"Watu wanafikiri nilienda Upinzani kwa sababu nilikasirika, lakini hapana, niliongea na Waandishi wa Habari nikawaeleza sababu ya mimi kuhamia upinzani ni niliona nchi inaenda kuongozwa kwa hasira, nikashauri tujenge chama kingine kama CCM ammbacho kitakuja kuongoza nchi kwa sababu najua kuna...