Wakuu,
Hapo mwanzo na hata nilipokuwa mdogo, nilikuwa nikipenda sana kushehereka birthday kila ninapotimiza miaka fulani, (siku ya kuzaliwa)
Lakini kadri umri unavyokwemda unakuja kugundua ni upumbavu na kupoteza muda, haswa sisi wanaume tuachane na haya mambo ya watoto, kama mimi nimeacha...