Umoja wa Ulaya unachunguza Facebook na Instagram ikiwa zinaweza kuwa na uraibu wa kiwango cha juu kiasi kwamba zinakuwa na "athari mbaya" kwa "afya ya mwili na akili" ya watoto.
Pia itachunguza kama wamefanya vya kutosha kuhakikisha kuwa watumiaji ni wa umri unaoruhusiwa kuzitumia, na jinsi...
Hii kitu ina addction moja mbaya sana
unanunua kopo kubwa la elf 6 (kwengine hadi elf 8), unapanga ule kwa siku 3 lakini ukionja kipande tu nakuapia unaweza kufuta lote mda huo huo, ukionja ni ngumu sana kujizuia kuingiza mkono kuchota nyingine.
Pringles zipo za aina nyingi sana kwa ladha...
Yaani hata nikisikia mlio wa ambulance tu basi akilini naisikia 'Brigedier Sabari' ya alpha blond,
Yaani nikisikia tu neno 'mpenzi' basi haraka kichwani huja wimbo 'Sanura' wa Tongolanga kwenye kile kipande kinachosema,
''Unachonishangaza mpeenzi, huzoeleki;
Huwa unashindwa wapi zaiidi, tele...
Simu ni Kifaa muhimu cha mawasiliano kwa binadamu yeyote lakini haitakiwi kuwa sehemu ya mwili wako kiasi cha kukufanya uwe kama mtumwa kifaa hicho.
Wataalaamu wa Saikolojia wanasema, ukitaka kubaini kama umepata Uraibu (Addiction) ya matumizi ya Simu, anza kuangalia ni kwa muda gani unaweza...
Hii imekaaje wanazengwe
Yaani nikiona mzigo wenye makalio makubwa akili aifanyi kazi vizuri.
Sina uhakika kama ubongo wangu uko-wired vizuri, inawezekana makalio makubwa yanasababisha shoti sehemu
Hili tatizo napatwa wapi matibabu yake?
- Kuna watu hata wateswe mara ngapi na mapenzi, hata waachwe mara ngapi, wao kila siku wanapenda tena watu wapya.
- Kuna wengine, hawawezi kuishi bila kufanya mapenzi na (hawajaoa wala kuolewa).
- Wengine kuwa na mpenzi mmoja tu hawawezi, yaani mpaka awe na wengi ndIo anajskia yupo kwenye...
Tangu mwaka huu uanze sikumbuki siku ambayo nilikuwa offline, Nina biashara zangu na kazi sio kwamba nipo idle.
Yani uwe na smartphone halafu ukose data waweza kuhisi unakosa mahitaji ya msingi, ukifika hii stage jijue ushaanza kuwa mraibu.
Matumizi ya data napenda kuingia Youtube kufatilia...
Hii video inaongelea madhara ya madawa ya kulevya. Mhandisi wa Mawasiliano Bob Williams. Alijifunza kutumia Crack Cocaine kutoka kwa mchumba wake wa kwanza. Anadai kuwa alitumia dola 50,000 katika miezi tisa ya kwanza ya kuwa mraibu wa crack. Hiyo ni sawa na $165,478.55 katika pesa za leo...
Uraibu ni hali ambayo Ina patikana wakati ambao Roho au mwili, unataka mno kuwa na hisia fulani.
👉Kiasi Cha kuwa na matatizo kutekeleza shughuli fulani, mpaka upate hisia inayo lengwa.
Kwa miaka ya karibuni kumeibuka baadhi ya mifano ya uraibu, ambayo isipokemewa basi itapelekea kupotea kwa...
Maziwa ya mgando kwangu ni kama mboga za majani, chakula hakishuki bila mtindi
Kwa siku lazima nitumie gb 2 hadi 3, nazitumia kucheki youtube, netfllx, video calls, backups, updates, n.k. jf inatumia data kidogo sana
Sigara iliwahi kuwa kama ibada kwangu, nashukuru nimeacha
Habari Wana Jamvi, nahitaji msaada wenu naona kiza nimepotea kwenye msitu wenye giza na mbwa mwitu wakali.
Mimi Ni Kijana Below 25 Years, nimefanikiwa Kukwepa Anasa Zote Lakin Nimejikuta Nadumbukia Kwenye Uraibu Wa Kununua Madada Poa.
Kama Kijana Mwenye Heshima Mtaani Nisiyeacha...
Kwa mujibu wa kesi hiyo inadaiwa kwamba Meta ilihusika katika 'mpango wa kutumia watumiaji watoto wa mitandao hiyo kwa faida' kwa kuwadanganya kuhusu vipengele vya usalama na upatikanaji wa maudhui yenye madhara, kukusanya data zao na kukiuka sheria za shirikisho kuhusu faragha ya watoto...
Achana kabisa na addiction ya sigara.
Nakumbuka nilifikia kijiji flani nikiwa nimesahau pakiti yangu ya sigara niliyopanga kuitumia kwa muda ntaokuwepo hapo kijijini.
Palikuwa ni bush sana na hata maduka machache yaliyopo hawakuuza sigara.
Ilinibidi nitembee mwendo wa lisaa na nusu kufikia...
Wakuu kwema?
Nakumbuka ilikuwa 2010 nikiwa kidato cha tatu baada ya kutoka prepo tulikuwa tunaenda saa nne kulala. Bwenini tulikuwa tunakaa watu nane wanne chini na juu watu wanne pia.
Basi bhana mida ya saa sita nilibanwa kwenda kukojoa nilivyosituka nikasikia jamaa tuliekuwa tunakaa karibu...
Uraibu wa kamari na michezo ya kubeti, wadaiwa kuwa chanzo cha ugomvi uliosababisha mauaji ya Mwanahamisi Pauline (Mwana Mjeshi).
Jana, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro alithibitisha kutokea kwa tukio hilo kwa kusema: “Taarifa hizo ni za kweli na yeye amejirusha...
Redemption song
Zion train
African unite
Stand up
Kwanini nmemkumbuka Bob Marley? Ni kutokana na sekeseke la DUBAI PORTS WORLD. Gwiji huyu wa jamaica mistari yake ilijaa falsafa za ukombozi wa mtu mweusi kwa kiwango kikubwa.
Lakini ukitazama baadhi ya viongozi wetu na ulevi wa madaraka...
Habari wakuu
Kuna hii dhana kwamba kuwa teja hadi uwe unatumia madawa ya kulevya pekee. Tena madawa yenyewe bangi haipo kivile. Uwe unatumia cocaine, heroine na mengine ya jamii hiyo ndio utaitwa teja pale ambapo yamekuzidia na huwezi fanya jambo bila kujidunga hayo.
Huo ni uongo. Mateja wapo...
Nimeanza kuvuta fegi since 2012, fegi ilikuwa daily mara 3 asubuhi, mchana, sometomes jioni na usiku, kila siku, ni mara chache mno niliruka.
Nilikuwa mvutaji wa siri sana, nilikuwa naenda kuvutia maeneo ambayo sijulikani na kweli niliweza kuitunza siri hii mpaka nimeacha hakuna anaejua kasoro...
Sioni sababu ya kupoteza muda kuulizana ulizana hali, kila mtu apambane na hali yake, moya kwa moya kwenye mada.
Toka balehe mshawasha wa kufanya mapenzi huwa mkubwa sana. Tuna fikiria vitu vingi, vingine hatuwezi hata waambia watu maana ni chafu sana ila nyingine tunaziishi.
Nimeanzisha uzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.