urais 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Rais wa Shirikisho la soka Afrika (CAF), Patrice Motsepe kuwania tena Urais 2025

    Rais wa sasa wa Shirikisho la soka Afrika (CAF), Patrice Motsepe ametangaza kuwania tena kiti hicho katika uchaguzi utakao fanyika Machi 2025. kufuatia maombi kutoka kwa wanachama wa CAF, marais wa vyama vya kanda na washikadau Hatimaye Rais wa CAF DR Motsepe, amekubali kuwa mgombea katika...
  2. G

    Ni halali kwa katiba ya CCM kuchapisha fomu moja tu kwa ajili ya Samia kugombea urais 2025?

    Katiba ya CCM inaruhusu ubakwaji huu wa demokrasia ndani ya chama? Kama Samia anaupiga na kuutwanga mwingi, anaogopa nini kushindana na wanachama wenzake?
  3. Gemini AI

    Pre GE2025 Zitto Kabwe: Sitagombea Urais 2025, nitarejea kuimarisha Bunge

    Kiongozi wa Chama Mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema hana mpango wa Kugombea Urais katika Uchaguzi Mkuu wa 2025 bali anadhani kuna haja ya kwenda kuimarisha Bunge. Akizungumza kupitia Crown FM, Zitto amesema "Kama unavyofahamu Uchaguzi uliopita wengi tunaamini haukuwa Uchaguzi na...
  4. Tlaatlaah

    Tetesi: CHADEMA, CUF nao kuchapisha fomu moja tu ya mgombea Urais 2025

    Unadhani falsafa hii inamaanisha nini? Mathalani, inasemekana wafia chama wa CUF wanapambana kuhakikisha mgombea Urasi wake anakua ni Profesa pekee, na anapata nafasi hiyo bila changamoto kwa heshima ya utumishi wake uliyotukuka kwa chama kwa muda mrefu. lengo lao ni kuepusha gharama kubwa...
  5. Black Butterfly

    Rais wa zamani wa Malawi kuwania tena Urais 2025, ana miaka 84

    Chama Kikuu cha upinzani, Democratic Progress kimemudhinisha Rais wa zamani, Peter Mutharika kuwa Mgombea wake katika Uchaguzi wa Septemba 2025 ====== Malawi's main opposition party, the Democratic Progress Party endorsed on Sunday former President Peter Mutharika to be its candidate in next...
  6. Yoda

    Mbowe aligombeaje urais mwaka 2005 kama hana degree?

    Kigezo kimojawapo cha kugombea urais Tanzania ni mgombea kuwa na angalau kiwango cha elimu cha degree moja, pia huwa kuna rumours mtaana kwamba Freeman Mbowe aliishia kidato cha sita tu, sasa kama ni kweli Mbowe aliwezaje kupitishwa na tume ya uchaguzi kugombea Urais mwaka 2005?? Wanasiasa...
  7. M

    Pre GE2025 Mwabukusi akigombea Urais 2025 anamshinda Rais Samia. Hata raia wa kawaida wanamkubali achana na Mawakili

    Ishu kubwa jamaa anaonekana kwenye jamii kama mtu mwenye uchungu na rasilimali za umma. Ndo maana hata raia wa kawaida wanamtakia awe kiongozi wao. Hata 2025 atashinda urais ikiwa hakutakuwa na wizi wa kura. Dp world ilishamchafua Rais Samia.
  8. Kamanda Asiyechoka

    Pre GE2025 Lissu kugombea urais 2025 ni kutwanga maji kwenye kinu na kuwanyima haki Watanzania wapenda mabadiliko

    Mwaka 2020 alizurura na kundi kubwa na mlinzi mwenye mishale kama anaenda kuwinda swala. Hakuna cha maana alichokisema kwa Watanganyika zaidi ya kuwa na jazba ya kupigwa masasi Tanganyika inahitaji mabadiliko sio drama za kisiasa. Ufisadi umetamalaki, upendeleo, na ubwela. Taifa hili...
  9. K

    Panic ya Rais Samia inasabaishwa na nini?

    Rais Samia ameonesha panic ya hali ya juu hivi karibuni. Je ni sababu zipi hasa zimeleta hii hali 1. Je ni ushindani ndani ya chama 2. Je ni mikutano ya wapinzani ambayo imeweka wazi mikataba ya siri hasa kwa nchi za kiarabu. 3. Je ni hali ya ruhswa kuzidi nchini 4. Je ni matatizo ya pesa kwa...
  10. S

    Pre GE2025 Kama Nape na Makamba wamewekwa kando, si Mwigulu, Biteko, Tulia, Mwinyi, Makonda wala Majaliwa watamrithi kiti Rais Samia

    Wanabodi, Baada ya team moja ya wasaka Urais iliyotumia muda mwingi kujiandaa kuangushwa ni dhahiri kabisa team hii haitakaa kimya kwani hata hivyo team hii pia kama zilivyo team zingine inamtandao mpana ndani na nje ya Tanzania naamini tunaufahamu. Kitendo Cha team hii kuangushwa wataamini...
  11. TODAYS

    Tuelewane: Amini usiamini, njia hii haina tofauti na ile aliyofanya Hayati Magufuli

    Amani iwe nawe. PDF la kushtukiza limetoka usiku mkali, lakini limekuja kwa mshtuko wa kutosha hasa. Leo nakurudisha nyuma wakati wa uongozi wa presida John Joseph Pombe Magufuri, wakati anataka kufanya mabadiriko ndani ya chama ndani humo. Hiki kilichotokea usiku wa manane kimeshtua...
  12. Cute Wife

    Pre GE2025 Wahandisi na Wakandarasi wamnunulia Rais Samia helkopta kwaajili ya Kampeni za Urais 2025 pamoja na mafuta ya Tsh. 100,000,000/-

    Heka heka na vimbwanga vinazidi kupamba moto, mpaka uchaguzi ufike tutaona mengi! Eti wanarudisha fadhila kwa yale Rais Samia amefanyia nchi! Kwa hali ngumu ya maisha na wizi unaoendelea serikalini kweli? Pia soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Ndio...
  13. Bulelaa

    Pre GE2025 Rais Samia hawezi kushinda 2025, hawatathubutu kumpa kadi kugombea Urais

    Watanzania kinachowashinda kuongea hadharani, ni ule uoga wa kufungwa jela miaka kadhaa kama kilichompata kijana Shadrack wa Mbeya. Wana CCM, nawatahadharisha, ni vyema muwe wakweli, maana hata huko kwenu, mnajivunga kuonyesha mpo pamoja na mama ilihali mko mbali naye kwa hatua milioni. Tangu...
  14. Tlaatlaah

    Pre GE2025 Rais Samia anaweza kupata 90% ya Kura kama atagombea 2025

    kwa dalili hizi, ishara, hali ya kisiasa na umaarufu wa Dr Samia Suluhu Hassan kiutendaji nchini, ni dhahiri atapata ushindi wa kishindo endapo atagombea urais 2025.. kwa mfano, kwa sapoti kubwa sana na ya uhakika ya kura za wasichana wote nchini wenye sifa za kupiga kura, wanawake wote kwa...
  15. U

    Pre GE2025 CCM wasipoiba kura, Tundu Lissu atachukua nchi

    Kwanza nianze Kusema by 2025 zaidi ya watu milioni 10(watanganyika) na watu laki mbili wazanzibar kulinganisha na 2020 watakuwa wamefikisha Umri wa angalau miaka 18, na Hawa wengi ni vijana wanaopenda mabadiliko. Sasa Kwa jinsi vijana hawa walivyo na kiu ya mabadiliko , wengi wao wameegemea...
  16. Tlaatlaah

    Ikitokea Wapinzani wamekubaliana kuunganisha nguvu uchaguzi mkuu ujao, nani apeperushe bendera yao Urais 2025

    Kwa hali ya kisiasa ilivyo hivi sasa nchini, ni dhahiri mgombea urais wa chama Tawala yuko bayana na anafahamika kwa wanainchi na waTanzania wote kwa ujumla, ni suala la muda tu waamue... Kizungumkuti na kasumba iko upinzani, kwa mfano tuliona majuzi kabla ya uchaguzi hapo DRC, wapinzani mara...
  17. D

    Pre GE2025 Kuhusu Elimu: Nini sifa za mgombea Urais 2025?

    Wadau naomba nikumbushwe na kisha tujadili kwa faida mapana ya nchi yetu. Kama sijakosea Kuna mwaka fulani kigezo cha mgombea Urais kiliwekwa kuwa ni pamoja na kuwa na walau digrii moja bila kueleza ni ya nini. Kigezo hiki kilimfanya Frederick Sumaye kukimbilia Marekani kusaka digrii. Hali...
  18. Bromensa

    Pre GE2025 Kwa maoni yako, nani anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2025?

    Habari za leo, Kwa maoni yako nani anaweza kulisaidia hili Taifa ili lisonge mbele kimaendeleo kwa kasi. Binafsi huwa namkubali sana Majaliwa K. Majaliwa. Namuona kama mtu ambaye anaweza kutufikisha sehemu nzuri. Je, wewe unaona nani anafaa kuwa Rais wa hii Nchi 2025.
  19. R

    Pre GE2025 Kutaka ichapishwe Fomu Moja 2025 kwa Mgombea wa CCM, Demokrasia imezingatiwa?

    Salaam, Shalom!! Jana 2/1/2024, wamesikika viongozi wawili wa chama Cha MAPINDUZI Mzee Kinana na Ndugu Majaliwa Kassim,wakiibua HOJA ya kuzuia wagombea na watia Nia wengine ndani ya chama kutokudiriki kuchukua fomu ya ugombea urais, Kwamba itachapishwa fomu Moja tu Kwa Sa100. Kwa kuwa...
  20. ChoiceVariable

    Pre GE2025 Majaliwa & Kinana washauri CCM itoe Fomu 1 ya Mgombea Urais 2025

    Kwa Mujibu wa Kinana na Majaliwa mwaka 2025 CCM itatoa fomu Moja tuu ya mgombea Urais Kwa sababu ni utamaduni wa ccm mgombea Rais lazima aendelee kuwa mgombea Kwa awamu ya Pili. My Take Utaratibu wa fomu Moja alianzisha Mwendazake ======= Mbunge wa Ruangwa (CCM), Kassim Majaliwa amesema...
Back
Top Bottom