Nyakati zimebadilika; nyakati za sasa zinahitaji uwe na rafiki wa faida na sio rafiki wa kupiga tararila (maneno maneno).
Pia tukumbuke, maisha yanahitaji pesa na sio maneno.
Kwa mazingira hayo, ni vizuri kutafuta rafiki wa faida; ambaye uwepo wake unakuwa una tija. Unaweza kutumia majukwaa...
Ahlan wa sahlan
Naiomba serikali ifunge hizi ofisi uchwara zilizopo hapa maeneo ya shekilango na Urafiki. Mabasi ya mikoani yamekuwa hayaendi tena kupaki stendi ya Magufuli pale Mbezi badala yake yamekuwa yakijazana maeneo ya Shekilango na Urafiki nyakati za Alfajiri na Mchana. Najiuliza ile...
Wakuu, kumbe urafiki kati ya mwanaume na mwanamke unawezekana tena bila kupigana kizinga au kutongozana. Nina rafiki yangu wa kike ambae nimejuana nae takribani sasa mwaka ni mtu wa mkoa flani Babati huko sasa tumekuwa na urafiki wa karibu mno licha ni mwanamke mrembo haswa kama unavyowajua...
The second colonization of Africa:
CHINA'S EVIL PLAN FOR AFRICA
By the year 2050, according to the metrics of continental geopolitical ethnography, Africa will become a Chinese continent. African leaders, instead of setting up a "sinking fund" are just happy to revel in their own batty.
Fact...
Wadau habari zenu !
Kila nikipita pale eneo la Urafiki zile flats pale zimesheni ofisi za makampuni ya mabasi mbalimbali, lile eneo naona ni eneo zuri na endapo NHC kama watajenga apartments (maghorofa) na maeneo ya ofisi hakika NHC watapiga sana pesa, pale ni hot cake sanaa, au yale...
Na Fadhili Mpunji
Niliposoma maoni ya Rais Xi Jinping kwenye barua aliyoiandika tarehe 14 Septemba kukumbuka mchango wa Bw. Edgar Snow, Bw. Shafick George Hatem, Bw. Louis Eli, na Bw. Israel Epstein nilifarijika sana. Kilichonifanya nifarijike ni kwamba bila kujali wewe ni nani, uliotoa mchango...
Hivi karibuni, Marekani, Uingereza na Australia, chini ya uongozi wa Marekani, zilitangaza kuanzisha ushirikiano mpya wa usalama wa pande tatu, huku lengo kuu likiwa ni kuisaidia Australia kuanzisha vikosi vya nyambizi za kinyuklia. Australia ikavunja makubaliano yake na Ufaransa kuhusu kununua...
Rais Samia kwenda Zambia na Kikosi cha Viongozi mbalimbali wa CCM Je, ni mkakati wa kujenga Urafiki na kilichokuwa chama Pinzani?
Leo Rais Samia anatarajia kuondoka nchini kuelekea nchini Zambia kuhudhuria sherehe za kuapishwa Rais mpya wa nchi hiyo Hakainde Hichilema , miaka yote tumezoa Rais...
Majira haya ya asubuhi hii Rais Samia yupo safarini kuelekea Kigali Rwanda kwa mwaliko wa siku mbili na mwenyeji wake Paul Kagame (PK), nakumbuka JPM alipoingia tu madarakani alijenga sana urafiki na PK lakini baada ya muda mfupi tu urafiki wao ukaingia mchanga na vumbi baada ya hapo huyu PK...
Wana JF, salaam nyingi.
SUMU YA SIMU NA SUMU YA NYOKA:
“Naongea na simu”.
Siku hizi simu zinatoa sumu kali sana, hadi kuua zinaua. Hebu tulia kidogo, kisha fananisha kidogo simu yako na nyoka. Vipi, simu yako mara ya mwisho kutoa sumu ni lini?
Nyoka asipotoa sumu hana madhara, lakini akitoa...
🔏 Urafiki unawezekana bila ngono?
Naomba kuyaweka mezani Maswali Haya:
Je, rafiki ni nani? Ili mtu awe rafiki yako mambo gani ni ya msingi kutimia?
Je, rafiki wa jinsia iliyop tofauti na yako ana tofauti gani na rafiki wa jinsia yako?
Je, kuna uwezekano wowote wa kuwa na urafiki na mtu wa...
Hello friends. Leo katika story na sista wangu, nikagundua kuna shida ya mahusiano yabkirafiki inayopata wengi. Akanieleza jinsi ambavyo amekuwa hana bahati ya marafiki wa kweli, kqamba kila rafiki wa kike anayempata wanakuwa masnitch, wanafiki, wana wivu and all the like. Akanieleza jinsi...
Nawasalimu kwa jina la JF, shuhuda ziendelee.
Wakuu imepita takribani miezi kadhaa hivi tangu ni fahamiane na huyu dada, nikiri kwa hii hali iliyofikia mie ndiye wa kulaumiwa.
Ilikuwa majira ya jioni nimetoka pindi nikechoka nikaona sio mbaya nitafute mtu stranger nipige naye story nimzingue...
Wakati wa uhai wake, marehemu baba aliwahi kuwa na urafiki na majirani zake, mmoja wapo ni tolu. Hata pale baba alipopata uongozi wa kijiji ushauri mwingi aliutoa kwa jirani tolu.
lakini katika siku za mwisho za uhai wake hapa duniani, baba alikosana mno na jirani yake tolu, wakawa hata...
Good afternoon JamiiForums.
Je, unataka urafiki wenu uendelee kudumu miaka na miaka? Basi usijenge nyumba jirani na yule "best friend" yako. Usifikiri mkijenga majirani ndio mtadumisha urafiki wenu mkuu. Hapana kwa sababu kuu moja kwamba, wewe na yeye mnaweza kuwa "best friends" lakini wake...
Katibu mkuu wa CCM ndugu Chongollo amesema CCM haitajiingiza katika siasa za kibabe na visasi bali itajikita kwenye siasa zake za asili zilizosheheni Upendo na Urafiki.
Huu ni mwanzo mzuri sana kwa sekretarieti mpya ya CCM na vyama makini vya upinzani ikiwemo ACT wazalendo wamepongeza.
Kazi...
Kufanya biashara kila mtu anaweza ila shida inakuja kwenye kudumu katika biashara mtu anayofanya na si tu kudumu ila kufanikiwa katika biashara aliyodumu akiifanya.
Watu wengi ni wafanyabiashara ila ni wale watu shika hiki acha shika kile acha (mapepe) kuna mtu anafungua biashara ila hana...
Kumekuwa na maneno na hofu kutoka kwa baadhi ya Watanzania hasa baada ya Raisi Samia kufanya juhudi za kuurejesha tena uhusiano na Kenya ambao ulidhoofika sana awamu ya Tano.
Awamu ya Tano iliona Ni muhimu zaidi kuikumbatia Rwanda ya Kagame kuliko Kenya. Ikafikia wanyarwanda hadi wanakuwa...
Tuliweke sawa hili.
Mimi nasema HAKUNA urafiki wa namna hiyo.
Ukisikia mwanamke anasema ana marafiki wengi wa kiume kuliko wa kike, ujue kuna namna anawatumia hao wanaume. Ananufaika big time.
Na wanaume sio wajinga, katika huo urafiki hata ikiwa mwanamke ameolewa au ana bwan’ake ujue wapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.