UPUMBAVU ni hali ya mtu au watu waliopata elimu lakini wameshindwa kuitumia kujikomboa wao wenyewe au kuikomboa jamii yao katika adha , dhiki, shida au aina yoyote ya mkwamo.
MPUMBAVU, ni mtu alitebahatika kupata elimu lakini kwa makusudi kabisa au kwa kutokujua hawezi kuitumia elimu yake...
Moja ya kosa kubwa lililo fanyika Tanzania toka utawala wa awamu ya kwanza ni kushindwa kupambana na udini.
Kilichofanyika wakati wa Nyerere na sasa ni kupambana na udini kwa kutengeneza udini wa dini hizi mbili Ukristo na Uislam.
Sio kweli kuwa Tanzania hakuna udini kama katiba inavyosema...
Na kibaya zaidi huyo Unayejitutumua kumuonyesha Mbwembwe zako si tu anakumudu bali anakujua ulivyo na mpaka Jikoni na Chumbani Kwako pia anakujua.
Wewe hujiulizi tu hata Miwani niliyovaa si ya kawaida ( ni ya Kinjagu tupu ) na nilikataa Kusalimiana kwa kupeana Mikono na Wanafiki Watatu kwakuwa...
Habari za uzima wakuu?
Kabla ya mwaka kuisha mwaka jana mwezi wa 11 rafiki yangu mmoja alinifata akaniambia passion ndugu yangu biashara kwa upande wangu sasa imekuwa haiendi kabisa, nimepokea ushauri kutoka kwa ndugu yangu mmoja kaniambia anipeleke kwa mtaalamu nikajisafishe.
Nikamuuliza wewe...
Baada ya kufuatilia ushauri wa Profesa Janabi kwa watanzania kuhusu aina ya maisha wanayoishi (lifestyle) na ambayo ni kisababishi kikuu cha magonjwa yanayoua lakini yanayoweza kuzuilika, ilinibidi nifanye utafiti kujiridhisha. Katika utafiti wangu nimegundua kuwa watanzania tunajiua wenyewe kwa...
Kuna mpuuzi mmoja sasa ni wiki katoka kulewa zake Mbezi Beach Tangi Bovu (jirani na kwa Bujibuji Simba Nyamaume) na akawasha gari yake na kuiendesha spidi na kizembe kabisa akaja kugonga moja ya kingo za Daraja muhimu la Bondeni Kawe na ikabakia kiduchu tu gari lake litumbukie mtoni na...
Kikosi kidogo cha askari wa Ukraine hivi karibuni kilifanikiwa kuvuka mto Dnipro oblast ya Kherson kutoka upande wa Magharibi na kuingia Mashariki ambako ndiko ziliko ngome za jeshi la Urusi tangu walipoamua kuachia eneo hilo la mashariki ambalo halina umuhimu kwao kiulinzi.
Kikosi hicho...
Nina uhakika na najua Wengi wenu Kiufundi hili hamkuliona na kuna baadhi hamtonielewa kwani inahitaji Jicho la uhakika Kuliona na Kujua.
Mpaka hivi sasa ( yaani leo hii ) najiuliza nini kilimkuta na kumsababisha Mshambuliaji Jean Baleke kwa dakika Mbili au Tatu kuwa na Mzozo na Mwamuzi...
🐘🦓🐅🦏🐎🦘🦒🐫🐇🦨🦜🦚🦃🐓🦩🐈⬛
Kati ya wanyama na wanadamu, nani wanaifurahia dunia?
👉 Mbona wanyama hawana hospitali?
Mbona wanyama hawana daktari bingwa?
Mbona wanyama hawana Icu?
Mbona wanyama hawana chumba cha upasuaji?
Wanaopigana kule ukraini na urusi ni nyani na tumbili?
Watoto na wazee...
NAFASI YA MKRISTO KATIKA VITA YA ISRAELI NA PALESTINA.
Shalom.
Juzi Palestina kupitia wanamgambo wa Hamas wameanzisha mashambulizi juu ya Israel, na inasemekana ni mashambulizi makubwa kuwahi kushambulia na kufanikiwa kuwaua Waisraeli zaidi ya 300 na wengine zaidi 100 kujeruhiwa, idadi hiyo...
Mh Waziri wa Elimu Prof Adolf Mkenda okoa mstakabali wa maisha ya binti huyu.
"Kaka Yericko pole na Majukumu, Naomba kaka nisaidie, mtoto huyu kwenye picha anaitwa SIFIKA DANIELY RUBEN, naomba apate Haki zake, Ipo hivi kaka, Nilikuwa natafuta binti wa kazi za ndani, Nikapata binti kutoka...
Sasa kama mnalisifia na mnalipenda Jeshi la Marekani kwa Utaratibu wake wa hasa Uniforms (Sare ) zao na Uvaaji wa Raia wa hizo Sare zao na Uzuri wa nchi yoo kwanini hasa hamhamii huko mkaishi na badala yake Sote tu tuko hapa hapa Dar es Salaam Tanzania tunasaka zetu Nyoka tu ili Kupambana na...
Mwanaume,
NDOA ikishafeli, na Wakati tu mgogoro wa kugombania watoto utapoanza na wewe ukakomaa nao, hapo kaa ukijua tayari umeshindwa kabla hujaanza. Yaani hapo Mwanamke tayari anakuwa amekushinda.
Mkienda Mahakamani, utashindwa.
Ukienda Kanisani, huko pia utashindwa.
Ukienda Ustawi wa...
SPIKA wa Bunge, Tulia Akson amewajia juu watanzania waosema bandari imeuzwa na kubainisha kuwa Mtu mpumbavu anazeeka na upumbavu wake.
"Wako baba zangu, wako mama zangu, jambo la uhakika kama ambavyo vijana wenye busara wanazeeka wakiwa na busara, kama ambavyo wako watu wenye hekima wanazeeka...
Wasalaam JF,
Tafadhari wanajukwaa naomba majibu naona hili swala muhimu la nchi kabisa na vizazi vyake la bandari limekaa kiushabiki wa dini naona waislam wameamua kwa makusudi kujivika uislam kuliko Utaifa wala chochote kile, nawasikia ingekuwa mzungu ndio anawekeza bandari za Tanganyika...
Kwa mujibu wa Yahaya Mkazuzu wa Clouds Fm anadai kuwa mashabiki waliokuwa wamechoshwa na kukaa kwenye foleni huku utaratibu wa kuingia uwanjani ukiwa haupo vizuri, basi mashabiki wakavunja geti na kuingia uwanjani.
Mvua kubwa inayoendelea hapo kwa mkapa, ikawafanya watu washindwe kuvumilia...
Timu inamilikiwa na anayesifiwa Tajiri Afrika halafu ndani yake kuna Uswahili Uliotukuka huku hata nae Tajiri akiwa ni Mswahili hivyo hivyo.
Timu inamilikiwa na Tajiri wa Kawaida tu GSM huku ikisimamiwa Kisayansi na Rais Injinia Hersi Said inazidi tu Kuchanja Mbuga Kimafanikio huku ikitutia...
Hivi mnajikutaga wakina nani? Elimu huna ata maarifa sifuri kila kitu unajua ,unafahamu wewe.
Hata kama unakijua kitu sikiliza pinga kwa hoja sio kubishana. Kitu hujui ila utasikia unambii kitu wewe. Au wewe kama nani? Daah
Kweli baadhi ya vijana wa kitanzania ni wendawazimu
Najiuliza Kama kipindi hicho angekuwa na Maono ya Hawa machawa sijui angesemaje - Sababu Kama Mjinga akiambiwa / akijifunza anaelewa;
Na Mpumbavu ni Kipaji yeye anabisha tu na akiambiwa haelewi nadhani ni Bora kuliko anayejua lakini anaendelea kufanya anchofanya huku akijua kina walakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.