uraia

  1. K

    Wapeni Uraia wakimbizi wa Burundi na Congo

    Ushauri kwa serikali kama kuna wakimbizi wamekaa zaidi ya miaka 5 wapewe Uraia tena bila masharti ili waanze kuchangia kwenye maendeleo badala ya kuwekwa kwenye makambi. Ni kitu cha kawaida kuwa na Watanzania waliozaliwa nchi nyingine na tayari kuna watoto wamezaliwa Tanzania na wamekuwa...
  2. kavulata

    Uraia pacha kwa taifa changa ni kifo kuliko faida

    Kuna sababu dhaifu sana za kuhalalisha uraia pacha. Nchi zetu hizi zina mifumo legelege sana ya kudhibiti uhalifu na wizi wa mali na rasilimali za taifa. Hata bila uraia pacha mali zetu zinaibwa na watanzania na viongozi wetu na kwenda kufichwa nje ya nchi (ulaya, marekani na Asia (Dubai, oman...
  3. GENTAMYCINE

    Mnaoungana nami Kesho kuomba Uraia wa muda wa Taifa la Ghana tutambuane tafadhali

    Kuna Wenzetu wengine kwa Roho zao Mbaya leo walijipendekeza kuomba Uraia wa Taifa la Morocco ila baadae kwa Kuumbuka na Kuonana Onana wakaamua tu kurejea kuwa Wananchi wa Tanzania. Mume kamaliza Kazi leo tarehe 19 Desemba, 2023 hivyo ni matumaini yetu kuwa na Mke nae Kesho tarehe 20. Desemba...
  4. Kigoma Region Tanzania

    Vitu kadhaa bado vinawatesa watu wa mkoa wa Kigoma, hili ni swala la Uraia

    Ni wakati wa kubadili mwelekeo kukomesha ubaguzi wa kimfumo, ni muhimu kwa nchi kupitisha "ajenda maalum ya mabadiliko ili kung'oa ubaguzi wa kimfumo juu ya ukiukaji wa haki za kibinaadamu, kiuchumi, kijamii, kitamaduni, kiraia na kisiasa unaowakabili watu wa asili ya mkoa wa Kigoma. Mijadala...
  5. B

    Serikali iruhusu uraia pacha kati ya miaka 0 hadi 35

    Tunajua serikali inahofia kuruhusu uraia pacha kwa sababu za kisiasa kwamba atatokea mtanzania huko mambele mwenye ushawishi na kuchukua nchi. Hilo tuliache. Tanzania kwa siku za hivi karibuni inajitutumua kwenye nyanja za michezo kimataifa. Mfano hivi karibuni, timu ya Taifa ya mpira wa miguu...
  6. BigTall

    Tuliosoma Somo la Uraia, nani anakumbuka ‘definition’ ya Demokrasia?

    Leo ni Siku ya Demokrasia Duniani, wakati nasomasoma mitandaoni pia nimeona uzi flani huku JF ukiwa na maelezo meengi kuhusu Demokrasia. Bila kujali kama Nchi yetu tuna maana halisi ya matumizi ya neno hilo, tujikumbushe masomo ya Uraia na Civics, nani anakumbuka definition ya neno Democracy...
  7. The Burning Spear

    Inakuwaje Rais wa Zanzibar anawapa wahamiaji Uraia wa Tanzania?

    Nimeshangaa sana kusikia hilo maana huko Zanzibar watanganyika tunajulikama kama raia wa nchi nyingine. Cha kusikitisha wazanzibar huku bara wanaonekana ni kwao. Tafasiri ya harakaharaka hao waliopewa uraia na mwinyi wanaweza kuja huku bara wakiwa na haki sawa za utanzania. Kwa nini Rais wa...
  8. MK254

    Mamia ya wanariadha wakana uraia wao Urusi na kuomba uraia wa mataifa mengine

    Jameni Putin anaachiwa liinchi, matajiri wanahama, wanariadha wanaukana uraia na kukimbilia kwingine, vijana wameitoroka nchi, maskini ndio wanaachwa kuendelea kupambana na hali...ila kila anayepata upenyo anajiondokea. PHOTO: RIA NOVOSTI Russia’s Ministry of Sport says that over 100 Russian...
  9. Chachu Ombara

    Rais Mwinyi awakabidhi vyeti vya uraia wa Tanzania wahamiaji wasiohamishika 3,319

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema nchi imeandika historia mpya kwa kuwakabidhi vyeti vya uraia wa Tanzania wahamiaji wasiohamishika 3,319 ambao wameishi nchini kwa zaidi ya miaka 50 wakiwa na asili ya mataifa jirani ya Burundi, Comoro...
  10. Chachu Ombara

    Profesa Lipumba: Hakuna haja ya elimu ya uraia kuandika upya Katiba

    Profesa Lipumba amesema kuwa hakuna sababu ya kutoa elimu ya uraia kwa wananchi kwa miaka mitatu ili kuandika upya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Profesa Lipumba ameongeza kuwa Tume ya Jaji Warioba ilishatoa ufafanuzi kuwa wananchi wanaelewa aina ya katiba wanayohitaji na hakuna...
  11. Kabende Msakila

    Mtu kuondolewa uraia wa nchi yake: siasa zetu ni za maendeleo?

    Dkt Slaa kapokwa hadhi ya ubalozi Askofu Niwemugizi alipokwa hadhi ya uraia Askofu Zachary Kakobe akapokwa hadhi ya uraia wake Generali Ulimwengu akapokwa hadhi ya uraia wa nchi yake Sasa hizi siasa ni za maendeleo au kukomoana? Je, viongozi mjao mna la kujifunza ili kesho ya watanzania iwe...
  12. ThisisDenis

    Ifike mahali tuseme inatosha! Inashindikana vipi kutoa uraia pacha?

    Ifike mahali sasa tuseme inatosha inashindikana vipi kutoa kibali cha uraia wa nchi mbili, katika hali ya kawaida tu kitu ambacho kinaumiza mno. Naomba sasa wanaharakati wenzangu kupigania hili, tuna kesi nyingi juu ya hili na serikali na baadhi ya mihimili inalijua hili. Ni majibu tu ndio...
  13. U

    Wapemba 7,000 wapewa uraia wa Kenya

    Rais Ruto amewapa uraia wa Kenya Wapemba Elfu Saba (7,000) leo hii Jumamosi Wakiishi maeneo ya Kilifii Wapewa National Id, Birth certificates n.k Wamekuwa wakiishi huko kwa miaka 100 na hata baada ya Uhuru Serikali iligoma kuwapa uraia wa nchi hiyo
  14. K

    Professor Kabudi apotosha kuhusu Uraia pacha! aombe msamaha

    Msikilize Emanuel akitoa data za ukweli anzia dakika ya 17:05
  15. GoldDhahabu

    Tanzania na Suala la Uraia Pacha

    Katika Bara la Afrika lenye nchi 54, ni nchi chache tu, takriban nchi 10, ndizo zizsizokubali uraia pacha. Nchi hizo ni pamoja na Tanzania, Ethiopia na Congo D.R.C. Hata nchi jirani ambako baadhi ya Watanzania wamekuwa wakijinasibu kutaka kuhamia, yaani, Burundi, wametupiku katika hilo. Lakini...
  16. sky soldier

    Napendekeza Bagamoyo iwe sehemu ya Zanzibar ili na sisi tuzamie tupate uraia wa Zanzibar tupate nafuu ya ajira, vyeo, teuzi, n.k

    Niendelee kung'ang'ania ubara kwanini wakati uraia wa Zanzibar unarahisisha maisha? Wazanzibar wamebahatika zaidi kupata uwanja mpana tena wa kipendeleo kabisa katika nafasi za uongozi, ajira, vyeo, teuzi, n.k. JKT wengi kama sio wote huwa wanabakizwa kujiunga na Jwtz, Polisi, Usalama, n.k na...
  17. BARD AI

    Serikali: Watanzania 66 wameukana Uraia

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni leo amewasilisha Bungeni Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha kwa Mwaka 2023/2024 ambapo moja ya mambo aliyoyasema kwenye hotuba yake ni kwamba hadi kufikia mwezi May, 2023 Watanzania 66 waliukana uraia wa Tanzania na kupewa uraia wa...
  18. Mwl.RCT

    SoC03 Uraia Pacha: Kuunganisha Tanzania na Diaspora kwa Maendeleo Endelevu

    URAIA PACHA: KUUNGANISHA TANZANIA NA DIASPORA KWA MAENDELEO ENDELEVU. Imeandikwa na: Mwl.RCT UTANGULIZI Uraia pacha ni hali ya kuwa raia wa nchi mbili kwa wakati mmoja. Inawawezesha watu kufurahia haki na huduma za kisheria, kiuchumi, kisiasa, na kijamii katika nchi zote mbili wanazohusika...
  19. Mwamuzi wa Tanzania

    Mamlaka zinasubiri nini kumpa ofa ya Uraia Mayele?

    Habari! Kuiga jambo si ujinga, cha muhimu ni kuangalia faida za jambo lenyewe. US. hawana kuchelewachelewa kwenye suala la kutoa offer ya uraia wa kudumu kwa mgeni anayefanya vizuri. Wakiamini yeye au kizazi chake watafanya makubwa kwa Taifa lao. Tusipoteze fursa hii ya Mayele. Akipata team...
  20. B

    Serikali yatoa msimamo kuhusu Uraia Pacha

    Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imetoa msimamo wake kuhusu masuala ya uraia pacha nchini baada ya hivi karibuni kuwa na mijadala mbalimbali ya uraia pacha. Akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum Agnesta Kaiza leo Bungeni Jijini Dodoma, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad...
Back
Top Bottom