urais 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. benzemah

    Walimu Wamchangia Rais Samia Hela ya Fomu Kugombea Urais 2025

    UMOJA wa Walimu Wakuu wa Shule za Sekondari Tanzania (TAHOSSA), wamechangishana kiasi cha shilingi milioni 1.6 kwaajili ya kumsaidia Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kuchukua fomu ya kugombea urais kwa mwaka 2025 ambao wameuita kama kapu la mama.
  2. R

    Kwako Jaji Mutungi, Kampeni za Uchaguzi wa Urais 2025 zimeruhusiwa Rasmi?

    Amesikika Katibu mkuu UWT Ndugu Jokate Mwegelo akimuombea kura ya Urais mmoja wa "wanaosemekana" kutaka kugombea Urais 2025, kada huyo amesema hayo akiwa Mbinga Ruvuma, ingawa haijathibitika ametumwa aseme, au amejituma mwenyewe! Tupe majibu stahiki ndugu mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi!! Na...
  3. Mhafidhina07

    Ukumbusho kwa Mama Samia kuwa kuendelea kupata Urais 2025 inahitaji akili mbovu.

    Tunajua Ndani ya chama cha Mapinduzi CCM kunatofauti nyingi mno zinazotokana na uchu wa madaraka,makundi mengi yanazuka kulingana na nani ananipa nini pia nitapata nini? unazani kwa mtu kama Samia Suluhu afanye kitu gani ili kudhibiti mwendendo huu mbaya ambao unatishia kukiangusha chama cha...
  4. Erythrocyte

    Ukweli ni kwamba CCM haina Mgombea Urais 2025, ndio chanzo cha kulogana na kuchafuana

    Huu ndio Ukweli unaofichwa , huyu aliyepo hana uwezo wa kupambana Jukwaani (Chama chake kinajua) , hata hivyo alishawahi kukiri mwenyewe hadharani , ikaandikwa na gazeti la Chama chake , ili kuondoa Taharuki ikakanushwa , hata hivyo awali ni awali , na wala hakuna awali mbaya , sisi tumeshika...
  5. Dr Shekilango

    Pre GE2025 Wanaotajwa Urais 2025 na 2030. Twende na yupi?

    Upinzani mpaka sasa haupo tayari kuungana kuikabili CCM na kuishinda, hawa ni kwa sababu ni wabinafsi na hawana ajenda ya Pamoja lakini pia hawana fedha, uchaguzi ni fedha. Lakini kwa maoni yangu kwa hali ya kisiasa ilivyo sasa CCM iachane na Rais Samia tu hafai kuongoza chama hicho na Nchi...
  6. voicer

    Balozi Polepole jitokeze sasa tukuunge mkono kuwakataa wahuni

    Kwa sababu Samia hajiamini ndani ya CCM.kuelekea 2025! CCM-Samia wanatumia nguvu kubwa Sana ili kuhakikisha kwamba. Hakuna mwana CCM ambaye anaweza kupata ushawishi wa kisiasa ndani na nje ya CCM nchini zaidi yake Samia! Hii yote ni kwa sababu Samia bado ana uchu wa madaraka kuliko kitu...
  7. Pang Fung Mi

    Wassira ahusisha sakata la bandari na mbio za urais 2025

    Hello JF, Hivi Wassira ni mwehu kiasi hicho? Kuna mtu alimlazimisha Rais Hassan kumtuma Mbarawa kwa maandishi? Timu ya wabunge kwenda Dubai ilijipeleka? Wasanii walijipeleka, bendera ya Tanzania ilijipandisha kule Dubai. Wassira awe makini sana uvuvuzela wake hautawasaidia chochote ifahamike...
  8. comte

    Wasira: Urais 2025, chanzo upotosha uwekezaji bandari

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, amesema chanzo cha upotoshaji kuhusu uwekezaji wa bandani ni siasa za uchaguzi wa mwaka 2025, ambapo baadhi ya watu wanamezea mate urais. Wasira ameyasema hayo leo Jumamosi Julai 22, 2023 akizungumza katika mkutano wa hadhara...
  9. technically

    Yaache madaraka yakufuate sio kuyatafuta

    Kuna matukio yanatokea Tanzania yanasikitisha Sana Katika mazingira ya Tanzania ambaye aliweza kuutafuta urais na akaupata ni Hayati baba wa TAIFA na Rais Kikwete born town the rest hawakutafuta urais na ndio maana hatuna visionary leaders tuna watu wengi waliojaribu kuwa na wakawa. Madaraka...
  10. peno hasegawa

    Ushauri: Fomu za kugombea Urais 2025 kupitia CCM ziwekwe kwenye mtandao ili zijazwe online

    Ninaomba kutoa ushauri kuwa, Wanachama wengi wa CCM wanaonyesha kutaka kutia nia kugombea Urais kupitia CCM mwaka 2025. Ili kuwa wana-CCM uhuru na haki ya kuchagulia ninashauri fomu za kugombea Urais ziwekwe kwenye mtandao na malipo yake yalipwe online. Hii itaongeza uwazi wa uchukuaji fomu...
  11. Poppy Hatonn

    Rais Samia Suluhu hana upinzani,akiamua kugombea urais 2025

    Atateuliwa na Chama chake,na atachaguliwa na wananchi. Kwa hiyo,kama political analysis,we can safely say Samia Suluhu atakuwa rais mpaka 2030. Kwa sababu huyu ni rais amefanya vizuri,better than expected. Hana upinzani katika Chama. Na katika kipindi hiki kifupi kilichobaki kabla ya...
  12. T

    Kama Samia atagombea urais 2025 awekewe zuio yeye na chama chake wameanza kampeni za urais mapema. Mabango mengi hadi KERO!!

    Nimepita mikoa mingi ya nchi yetu na kukuta mabango mengi yanayomsifia Samia. Kwa maoni yangu mabango haya ni kiashiria cha CCM kuanza kumnadi mgombea wa ccm kabla ya nec kupuliza kipenga cha kuanza Kwa kampeni. Nashauri wagombea wenzie wamuwekee pingamizi wakati ukifika.
  13. S

    Utabiri wa Chalamila sasa unakwenda kutimia Mawaziri kukopa fedha nje kugombea urais 2025

    RC Chalamila aliwahi kusema kuna mawaziri ambao kazi yao ni kwenda nje ya nchi kukopa fedha na kujiimarisha kwa ajili ya kugombea urais 2025...kama kawaida yetu watanzania tukapuuzia....leo sasa utabiri huo unaanza kutimia
  14. Suley2019

    Rais Samia: Kwa sura nazoziona hapa (CHADEMA) hamna dhamira ya kushika dola 2025, mnajua mama yupo

    Rais Samia akiwa katika Maadhimisho amezungumza mambo mbalimbali. Akiwa anajibu hoja ya Freeman Mbowe na Mwenyekiti wa BAWACHA kuhusu nia yao ya kushika dola 2025 Rais Samia amesema: "Ndugu zangu siasa ni mchezo wa kulumbana kwa hoja Wote tukiwa na lengo la kushika dola kama alivyosema...
  15. T

    Shaka: Rais Samia ameua ndoto za wasaka Urais wote kwa kazi nzuri na kubwa anazozifanya kwa ubunifu na uhodari wake

    SHAKA ANAANZA KWA KUSEMA KUWA, RAIS SAMIA NI KIOO KINACHOAKISI THAMANI YA TANZANIA NA WATANZANIA, KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema Rais Samia Suluhu Hassan ni kioo kinachoakisi utu na thamani ya Watanzania. Shaka ameyasema hayo leo...
  16. MSAGA SUMU

    Samia hataki kabisa kusikia habari za urais 2025

    Kutoka korido za CCM Chamwino, mama ameanza kuwaambia wandani wake kuwa habari za kugombea urais 2025 hataki kabisa kusikia, tena anadai Kama ingekuwa ni kitu chepesi basi angestaafu hata Jana. Madai yake makubwa ni jinsi kila Jambo analogusa linashindwa kabisa kufanyika. Miradi iliyokuwa...
  17. saidoo25

    Kwanini Antony Mtaka anatajwa sana mbio za urais 2025?

    Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Antony Mtaka anatajwa sana kwenye mbio za urais mwaka 2025 hasa ukizingatia ni kiongozi mnyenyekevu na mchapakazi sana tangu alipokuwa Simiyu, Dodoma na sasa Njombe. Ni moja wa Wakuu wa Mikoa nadhani waliotajwa pia na RC Chalamila kuwa wako kwenye mbio za urais 2025 mimi...
  18. Mganguzi

    Mimi sio kichaa! Kama CCM watatoa fomu moja ya urais 2025 na wakampa mmoja tu - Nitakwenda mahakamani!

    Kutangaza nia sio kosa kisheria, na demokrasia tuliichagua ili tuifuate. Sasa kama chama changu CCM, kitaninyima haki ya kugombea 2025! Na mwenyekiti akaruhusu fomu iwe moja tu! Na wakampa mmoja tu! Basi kwa mara ya kwanza nitakwenda kudai haki yangu ya kikatiba mahakamani, taratibu za chama...
  19. peno hasegawa

    Tetesi: CCM wanaoutamani urais 2025 Wakinyimwa kugombea kutimkia upinzani na kujaza fomu za kugombea Urais

    Kuna wimbi limeanza kujinadi kuchukua fomu ya kugombea Urais kupitia CCM na kundi hilo linakubalika. Iwapo fomu ya kugombea Urais kupitia CCM itatolewa fomu moja ni wazi kuwa wagombea hao wataamua kuchukua fomu za kugombea urais kupitia upande wa pili. Wananchi walio wengi wamekumbwa na...
  20. technically

    Ushauri: Rais Samia apumzike Urais 2025

    Kwa mtazamo wangu binafsi napendekeza Rais wetu Mama Samia apumzike mwaka 2025 kama analo wazo la kuendelea kutuongoza. Kwanza niseme wazi Mama ni moja ya Marais bora kabisa kuwai kutokea katika taifa letu. Sijawai kusikia kashifa yeyote ya wizi na ufisadi kutoka kwake, ni Rais mwadilifu kweli...
Back
Top Bottom