upigaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Magazetini

    Bungeni: Mjadala wa dharura kuhusu kupanda kwa bei ya mafuta nchini. Mbunge asema tozo mbili zinaongeza 792 kwenye bei

    Leo May 5, mbunge Kilindi, Omary Kigua ametoa hoja ya kuahirisha shughuli zake za kawaida ili kujadili dharula ya ongezeko la bei ya mafuta. Kigua amesema kuna changamoto ya kupanda kwa haraka sana kwa mafuta ya taa, dizeli na petroli ambapo hivyo vikipanda ni kimepandishwa kila kitu na...
  2. D

    Tujuzane Je, Mbinu gani mnatumia kuwalipa ulinzi shirikishi mtaani kwenu ili kuepuka upigaji?

    Ulinzi shirikishi ni jambo zuri sana! Maeneo ya vijijini limeonyesha kufaulu kwa asilimia kubwa kutokana na watu wake kujitolea au kupangwa kwa zamu! Tatizo kubwa la ulinzi shirikishi mjini una harufu ya upigaji! Kuna wakati huwa nashawishika kuamini huenda PANYA ROAD ni PROJECT? Kwasababu...
  3. E

    Upigaji kwenye Kumbi za Shughuli

    Kuna ukumbi unaitwa Bridge Stone tangibovu ukiwa na harusi pale au sendo off, inabidi kua makini na wahudumu wale sita unaopewa, Tokea nizaliwe sijawahi kuona wezi wa vinywaji kama pale. Wanapewa oda hawapeleki, kweli mtu anaiba kreti sita za bia.
  4. chiembe

    Ripoti hii ya CAG asilimia kubwa ni ya enzi ya utawala wa Jiwe, ulijaa upigaji

    Wale wanazi wa Jiwe wanadai kwamba katika awamu yake hapakuwa na upigaji, kulikuwa na upigaji sana kuliko utawala wowote tangu nchi hii iumbwe. Mama Samia anajikita kurekebisha mifumo ya nchi, sio kufokafoka mabarabarani, mifumo inaziba upigaji, na ni endelevu, mifumo inafoka yenyewe
  5. MK254

    Bongo kulikua na upigaji mkali kwenye awamu ya tano, wanaume walilipiwa ili wazae

    NHIF iliwalipia wanaume wengi kujifungua uja uzito kwa upasuaji au njia za kawaida..... ========================== A male with a big belly. PHOTO | COURTESY Dodoma. The National Health Insurance Fund (NHIF) reportedly paid hospital bills for male patients to either undergo caesarian or...
  6. REJESHO HURU

    Kinachoendelea suala la tozo ya kodi ya pango kupitia LUKU za TANESCO si sawa

    Hili suala ambalo mnalifanya mwezi huu tunaomba Waziri Makamba tazama upya Kodi ya tozo ya jengo ilianza mwezi Julai mwaka 2021, ajabu kuna watu wameungiwa umeme mwezi Februari 2022, wengine mwezi March 2022 wananunua umeme wanapata unit ndogo wakihoji wanambiwa umekatwa tozo ya Kodi kuanzia...
  7. kmbwembwe

    Rais samia, Magereza wanaovutana kwenye miradi kushirikiana na sekta binafsi ni kutaka kulea upigaji

    Rais samia hua anatoa kauli na maelekezo yenye utata. Lakini wenye kuelewa wanajua ni mwelekeo wake wa kupendelea sekta binafsi iliyojaa 'wahuni' Inafaa atambue sekta binafsi kuleta ufanisi inatakiwa kua shindani sio kubebwa kwa kusudi kuingia ubia na majeshi au mashirika au mamlaka za umma...
  8. Nafaka

    Hii nchi kila siku upigaji unaibuka mpya

    Naona siku hizi utapeli umehamia kwenye kuagiza mizigo na upatu. Hapa utakuta mtu na akili zake anatoa ela halafu baadae anadai kapigwa. Wonders shall never end.
  9. P

    Tetesi: Mkakati wa upigaji wa fedha katika anuani za makazi

    Kuna taarifa kwamba upo MKAKATI wa makusudi wa upigaji wa fedha kwenye zoezi la anuani ya makazi 'postcodes' kwa baadhi ya wakurugenzi nguli, wabobezi , viburi na wasio na kwenye kutengeneza hila za wizi panapokuwa na fursa. Mbinu wanayo ipigia mkakati ni (1) kulipa pesa waajiriwa hewa ambao...
  10. Mwamuzi wa Tanzania

    Huyo unayemwita fundi wako ndiye mtu anayekupiga sana huku ukimchekea

    Habari! Kuna mafundi aina nyingi, na kwakuwa binadamu tumejaa woga basi tunamchagua mtu mmoja ndiye fundi wako katika sekta fulani. Ukweli ni kwamba huyo ndiye mtu anayekupiga sana huku ukimchekea. Mifano ni mingi njtakuja kuwaletea. Usimwamini fundi!
Back
Top Bottom