Hivi karibuni, China imekabidhi funguo za jengo jipya la Bunge la Cameroon kwa Spika wa Bunge hilo, Cavaye Yeguie Djibril katika hafla iliyohudhuriwa na maofisa wa serikali, wanadiplomasia, na wageni wengine waalikwa. Spika Cavaye amesema, jengo hilo ni kubwa zaidi, zuri zaidi na lenye kuvutia...