Timu Maalumu inayo ongozwa na Prosper Alexander Kisinini mwanasheria wa Serikali imetinga wilayani Mbarali kwa Mafunzo yaliyoandaliwa na wizara ya katiba na Sheria kwa lengo la kuwajengea uwezo watendaji wa serikali za mitaa pamoja na viongozi mbalimbali wilayani hapo ikiwa ni mwendelezo wa...
Yameibuka mapya huko mbele.
Mkuu wa Kaya 'machachari' wa huko mbele sasa anafikiria kuanzisha program mpya kamambe anaoamini kuwa utakuwa na tija hasa, kubwa ikiwa kuongeza pato la Nchi yake.
Mpango huo ni wa kuuza kitu inaitwa
GOLD CARD.
Akinukuliwa na...
Kweli bongo new york,yanga pale kuna kitu wachezaji wa kigeni huwa wanalishwa si bure,kuna msululu wa wachezaji waliopita yanga hawataki kurudi kwao,kuanzia Makambo mpaka chirwa
Aziz Ki ameanza mchakato wa kuomba uraia huenda akawa kocha hapohapo uto baada ya kustaafu mpira na kufirisika
Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa Benki ya Credit Suisse, Tidjane Thiam ,62, ameukana uraia wake wa Ufaransa ili kutimiza masharti ya kushiriki katika uchaguzi wa urais wa Ivory Coast unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba.
Mwaka 2023, Thiam alichaguliwa kuwa kiongozi wa PDCI moja ya vyama...
Alliyekuwa Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa Benki ya Credit Suisse, Tidjane Thiam ,62, ameukana uraia wake wa Ufaransa ili kutimiza masharti ya kushiriki katika uchaguzi wa urais wa Ivory Coast unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba.
Mwaka 2023, Thiam alichaguliwa kuwa kiongozi wa PDCI, moja ya vyama...
UHURU WA MAHAKAMA
Kwako Ibrahim Juma , CJ.
MH. JAJI MKUU NAOMBA UPITIE UONE KAMA KUNA HAJA YA KUIGA MFANO HUU WA MAHAKAMA HURU
Jaji wa Mahakama ya Wilaya ya Marekani, John Coughenour, ametoa agizo la muda la kusitisha utekelezaji wa amri ya Rais Donald Trump ya kufuta uraia wa kuzaliwa nchini...
Wakili Madeleka ametangaza Nia yake kumpeleka pingamiza mahakama ya uraia wa wachezaji 4 wa Singida Black Stars ambao walipewa uraia wa Kimagumashi
Nakukumbusha Madeleka huu uhuni watangulizi wake ni Simba na hapa Singida waliiga
Kibu anadai alikuwa nchini Toka zamani mwaka 1998, lakini Kibu...
1. Baada ya kuibuka kwa sakata la Kuwapa Uraia kiholela Wachezaji mpira wa Kigeni waliosajiliwa na timu ya Soka ya Singida United, Idara ya Uhamiaji walitoa taarifa yao ambayo wanadai kuwa inalenga kutoa ufafanuzi kuhusiana na suala hili. Taarifa husika imeambatishwa hapa kwenye uzi huu.
2...
Acha na vigezo vingine kutoka FIFA
Wachezaji wanaobadili uraia ni makapi yaliyotemwa Africa Magharibi ambao hata hawatambuliki kama wanafanya kazi ya kucheza mpira labda mataifa Yao wanajua ni vibarua tu
Kwa mfano
1.Azizi ki - Burkina Faso
Huyo hata umpe mbuga ya Serengeti, hawezi kukubali...
UHAMIAJI TANZANIA na TISS wala msiwe na wasiwasi hili Jambo ni jema mno kwa Taifa letu hivyo endeleeni tu Kulala na Kuliachia kwani litadumisha sana Utaifa na Uzalendo wetu wa Kihistoria sawa?
Wakuu nadhani siyo jambo la kawaida uraia kutolewa kwa wachechezaji wa kigeni,ilianza kwa Singinda Big Stars sasa nasikia Simba nao wachezaji 9 wanaomba uraia.
Nimewaza tu je huu sio mpango kweli kwa mechi za kimataifa kama CHAN na AFCON ili tuwe na kikosi imara cha Taifa Stars? Tusishangae...
Washabiki wa Simba na viongozi wao ni wasahaulifu sana Kibu Dennis alipewa uraia kwa mlango wa nyuma tena kwa kauli ya wazuri mkuu lakini hawakulalamika
Leo hii Singida Black Stars wamefanya kilekile walichofanya Simba inakua nongwa tuacheni double standards
Soma:
Rasmi: Kibu Dennis ni...
TAARIFA KWA UMMA
Idara ya Uhamiaji inapenda kutoa ufafanuzi wa taarifa zilizochapishwa na kujadiliwa kwenye mitandao ya kijamii na Vyombo vya Habari kuhusu kupatiwa uraia wa Tanzania wachezaji watatu wa Timu ya Mpira wa Miguu ya Singida Black Stars.
Wachezaji wanaotajwa kwenye taarifa hizo ni...
Singida Black Stars imewabadilisha uraia wachezaji wake wanne wa kigeni na kuwa raia wa Tanzania, Singida imefanya hivyo ili kukidhi kanuni ya kuwa na wachezaji 12 wa kigeni.
Wachezaji hao ambao wamebadili uraia ni Emmanuel Keyekeh, Arthur Bada, Damaro Mohamedi na Golikipa Amas Obasogie...
Trump kweli kaamua,ila ataweza?? Naona maana nyingine zimekaa kikatiba !Muda utaamua! Vipi ikija bongo??
Trump has vowed to end birthright citizenship. Can he do it?
President Donald Trump has said he plans to end "birthright citizenship", which refers to automatic American citizenship...
Kuzaliwa baharini ni tukio la nadra linalochochea maswali ya kisheria na kijamii kuhusu utambulisho wa uraia.
Je, mtu anayeona mwanga wake wa kwanza akiwa majini, anahesabika kama raia wa nchi gani? Swali hili linaibua changamoto za kipekee, huku majibu yake yakitegemea vigezo mbalimbali...
Waparee mpoooo
Jumuiya ya waparee waishiyo Kenya wameomba KUTAMBULIWA RASMI. Kama wakenya na wachangiaji WA uchumi WA Kenya
Wakiongea MBELE ya makamu WA RAISI wamesema wanaomba kupitia gazeti rasmi la serikali watambulike kama wakenya
BAADA ya maambi hayoo MH makamu WA rahisi amewahakikishia...
Serikali inapaswa kutafakari ni kwa namna gani wanaweka usawa kwenye hili.
Wahitimu kutoka bara wanalalamika sana. Ajira zinazotangazwa bara wanasailiwa hadi wazanzibar, lakini ajira zinazotangazwa Zanzibar, sifa moja wapo kubwa ya kusailiwa ni kuwa mzanzibar.
Mzanzibar anafaida mara 2...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.