Muda huu saa mbili ahsubuhi tarehe 11 June 2024, nimepita eneo la Urafiki jirani na Shekilango nikiwa ktk Mwendokasi kwenda Kimara, basi nililopanda lilipofika mataa ya Urafiki limechepuka kutoka njia yake na kupita barabara ya kawaida. Tumeenda mbele tunaona kuna umati ktk brbr ya mwendokasi...
Wakuu salama,
Natumai MUNGU amewaamsha salama na tuko katika mapambano ya maisha! Kwa wale wagonjwa MUNGU awape wepesi mpone haraka.
Wakuu nimekuja kwenu nina shida moja naamini vichwa humu mtanisaidia, mimi ni mtu ambaye sina marafiki wale wa kusema tunapigiana simu weekend hii wapi etc! Sina...
Salaam, Shalom!!
Usishangazwe na salamu, Kuna Wana wa Mungu wamenitoroka, nawatafuta niwarudishe nyumbani. Turudi kwenye mada.
Katika kuishi kwangu nimewahi kuona aina mbalimbali za walevi, Kwa nje unaweza kudhani wanapendana sana,
Mlevi mmoja alisafiri Kwa pikipiki karibia kilometa Tano...
Shalom,
Habari kwenu nyote wadau wa jukwaa hili, nimekuwa nikijiuliza sana haya maswali kwanini Yesu hakuoa, Kwanini Yesu hakuwa na mwanafunzi wa kike, kwanini Yesu pia hakuwa na ukaribu wala urafiki na wanawake?
Hili fumbo linatupatia Mtihani gani ?
Tusaidiane kufikiria, karibu kwa rejea...
Karibuni kwenye simulizi yangu ya maisha yangu ya kweli,Yenye Mapenzi na uchawi juu yake.
Story inaanza mwaka 2018 nikiwa mwaka wa kwanza pale udsm main campus,mwaka huo nilikuwa mwaka wa kwanza,nilikuwa nakaa hostel za chuo pale mabibo hostel block D ,basi maisha yalikuwa yanasonga tu...
Kuna watu tuna nusa kama mbwa.
Nishanusa kitu, huu ni mchezo wa kitoto umefanywa na wenye vyeo.
Haiingii akilini aiseee. Uue kiwanda uzalishe nyumba.
Kihesabu hapo ni sawa na 10-90 jibu linakuwa ni big NEGATIVE.
Nimesoma hapa JF kuhusu NHC kununua eneo la urafiki kwa njia ya Mnada kwa Shilingi Bilioni 3, nikahisi labda wamekosea au walimanisha Dola Bilioni 3, nilipoenda kwenye kurasa rasmi za NHC nikakutana na taarifa ileile.
Taarifa ya Ununuzi - NHC yanunua eneo la Urafiki lenye ekari 50 na majengo...
Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) limenunua rasmi eneo la Urafiki na majengo yaliyokuwa chini ya Kampuni ya Urafiki wa Tanzania na China (Tanzania - China Friendship Textile CO LTD) Jijini Dar es Salaam.
Meneja wa Mawasiliano kwa Umma wa Shirika la Nyumba la Taifa, Muungano Saguya ameyasema hayo...
Maisha yangu kwa muda mrefu nimekuwa nikiwa mdau wa kupenda sana ku hang na marafiki, nilipofika kwenye 25 nikaanza ku hang zaidi na small circle ya marafiki watano tu ambao tupo karibu sana
Kwa sasa nina 36, nimeanza kuona hata hao wachache wa karibu ni kweli tunajuliana hali, kutembeleana...
Azam yupo tayari kwa lolote hata kukihujumu ili Simba anufaike.
Leo Azam kauza nafasi ya pili makusudi kwa Simba.
Kuna msimu aliwapa Simba wachezaji 6 wa first 11 ndo Simba akatawala soccer la Tanzania kwa miaka 4 mfululizo.
Azam aliwapa Ngasa Simba.
Leo ameuza mechi wachezaji wa Azam wamecheza...
Salaam, Shalom!!
Thread hapo juu imejengwa katika Katiba ya Wana wa Mungu iitwayo Neno la Mungu.(Biblia).
Kusema kuwa haupo urafiki kati ya Mwanaume na mwanamke haimaanishi kuwa Pana uadui HAPANA, yapo mahusiano ya kibinadamu Kwakuwa sisi sote ni watu, tunahusiana katika nyanja mbalimbali...
Jimmy Carter ni rais wa Marekani wa 39 ambaye mnamo oktoba 1 mwaka 2023 alikuwa akisherehekea miaka yake 99 tangu kuzaliwa kwake mwaka 1924.
Rais huyo mstaafu alitwala Marekani kuanzia mwka 1977 mpaka 1981.
Miongoni mwa mafanikio ya utawala wake ilikuwa ni kufanikisha kutiiana saini ya...
Wana MMU,
Wengi tukisalimiana unaambiwa good moorning, unajibu tu kukamilisha salamu. Unaulizwa unaendeaje na hali unajibu fasta tu salama wakati ukweli ni kwamba unakaribia ku give up, maisha yako yameshikiliwa na ki uzi chembamba tu kiasi kwamba upepo ukipiga kidogo tu umekwenda.
Wengine...
WATENGE MARAFIKI KATIKA MAKUNDI
Na Comrade Ally Maftah
JITU LA MIRABA
Kutokana na utafiti nilioufanya katika miaka yangu 32 niliyoishi duniani, nimejifunza kuweka marafiki katika makundi mane ( 4 ).
1. DIAMOND FRIENDS(PLATNUMS)
Hawa ni wale marafiki ambao wanakupenda wewe moja kwa moja bila...
Kwema team MMU?
Marafiki ni watu muhimu na wenye manufaa makubwa kwetu, japokuwa wakati mwingine anaweza kuwa kichomi akavuruga maisha yako?
Mimi na rafiki yangu mmoja urafiki ulikufa sababu hakulipa deni langu, kila nikimdai anatafuta vijisababu vya kunikwepa, jamaa ananikwepa mpaka...
Vyama vya upinzani vya Tanzania ni kama wapo kwenye league ya kuoneana wivu.
Ni chama gani chenye urafiki na ushindani kwa chama tawala CCM, hii ni toka utawala wa Samia uanze.
Hali hii inanishangaza sana.
MAHOJIANO NA MALEBO Ma-Label
Interview matata sana hii inatupa picha Tanzania ilikuwa nchi ya aina gani, gharama za maisha, na kwa ujumla jamii iliishi vipi kusaka maisha
https://m.youtube.com/watch?v=s-8ms_N8IDU
Mzee Mabelo jina halisi Ndeanka mwenyeji wa kutoka Kilimanjaro Tanzania...
Kuna mfumo Fulani upo kwa Watu wa Jinsia ya Kike.
Unapo mtongoza tu unakua umempa Fulsa ya Kupata Pesa/ Mali kutoka kwako Mwanaume.
atataka umuaminishe Kama unampenda kupitia Pesa au Vizinga Vya Hapa na Pale.
Kipindi Pesa zinatoka we bado mzigo ujapewa, unajiaminisha utapata tu, Sasa swali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.