urafiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pfizer

    Nchimbi: Uhusiano wa Tanzania na Urusi kuboreshwa kunufaisha pande zote

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi amesema kuwa CCM, chini ya Mwenyekiti wake, ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dk. Samia Suluhu Hassan, itaendelea kudumisha uhusiano na urafiki wa muda mrefu kati ya Tanzania na Urusi, ukilenga...
  2. S

    Siku hizi kuna urafiki tu

    Mapenzi na mahusiano hayapo kabisa ,hata ndo za siku hizi hazidumu .ukiangalia wabibi na wababu wapo kwenye ndoa tokea na kabla ya uhuru ila ndoa za kuanzia miaka ya 90 zinamatatizo makubwa sana. Lipi la kufanya ? Maana tupo na miaka ya drones ,huna unalofanya lisionekane na kujulikana hata...
  3. S

    Je, mahusiano bila kufanya mapenzi ni sawa na urafiki tu?

    Habarini ndugu zangu, Siku nyingi Sana sijaanzisha Uzi humu Nina swali ambali nimeuliza Artificial intelligence wengi na pia marafiki zangu wengi wa kiume na wa kike...nimepata majibu tofauti kutokana na mitazamo tofauti. Swali langu ni Je katika umri wa ujana mdogo (20-25) au umri wa chuo...
  4. S

    Je dating(mahusiano) bila kufanya mapenzi ni urafiki tu?

    Habarini ndugu zangu, Siku nyingi Sana sijaanzisha Uzi humu...nimekuja Leo kwenye jukwaa pendwa la mapenzi Nina swali ambali nimeuliza Artificial intelligence wengi na pia marafiki zangu wengi wa kiume na wa kike...nimepata majibu tofauti kutokana na mitazamo tofauti. Swali langu ni Je katika...
  5. Fintan20

    Weka urafiki na wanajeshi (bakabaka) hutojutia

    Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano? KUna ndugu yangu alisema kataa kabisa urafiki na askari polisi. Naunga mkono hoja. Mimi nasisititiza kama kichwa cha habari kinavyosema, tengeneza urafiki na askari wa mabakabaka, hawa watu wapo very humble, wana upendo na heshima katika jamii, japo...
  6. Expensive life

    Mimi huwa sina urafiki na mwanamke, ukiingia kwenye rada zangu lazima nikuombe!

    Eti vidume wenzangu nyie mnaweza kuwa marafiki na hawa watoto wazuri wa kike mimi siwezi aiseeeh, yaani ukiona tu najisogeza kwa manzi hiyo mbinu ya kuomba tunda. Akininyima namwambia sawa mama pita hivi na mimi nipite hivi. Kumekuwa na kasumba mtaani eti urafiki kati me na ke inawezekana hiyo...
  7. benzemah

    Rais Samia Atoa Bil 2.4 Malipo ya Wafanyakazi wa Urafiki

    CHAMA cha Wafanyakazi wa Viwanda, Biashara, Taasisi za Fedha, Huduma na Ushauri (TUICO), kimeipongeza Serikali kwa kutoa sh. bilioni 2.4 za malipo ya wanachama wao waliokuwa wanafanya kazi katika Kiwanda cha Nguo Urafiki ambapo madai yao yamedumu kwa kipindi cha miaka 10. Mball na serkali kutoa...
  8. Extrovert

    Kutumiwa meseji za maombi ya urafiki

    Natumaini mu wazima. Ni takribani week mbili sasa napokea sms katika mtandao wa whatsapp na namba ngeni tofauti tofauti nyingi zikiwa ni za pisi tofauti wakijitambulisha mimi ni flani tuko pamoja kwenye kundi flani naomba usevu namba yangu wakiuliza na wewe nikusevu nani. Kimsingi huwa sisevu...
  9. De Capri Don

    Tatizo la Ndoa SI kukosekana Kwa Upendo Bali kukosekana Urafiki baina ya wanandoa.

    Baada ya Salam. Hebu Leo tuangalie nafasi ya Urafiki katika ndoa maana wengi hujikuta tunaoa au kuolewa Kwa sababu tofauti. -Kuna wanaolewa/kuoa sababu ya Mali au umaarufu -Kuolewa-kuoa baada ya mistake ya mimba -Kuolewa-kuoa sababu ya umri kuwa mkubwa au umri wa kuolewa kufika -Kuolewa-kuoa...
  10. Roca fella

    Urafiki, mipaka na mahaba

    Hii ni stori ya ukweli iliyo tokea nchini Tanzania, jijini Arusha mnamo mwaka 2021, mwezi wa septemba ( 9 ) tarehe Kama ya leo 09. usiku wa saa 7, mwanadada mrembo aliye amua kujiua mwenyewe, kuilazimisha roho itoke pasipo idhini ya Mola Mlezi. Watoto , ndugu , Jamaa na marafiki mpaka...
  11. L

    Kuinuka kwa uhusiano kati ya China Benin kwaonesha dhana ya ukweli, uhalisi, urafiki na udhati ya China kwa Afrika

    Rais wa China Xi Jinping hivi karibuni alifanya mazungumzo na Rais wa Benin Patrice Talon, ambaye alikuwa ziarani nchini China, na kutangaza kuanzishwa kwa ushirikiano wa wenzi wa kimkakati kati ya nchi hizo mbili. Kuinuka kwa uhusiano kati ya nchi hizo mbili kutasukuma mbele zaidi ushirikiano...
  12. Pang Fung Mi

    Hayupo awaye yeyote anaweza kuuvunja urafiki wa damu ladha mixer ya Hanson choice na Mo energy

    Wasalaam JF, Nikiwa nakula vibe la amapiano kali nitoe ujumbe na rai ya kutambua urafiki wa damu kati ya Mo energy na Hanson choice. Ni ujio pekee wa Yesu ndio unaweza kuamua vinginevyo. Nawasilisha kwa mengineyo Shukrani 🙏 🙏🙏 Wadiz sina ufungamano na kuuzwa kwa Bandari zetu
  13. Exile

    Urafiki na madereva wa masafa marefu ukiwatumia hela 75% hesabu umetoa sadaka

    Hawa jamaa wanakuwaga na shida mbalimbali katika safari zao wakipatwa na shida. Unakuta mzee msaada hapa gari imepata tatizo nisaidie kunitumia hela mimi bosi wa gari akinitumia nitakutumia na shida ninunue spea kufnge chapu niendelee na safari. Baada ya kutuma mzee asante sana nimepata...
  14. Pang Fung Mi

    Mtazamo wangu: Urafiki wa kawaida kati ya muislam na muislam una mashiko ya kweli kuliko urafiki wa mkristo na mkristo mwenzie

    Wasalaam JF, Tafadhari niwape hio changamoto kila mmoja ajaribu kufuatilia urafiki baina ya vijana waislam, wadada waislam, wamama waislam, wababa waislam, na makundi hayo upande wa wakristo tena tujiangalie wenyewe. Na hii haina nia mbaya bali naileta kama chagizo na changamoto Kwa pande zote...
  15. chiembe

    Sio T.R.A tu, mamlaka za kodi dunia nzima zinaogopeka na hazina "urafiki" na walipa Kodi, moja kati ya hizo ni "TRA" ya Marekani, inaogopwa mno!

    Mamlaka za kodi ni "polisi wa mapato" inachukua halali ya serikali, na kawaida, ni jbo gumu kwenda kuchukua kwa mtu fedha yake, lazima alalamike. Watanzania hatujiulizi kwa nini makusanyo Sasa ni trilioni mbili? Wakati mwanzo ilikuwa trilioni moja na bilioni 200? Nani hawa walikuwa wanakwepa...
  16. saadala muaza

    SoC03 Urafiki wa Tumbili na Mamba

    Mwandishi: Saadala muaza Lilikuwa ni ziwa lenye uzuri wa ajabu.Uzuri ambao ulipambwa kwa miti mirefu iliyojaa rangi ya kijani. Pembezoni mwa ziwa hili kulikaliwa na nyasi zilizosambaza mbawa zake na kulipa sura ya peponi ziwa hili. Katika moja wapo ya miti mizuuri iliyopatikana katika ziwa...
  17. Pang Fung Mi

    Mchungaji Kimaro amelewa urafiki wake na matajiri

    Wasalaam JF, Hekima na busara ni speed governor ya kuzuia kuropoka na kufoka, dhana ya matajiri na maskini ndani ya kanisa si yenye afya, kanisa ni pahala jumuishi, uchakataji wa jumbe za injili unahitaji maandalizi , busara, hekima na ukomavu katika madhabahu. Yawezekana KKKT imemfanya Mch...
  18. Hemedy Jr Junior

    Upendo, Muda na urafiki

    FAHAMU MAMBO MATATU(3) KWENYE MAISHA HAPA DUNIANI. [ ] MUDA. [ ] URAFIKI. [ ] UPENDO. • habari za wakati huu... Kijana unatumia vipi muda wako katika (nyakati hizi) Muda ni mali aya muda unakuwaje mali sasa maana muda wote tuko bize mitandaoni vipi tunatumia mitandao kufanya mambo SAHIHI au...
  19. Meneja Wa Makampuni

    Mfumo wa uongozi ambao unategemea uwezo, ujuzi na uzoefu wa mtu, badala ya uhusiano wa kichama, kifamilia au urafiki

    Ni muhimu sana kwa Serikali kuwa na mfumo wa uongozi ambao unategemea uwezo, ujuzi na uzoefu wa mtu, badala ya uhusiano wa kichama, kifamilia au urafiki. Kuweka ndugu au marafiki kwenye nafasi za uongozi bila kuzingatia uwezo wao ni hatari kwa maendeleo ya nchi yetu. Kwa hiyo, ni muhimu kuwa na...
  20. Mohamed Said

    Mwajame Dossa Aziz Anaemeza Urafiki Ndugu Baina ya Baba Yake na Julius Nyerere

Back
Top Bottom