upigaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    Upigaji na ubadhirifu wa fedha za umma kupitia miradi kulikokithiri kwa Sasa, nini kifanyike?

    Habari JF. Kumekuwa na ubadhirifu wa fedha za umma kupitia miradi mbalimbali inayotekelezwa na serikali ya awamu ya 6. Hali ni mbaya ktk kila idara na wizara, mashirika na mamlaka mbalimbali. Ziara za waziri Mkuu na mawaziri wengine yanaibua madudu mbalimbali. Uporaji upo ilihali Rais yupo...
  2. Idugunde

    Kamati ya Ujenzi CHADEMA: Jengo la chama Iringa, tunaomba michango yenu

    Yaani mjenge ofisi Iringa huku bado mmepanga Ufipa .👇
  3. B

    Serikali haipo kwa maslahi yetu bali kufanikisha upigaji wao

    Haiko hivi katika nchi zingine. NIsiache kumkumbuka yoga, kwetu ni kampuni la watu na familia zao. Mifano ni mingi hata hivyo tuanzie na elimu ya juu, tuelewe ya loan board. Elimu ya juu rasmi ni private education isiyokuwa na ruzuku popote. Wanafunzi wanalipa malipo yote in full. Tuition fees...
  4. Anonytz

    DOKEZO Matumizi mabaya ya ofisi na maandalizi ya upigaji pesa za miradi ya maji-Mpanda

    MATENGENEZO YA GARI TOYOTA HILUX VIGOR DFP 6939 Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Mpanda (Eng Hussein Salum Nyemba) aliyepewa usukani na wizara ya Maji kuiongoza taasisi hiyo muhimu kwa ajili ya ustawi wa wananchi wa Mpanda kuanzia tarehe 31-08-2022. Wiki moja baada ya kuanza majukumu yake mapya...
  5. M

    Maandamano yaitishwe nchi nzima kupinga upigaji madili kupitia mgao wa wa Umeme. Waziri Makamba alituambia tuna ziada ya MW 1400. Huu mgao wa nini?

    Hapa tunaibiwa kiwaziwazi kabisa. Yaani mkuu wa wizara anayehusika na umeme anatamka wazi kuwa tuna ziada ya Mw 1400. Halafu ghafla naibu wake anadai kuna upungufu! Halafu mgao unatamalamaki nchi nzima. Tuandamane kupinga huu wizi. Tuandamane watanzania.
  6. saidoo25

    UFISADI: Mpina aibua tuhuma za upigaji wa Sh. Trilioni 1.5 Bwawa la Nyerere

    Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina ameibua tuhuma nzito bungeni kuhusiana malipo ya shilingi triliioni 1.5 ambazo hazijulikani zilipo alizotakiwa kulipa Mkandarasi Kampuni ya Arab Contractors kama malipo ya CSR na faini kuchelewesha mradi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere kwa miaka miwili kinyume cha...
  7. B

    Upigaji kwenye EFD na mashine za kutolea risiti inazotaka TRA

    Nani asiyezijua mashine za EFD au hizi zinazotumiwa na jamaa wa parking au kwenye malipo mbalimbali? Mashine hizi sasa ni takwa la kisheria kwa wafanya biashara vinginevyo hakuna kufanya biashara. Uliza bei za hizo mashine. Si ajabu kusikia 600,000/- kwa moja na malipo lukuki ya mwezi kwa...
  8. K

    Upigaji wa Wachina Katika Mikataba ya SGR Uko Wapi?

    Kipchumba Murkomen kafanya kweli huko Kenya. Sasa watu wanajiuliza, ule upigaji mkubwa uliokuwa ukisemwa kuhusu unyongaji wa mikataba ya kichina upo wapi? Bandari ya Mombasa iliyodaiwa kuwekwa rehani haionekani popote. Na kama kuna chembechembe zozote za upigaji, ni dhahiri kabisa kwamba ni...
  9. saidoo25

    Majaliwa ashtukia upigaji wa Bilioni 8 za zoezi la hereni za mifugo

    WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ametangaza rasmi bungeni kusitisha zoezi la uvishaji hereni mifugo baada ya kubaini upigaji wa Shilingi Bilioni 8.8 uliofanywa na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki. Kwa mujibu wa Majaliwa hadi sasa jumla ya Ngombe 5,068,616 zimeshawekewa hereni hizo ambazo...
  10. M

    Law School of Tanzania: Imeondoka kwenye lengo la msingi na kuingia kwenye biashara /upigaji, kilichotokea ni mwangwi wa mhamo huo!

    Kimsingi Law School of Tanzania inapaswa kushughulika na kuwawezesha wanafunzi kupata ujuzi kwa vitendo ndiyo maana inaitwa LEGAL PRACTICAL TRAINING! Inalenga kuwapatia wanafunzi weledi katika utekelezaji wa majukumu yao kwa vitendo zaidi. Hawajaenda pale kushindiliwa tena elimu ya sheria kwa...
  11. P

    Ili upigaji uwe rahisi na miradi kutokukamilika na umeme uwe wa mgao, lazima JPM azodolewe kwa sababu nyepesi na za kipuuzi

    Mtu aliyekuwa anajua mbinu zote za wafanyakazi wa Tanesico kwamba, kipindi hichoo cha wao kuongoza, kulikuwepo na kikundi maalumu cha kufungulia maji ya mtela ili tu kutengeneza mgao haramu wa umeme na wao kutengeneza biashara za majenereta Mbinu hiyo iliwafumbua watanzania wengi, na tangu...
  12. Tango73

    USHAURI: Yanga ijiandae upigaji wa penati

    Yanga ijiandae na upigaji wa penati ikiwa moja ya mbinu ya kuhakikisha inaitoa EL Hilal katika mtoano. Sidhani kama Yanga ina uhakika wa wapigaji wake wazuri mipira ya penati. Hivyo mazoezi ya kupiga penati kwa uhakika ni mazuri sana ili kuhakikisha tunaingia makundi ya michuano ya Klabu...
  13. Joh97

    Upigaji na wizi

    Kwa sasa Tanzania tuna mashirika makubwa sana ya misaada na mashirika hayo lengo lao kubwa zaidi ni kutoa misaada mbali mbali. Mfano IDWF (international domestic workers federation) nimelisemea shirika hili kwasababu nimewahi kufanya makala inayohusu misaada wanayotoa kwenye jamii ila cha...
  14. B

    Kwanini sensa ya watu na hii ya majengo hazikufanywa sambamba?

    Tumeambiwa zaidi ya 600bn/- zimetumika kwenye sensa tuliyoambiwa ni ya watu na makazi. Tungali tunajitafakari wanakuja na jipya: Hili nalo ni zoezi la bilioni ngapi? Hivi makazi na majengo nini tofauti? kwanini mawili haya kama ni tofauti na kama ni muhimu hayakuunganishwa ili kufanywa pamoja...
  15. mirindimo

    Video: Changamoto za makadirio ya kodi na Tozo na upigaji tra

  16. Mganguzi

    Sensa imegeuka mrija wa upigaji. Nia njema ya Rais iende sambamba na uadilifu

    Semina zinazoendeshwa nchi mzima Kwa makarani wa sensa, zingeweza kupangwa vizuri tungeokoa pesa nyingi za umma na kuzielekeza kwenye maeneo mengine. Mfano kulikuwa na ubaya gani kama wajumbe wa nyumba kumi na wenyeviti wa serikali za mitaa ,ambao ninauhakika wanawajua watu wao vizuri zaidi...
  17. GENTAMYCINE

    Hili la Kuteua Mwenyewe na Kutengua liangaliwe kwa umakini kwani litakuza kiwango cha Upigaji na Rushwa nchini

    Nashauri Rais anapoapishwa tu apewe muda fulani kwa Kutulia ili aweze Kuchagua Watendaji alio na uhakika nao Kiufanisi ili anapowateua basi wafanye Kazi na siyo kuteua Watu (Watendaji) kwa Kubeti au Kubahatisha kama inavyoonekana sasa. Kwa Mtazamo wangu GENTAMYCINE hasa kwa hii tabia ya sasa ya...
  18. The Sunk Cost Fallacy

    Ufisadi wa Awamu ya 5: CAG Mstaafu Utouh alia na upigaji wa Trilioni 1.2, aitaka Serikali ieleze pesa zilikokwenda

    Nawasalimu kwa jina la JMT.. CAG Mstaafu Ludovick Utouh na Mkurugenzi wa Taasisi ya Wajibu Tanzania ameitaka Serikali kufanya uchunguzi na kuwatafuta wote waliotafuna pesa kiasi cha Trail.1.23 zilizoibuliwa na Mkaguzi wa ndio mwaka wa Fedha 2019/2020.. Utouh Amesema licha ya pesa hizo...
  19. Sa 7 mchana

    Utapeli au upigaji wa wanaijeria

    Hawa jamaa wamekua ni kwikwi duniani kote kwa utapeli. Nawaza pengine yawezekana utapeli kwao ukawa ni sehemu ya vinasaba kwa kitaalum DNA. Kila siku wanakua busted/ kamatwa katika nchi tofauti tofauti na kurudishwa kwao. KISA CHA MJANE WA MIAKA 54 ALIETAPELIWA USD 90,000 NA MNAIJERIA WA MKIA...
  20. Nyankurungu2020

    Kama sio janja ya kutengeneza upigaji kwa manufaa ya tumbo lake hii ni nini? Waziri wa Nishati kuanzisha mradi wa Tril 1.7 kabla JNHP kukamilika

    Inaingia akilini kweli wadau? Tunahitaji huu mradi ukamilike ndani ya wakati na taifa liweze kupata nafuu ya bei ya umeme na kisha gharama za maisha kushuka chini na wananchi kufurahia keki ya taifa. Huku akijua kabisa mradi wa JNHP upo 40% lakini badala akomae mradi uishe kwa wakati na gharama...
Back
Top Bottom