatili
Mbunge wa Moshi Mjini, Priscus Tarimo akizungumzia ujenzi wa bweni la wavulana linalojengwa katika shule ya kutwa ya Msandaka iliyopo Manispaa ya Moshi Mkoani Kilimanjaro mara baada ya kulikagua. Picha na Janeth...
Kama rais utafanikiwa kufuatilia nyendo na maisha ya wateule wako utashangaa !! Awamu hii Haina ufuatiliaji kwa wateule wako ! Haina ukali na usimamizi huru wa rasilimali za nchi ! Wewe unatafuta hela ,unakopa ,unakusanya Kodi lakini pesa inatumiwa vibaya sana na wateule wako !! Wateule wako...
BASHUNGWA ATOA TAMKO MPASUKO WA BARABARA BUSUNZU - KIGOMA, SIO UPIGAJI.
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema kuwa uchunguzi umebaini mpasuko wa ardhi na kuporomoka kwa tuta la barabara uliojitokeza katika eneo la Busunzu lenye urefu wa mita 200 haijatokana na makosa ya Mkandarasi...
Nakumbuka huko nyuma viongozi wa haya mashirika walikuwa na pesa kama wafanyabiashara wakubwa kwasababu ya miradi ya deal.
Hebu Watanzania jiulizeni kitu kimoja
Bondi za serikali kwa miaka zaidi ya 20 sasa zinalipa 12%-16% kuna sababu gani sherika likachukuwa pesa na kwenda kuwekeza kwenye...
Mwenendo wa taasisi za serikali na hata sekta binafsi zinavyokataza wananchi kupiga picha ama kuchukua video maeneo yenye kasoro ama kurekodi utendaji wa watumishi wa umma usio endana na maadili , lengo hasa la katazo hili huwa nini?
Unaweza ukaenda kwa mfano, muhimbili utakutana kabisa na...
Ni uchunguzi wa miezi zaidi ya mitatu kwa nyakati tofauti kwenye maeneo mbalimbali Jijini Dar es Salaam na mikoa jirani, ambapo safari yangu inakutana na Walinzi wa kampuni binafsi wakitoa kauli zenye kuashiria uwepo wa mazingira ya upigaji, utapeli na usanii.
Nini kinabainika?
Kwa siku za hivi...
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere, amebaini upigaji na madudu yanayofanywa katika vituo mbalimbali vya mabasi hapa nchini.
Kupitia Ripoti Kuu ya Ukaguzi wa Serikali za Mitaa kwa Mwaka wa Fedha 2022/2023 iliyotoka hivi karibuni, pia amesema kuna uendeshaji...
Pamoja na yanga kufanyiwa mtimanyongo kwenye goli la Aziz Ki,
Lazima tukubali kuwa timu zetu za Tanzania zina udhaifu mkubwa kwenye upigaji penati.
Inafika hatua, tukifika kwenye mikwaju ya penati tunahesabu kuwa tumeshatolewa tayari na mara nyingi tunashinda pale ambapo kipa atasave mikwaju...
Mnalaumu eti refa kakataa goli la Yanga, mnaongea kwa uchungu na jazba huku mkitokwa mate na kamasi.
Hamgusii chochote kuhusu kipindi cha penati. Katika kupigiana penati mlipata nafasi nzuri ya kumuumbua huyo aliyewanyima goli, lakini kwa sababu ya ubutu wa wapigaji hamkufanya lolote.
Huyo...
UPDATE / MREJESHO:
Tatizo lipo kwenye case ni usb 2.0, nimetesti kuiunganisha moja kwa moja kwenye desktop speed ni nzuri MB 50 kwa sekunde, chief mkwawa kanishauri ninunue case ya usb 3.0
model ni HTS545032A7E380
Nilienda kununua hard disk ya GB 320 kwa elf 25 maalum kwajili ya kuifanya...
Wananchi jamii ya kimasai waanika upigaji mkubwa uliofanywa Ngorongoro
===
Akizungumza kwa niaba ya Wananchi wa Tarafa ya Ngorongoro, Diwani James Moringe, Kata ya Olektore ambaye pia ni Katibu wa Baraza la Wafugaji ametoa taarifa hii kwa sababu kuu Tatu;
1. Sisi kama macho ya Serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.