upumbavu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. hugochavez

    Rais Magufuli ampongeza Marehemu Askofu Chengula kwa kukemea ushoga na mapenzi ya jinsia moja

    Ilikuwa leo katika ibada maalum ya kumuaga Marehemu askofu wa Jimbo kuu la wakatoliki Mbeya iliyofanyika Makao makuu ya baraza la maaskofu Tanzania Kurasini jijini DSM. Alipopata fursa ya kutoa salam Mh Rais Magufuli alisema sitamumunya maneno, Nampongeza marehemu askofu Chengula kwa mema...
  2. Phobia

    Mwanaume mzima unaendeshwa kihisia na mwanamke? Huo ni ujinga wa kiwango cha lami.

    Hivi mwanaume mzima halafu ukiwa kwa masela unajiita wewe ni mwanaume shababu halafu kutwa mapenzi yanakuendesha balaa huo si umbumbu? na ujinga? na ukichaa wa hali ya juu yaani mimi nikiona wanaume wa type hiyo natamani hata kuwapiga makofi hivi unaacha kuwaza pesa unawaza hawa ma slay queen...
  3. The Eric

    Kuoa Kumbe Siku Hizi ni Upumbavu Kabisa

    Wakuu! Sasa nazidi kuamini wanawake ni fwisi samahani niliteleza mkono yaani hizi nilimaanisha ni fisi. Yaani mwanaume ukiwa imara lazima mwanamke atakuangusha tu, tena anakuangusha pale pesa inapopelea kudadeki. Umezoea kuacha 10,000 jaribu siku useme leo sina kitu nunua hata mboga kidogo za...
  4. Mpigamimba

    Vijana acheni pombe, kwenye pombe ni fedheha

    Tabia ya unywaji pombe uliokithiri inaleta ndoto za ajabu ajabu. Mbali na ndoto hizo naona kabisa kuna ushetani unaniletea kivuli. Inapotokea umelala umelewa alfajiri unaota ujinga wa kukaa bar na kupoteza waleti, kutembea kifua wazi, ni dalili ya ukichaa. Pombe inamadhara akilini, wakati...
  5. N

    Sasa umeshakuwa upumbavu; Akilawiti shehe wakristo wanachekelea, akilawiti padri waislamu wanachekelea!!

    Ndo hali halisi humu jukwaani sasa! Hakiangaliwi chanzo tena, ikitokea habari ya kubaka/kulawiti basi watu hukimbizana kuangalia kwanza nani katenda na si ilikuaje au tatizo nini hadi limetendeka hilo. Akishajulikana tu mbakaji/mlawiti (kiimani) basi watu hukimbizana tena mbio za speed ya hali...
  6. mirindimo

    Polisi Tanzania mtaacha lini kufanya kazi kisiasa?

    Aliyefukuzwa TRC apekuliwa na polisi Summary Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limefanya upekuzi nyumbani kwa aliyekuwa Meneja Dar es Salaam. Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limefanya upekuzi nyumbani kwa aliyekuwa Meneja wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Kanda ya...
  7. Mwamuzi wa Tanzania

    Umaskini wa watu wengi hapa nchini umesababishwa na ujinga au upumbavu

    Habari! Samahani kama haya maneno "ujinga na upumbavu " vitakukwaza. UJINGA ni hali ya mtu kukosa ujuzi, elimu au taarifa fulani muhimu ambayo ingemsaidia kutatua changamoto za kwake au za jamii yake. Huku UPUMBAVU ni hali ya mtu kushindwa kutumia elimu, maarifa au ujuzi aliona ili kutatua...
  8. Kibunango

    Leo msafara una magari 25 hadi 30 kwa Kiongozi mmoja!

    Ulinz wa Viongozi kwa kweli unatia kinyaa! Ni kuanzia kwa rais wa Jamhuri ya Muungano hadi kwa rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar. Huu ulinzi wao umezidi mipaka, unatisha na wala haupo sambamba na hali halisi ya nchi yetu! Kumbuka tu tunasema kuwa nchi yetu ni ya amani na utulivu...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    Mtoto chini ya miaka 10 kumkatisha usingizi kisa masomo uchwara; Saa 11 Alfajiri?

    Kwema Wakuu! Shida zako zisikufanye uwe Mpumbavu kiasi hicho mpaka umtese mtoto wako WA kumzaa mwenyewe. Yeye anamakosa gani gani umtese hivyo. Yaani matatizo yako ya maisha unavyodhani yalisababishwa na wewe kutokusoma ndio unahamishia hasira na Mateso yote Kwa mtoto, huo ni upumbavu...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    Kwa waganga wasiende; Kwa manabii wasiende, mnataka waende wapi?

    Angalizo; Andiko hili linaweza likawa na Lugha Kali inayoumiza, hivyo Kama wewe sio mtu wa kuhimili lugha Kali nakusihi ishia hapahapa! Au usome ukiwa chini ya uangalizi wa Wanasaikolojia na Wataalamu wa mihemko. Kama utaendelea kusoma itahesabika kuwa unahimili au upo chini ya uangalizi...
  11. N

    Mjadala Kuhusu Mtu wa Kwanza Alikuwa na Rangi Gani na Alitokea Sehemu Gani, Ni Ujinga na Upumbavu

    Ye yote anayetafakari kwa kina, aliye na elimu ya vitu na uelewa wa mambo hawezi kuzingatia akilini mwake kwamba mtu wa kwanza alikuwa na rangi gani; au alianza kuishi eneo au bara gani. Rangi ya mtu; vyovyote inavyoitwa: mweusi au mweupe, si kitu chenye nafasi katika maana yenyewe ya mtu...
  12. Genius Mzee

    Makamba toka achaguliwe Wizara ya Nishati, Rukwa hatuna umeme

    Jamaa kaja na gundu ile mbaya Toka nianze kuishi Rukwa mwaka 2019 umeme haujawahi kukatika kwa siku mara kumi au kupotea kabisa kwa masaa zaidi ya 24. Ila Toka Makamba awe Waziri wa nishati umeme mkoa wa Rukwa hakuna kabisa na maeneo mengine unakatika mpaka mara 10 kwa siku. Inawezekana...
  13. Da'Vinci

    Mwanaume hakutakiwa kuteseka kisa mapenzi, kutokujitambua na upumbavu ndio kunawafanya kuwa hivyo

    By default wanadamu tulipoumbwa kila jinsia ilipewa majukumu yake, jukumu la viumbe wenye jinsia ya kiume (wanaume) wameumbwa kutawala jinisia ya kike (kike) katika kila Nyanja na jinsia ya kike imeumbwa kutawaliwa na jinisa me. Sio maneno yangu bali ni maneno ya vitabu vyote vya dini Quran na...
  14. Shujaa Mwendazake

    Kitendo cha kumpa Mbowe privilege kuwa hastahili kushtakiwa kwa ugaidi si sawa kisheria na ni kinyume na dhana ya "Equality before the law"

    Kwa elimu yetu ndogo ya uraia tulisomasoma kidogo kuhusu Equality Before the Law (The principle which requires a systematic rule of law that observes due process to provide equal justice, and requires equal protection ensuring that no individual nor group of individuals be privileged over others...
  15. Shujaa Mwendazake

    Ukweli Mchungu kwa Wanasimba: Televisheni ya Yanga kuwa na Thamani kubwa kuliko Klabu ya Simba ni upumbavu

    Naam kuweka uelewa sawa ni vyema nikafupisha mada. Lakini sitakuwa sawa kama sitowapongeza wanamsimbazi kwa ubingwa na hatua kubwa waliyopiga kwenye soka kwa miaka hii minne. Lakin pia niwapongeze kwa wapenzi wa timu ya Simba kwa support yao isiyokatika kwa timu yao. Tumekuwa tukifuatilia...
  16. M

    Rais Samia haupigi mwingi tena, kuna dalili za kutosha kuwa Uchumi utamuelemea

    Zipo kila dalili kuwa hali ya uchumi kwenye utawala huu wa Rais Samia unaenda kuwa fyongo! Hali hii itaenda kuyafanya maisha ya wananchi kuwa magumu sana. Nimeangalia kwa mfano viwango vipya vya tozo za miamala ya kutuma fedha na kutoa fedha kupitia mitandao ya simu, Gharama zake zimeongezeka...
  17. Its Pancho

    Nimegundua kusheherekea birthday ni upumbavu

    Wakuu, Hapo mwanzo na hata nilipokuwa mdogo, nilikuwa nikipenda sana kushehereka birthday kila ninapotimiza miaka fulani, (siku ya kuzaliwa) Lakini kadri umri unavyokwemda unakuja kugundua ni upumbavu na kupoteza muda, haswa sisi wanaume tuachane na haya mambo ya watoto, kama mimi nimeacha...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    Tujikumbushe: Lissu ni Mshindi

    TUNDU LISU NI MSHINDI Na, Robert Heriel Moja ya sifa ya Mtumishi wa Mungu ni kumshuhudia Mungu kwa Matendo makuu aliyoyafanya. Tumezoea watumishi wa Mungu tuendapo kwenye nyumba za ibada wakituhadithia simulizi za kwenye misahafu kwa habari ya mambo yaliyopita miaka ya kale. Wote...
  19. S

    Mbunge analipwa mshahara wa 3.8M kwa mwezi, anapata posho 8M kila mwezi, jumla 11.8M. Akiwa kwenye kikao analipwa posho ya kikao 240K

    Mbunge analipwa mshahara wa 3.8M kwa mwezi, anapata posho 8M kila mwezi, jumla 11.8M. Akiwa kwenye kikao analipwa posho ya kikao 240K kwa siku na posho ya kujikimu 120K, jumla 360K. Bunge la bajeti litakaa kwa miezi mitatu, akihudhuria vikao vyote atapata 32M, wastani wa 10M kwa mwezi. Kwahiyo...
Back
Top Bottom