uraibu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Eli Cohen

    Uraibu ndio source kubwa ya utajiri wa kupindukia.

    Pesa ya mtu anaekuja kwako at least siku tano ndani ya wiki ya maisha yake maana asipokuja hapo anajisikia kufa kufa, ni pesa zilizotajirisha watu sana. Maana mtu akishakuwa na uraibu wa vifuatavyo atatumia pesa nyingi sanaaaaa: Ku-bet Mitungi Mikasi Dope Fast Food Social media Makampuni ya...
  2. R

    Sikujua kupendeza ni uraibu, Anatumia laki 4 kwenye mavazi kila mwezi kwenye mshahara wa laki 9

    Ni kijana mwenye 25 kabahatika kupata ajira sehemu flani yenye mshahara huo wa laki 9 Kijana anapendeza kweli, ni anajua kuyapangilia mavazi, ni sifa inayomtambulisha zaidihasa kwa jina la kifaransa analopenda kujiita. Katika mshahara wake wa laki 9 hutenga laki 4 kwajili ya mavazi, si jambo...
  3. Manfried

    Wale ambao ndugu zenu wameathirika na uraibu mbalimbali kama Pombe, Bangi, Madawa n.k, naomba tuwasiliane kwa ajili ya matibabu

    Wale ambao mna watoto au ndugu zenu Ila tayari wameathirika na uraibu mbalimbali kama Pombe, Sigara na Bangi naomba tuwasiliane ili niwapatie matibabu. Tupo na kituo cha rehabilitation (Rehab) Kwa ajili ya HUDUMA zifuatazo: 1. Waathirika wa pombe , bangi na madawa 2. Huduma za kisaikolojia...
  4. monta

    Ni kitu gani ambacho kilikufanya uwe addicted nacho?

    Wakuu ni kitu gani ambacho ulikianza kama utani lakini leo hii imegeuka kuwa uraibu kwako yani huwezi kukaa bila kufanya hicho kitu. Kwangu mimi ni kucheza games(play station). Nakumbuka kipindi naanza form 1 miaka ya 2008 huko kanda ya ziwa ilikua tukienda town weekend tunakutana na video...
  5. L

    Nipepo au ni uraibu? Anaomba msaada

    Salaam wanajukwaa. Jamaa yangu amepatwa na tatizo ambalo yeye mwenyewe halielewi na hata Mimi aliyenisimulia nimeshindwa kumuelewa ndomana nimelileta kwenu. Iko hivi, huyu rafiki ni mtumishi wa umma kwa zaidi ya miaka 10 sasa. Pamoja na mshahara anaopata anajitahidi kupambana nje yakazi na...
  6. Rorscharch

    Ukweli Usiosemwa Kuhusu Uraibu (addiction): ni zaidi ya Dawa za Kulevya na Pombe

    Muhtasari Uraibu si suala la dawa za kulevya au pombe pekee; ni suluhisho lililokosewa kwa matatizo ya kina yanayotokana na hali ya kutokuwa na amani na nafsi. Kuelewa uraibu kunahitaji kutazama mizizi ya kihisia inayosababisha hali hiyo na siyo kuangalia tu dalili zake za nje. Mambo Muhimu ya...
  7. Cannabis

    Wanajeshi wa Korea ya Kaskazini wapatwa na uraibu wa kutazama pornografia baada ya kupewa internet isiyo na vikwazo na Urusi

    Wanajeshi wa Korea Kaskazini ambao wamejiunga na vita vya Ukraine kwa niaba ya Urusi wamepata uhuru wa kutumia intaneti isiyo na vikwazo kwa mara ya kwanza na kujikuta wakitumia uhuru huo kutazama picha za ngono, kulingana na ripoti ambayo haijathibitishwa na afisa wa Pentagon. Kwa mujibu wa...
  8. Eli Cohen

    Ni hatua ipi ulifikia ya madhara hadi ikawa hamasa yako kuachana na uraibu au mazoea potevu uliyokuwa nayo??

    Nilikuaga mpenzi sana wa soda aina ya coca cola iliyo ya baridi sana. Ilikuwa siku ikiisha bila kupiga coca najiona mtupu. Matter of fact ingebidi nipatiwe tuzo ya mnywaji bora coz nilikuwa nakunywa kila siku. Hadi hapo siku moja nilianza kuhisi meno yangu ya mbele kuanza kuuma pale...
  9. H

    Uraibu wa punyeto utanimaliza, nifanyeje niweze kuacha?

    Habari zenu MMU, Mimi ni kijana mwenzenu leo acha nifunguke nipate msaada wa mawazo. Mimi nilianza nyeto mwaka 2014 baada ya kufundishwa na mtoto wa jirani yetu. Tokea hapo nimepiga nyeto sana wastani mara tatu kwa wiki! Sasa katika pita pita zangu mitandaoni nikaona bandiko kuwa nyetu...
  10. enzo1988

    Uraibu wa kamari: Rais wa Brazil atishia kufungia makampuni!

    Rais wa Brazil Lula Da Silva ametishia kuyafungia makampuni yanayojihusisha na michezo ya kubahatisha kupitia michezo mbalimbali mitandaoni ili kuondoa janga la uraibu lililowakumba raia wake! Hela ya chakula mtu anasukia mkeka! Brazil mulls ban on sports betting Brazilian President Lula da...
  11. de Gunner

    Unachokikwepa hakiachi kukufuata

    Growing up tumekuwa kwenye situations mbalimbali, ambazo hatukuzipenda. Labda ugumu wa maisha ya nyumbani, tabia za ndugu jamaa na marafiki, mifumo ya maisha, uraibu, nk. Wengi wetu tulijiapia kuwa hatutojikuta kwenye hizo situation na kuna ule msemo, "labda nirogwe". Ila sooner enough tumekuwa...
  12. G

    Ni kitu gani ulikijaribu kwa lengo la kutesti mara moja ila kimekuingiza kwenye shimo la uraibu/addiction unatamani kutoka lakini unashindwa?

    Ninakumbuka siku moja nilikuwa nipo nipo tu wala sina kampani, ghafla wazo likanijia nikanunue fegi nijaribu mara moja tu nione ikoje. Kuanzia hapo mdogo mdogo nikaanza kupiga paf kila jioni na huwezi amini hakuna mtu wa karibu anaejua ninavuta wala kunishuhudia naivuta, huwa naenda kuvutia...
  13. Tlaatlaah

    GenZ wadhibitiwe vikali vinginevyo Kenya itadumaa na kusinyaa kiuchumi

    kadiri muda unavyokwenda wanagawanyika na kupingana wao kwa wao, wanapoteza malengo yao ya msingi waliyokua wakihitaji yazingatiwe na kufanyiwa kazi na Serikali. hivi sasa wanapoteza uelekeo kabisa kutoka maandamano ya amani hadi maandamano ya ghasia, uporaji na uharibifu.. kiufupi, madai mapya...
  14. Yoda

    Vijana wengi wa bongo wana uraibu wa pornography?

    Katika mitandao ya kijamii kumekuwepo na tabia ya kundi kubwa la vijana wa Kitanzania kuhabarishana, kuombana, kusherehesha na kugaiana video za pornography za watu mbalimbali ambazo wao wanaita "connection". Hizo "connections" zenyewe sio hata za watu maarufu wenye athari zozote katika maisha...
  15. A

    Mh nimeskia waziri mkuu Leo anawasemea waliopona uraibu wa madawa ya kulevya wapewe ajira..

    Majobless mpo!? Naona Kila siku mnalia tamisemi zitatangazwa lini ajira , maana vijana wanasubiri ajira Hadi wanapata stress wengine ni walevi na yawezekana hata wengine wataingia kwenye dimbwi la dawa za kulevya...huku Leo waziri mkuu ametoa Rai Kwa tamisemi kuwaajira waliopona uraibu, sasa...
  16. A

    Jamani majobless tunaosubiri ajira mmesikia huko waziri mkuu amewapa connection wanaopona uraibu wa dawa za kulevya

    Siasa hizi jamani! Waliopona uraibu wa madawa ya kulevya waziri mkuu ametoa hoja tamisemi huko wapewe ajira ...vipi inawatazama vipi vijana ambao wanaelekea kutumia hayo madawa sababu ya kukosa muelekeo wa maisha...kumbe wanasuburi waharibikiwe alafu ndo waje watoe ajira Kwa wagonjwa
  17. M

    SoC04 Uraibu wa michezo ya bahati nasibu

    STORY CHANGE YA URAIBU WA MICHEZO YA BAHATI NASIBU Nguvu ya uchumi ndio sauti pekee katika Taifa lolote Duniani, hata hivyo wazalishaji wakuu wa uchumii ni vijana , kwa kutambua umuhimu wa vijana katika nguvu kazi ya uchumi Mataifa Mengi yameweka sera mbalimbali za kumuinua kijana katika...
  18. JOHNGERVAS

    Kivuko cha Uraibu: Safari ya John kuelekea Mabadiliko

    John alikuwa kijana mdogo mwenye ndoto nyingi. Lakini ndoto hizo zilifunikwa na kivuli cha uraibu wa madawa ya kulevya. Alikuwa amejikwaa kwenye dimbwi la matumizi ya madawa ya kulevya kwa miaka mingi, akijaribu kutafuta faraja katika ulimwengu uliopotoshwa. Siku zilipita, na kila siku...
  19. G

    Watu wa Pwani ni rahisi kuwa addicts? Kwanini wao wana uraibu mkubwa wa vilevi kuliko miji ya Nairobi, Meru, Kisumu, Nakuru, n.k?

    Dear Kenyans, tunahitaji ufafanuzi Kinacchoendelea kwa sasa Kenya naona kwenye TV na Mitandaoni mkoa ya Coast ikiongozwa na Mombasa hawataki miraa na muguka kuuzwa maeneo yao. The same substances are used all over the country, kwanini ume affect sana coast? Watu wa Pwani ni rahisi kuwa addicted?
  20. D

    SoC04 Vita dhidi ya uraibu wa kamari na vilevi vikali, kuinusuru Tanzania tuitakayo

    Utangulizi Nchi yetu Tanzania, kama ilivyo katika mataifa mengi, vita dhidi ya uraibu wa kamari na vilevi vyenye kemikali maarufu kama "Visungura" imekuwa changamoto kubwa. Tatizo hili limekua na kuwa janga la kitaifa, likiwaathiri zaidi vijana, ambao ni tegemeo la taifa kwa maendeleo ya...
Back
Top Bottom