Habari zenu wakuu, ama baada ya salam ningependa sasa kuelekea kwenye mada yetu husika. Ndugu zangu katika maono yang na uzoefu wang wa mambo ya kisiasa, natabiri kuwa hawa ndio watakuwa baadhi ya wagombea urais wa JMT wa mwaka 2025. Hapo chini ni majina yao na vyama vyao watakavyotumia...
Kama kawaida muda unakwenda kasi sana imekua kama muujiza Humphrey Polepole kuanza kuparuana makucha na MICCM mienzake chanzo halisi kikiwa hakieleweki
Naiona harufu ya CCM kumtumia huyu bwana kama mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA 2025
Mamlaka Nchini humo zimemtangaza Rais Adama Barrow kuwa mshindi wa Uchaguzi Mkuu, akipata takriban 53% ya Kura huku Mpinzani Ousainou Darboe akipata 28%
Awali, Darboe na Wagombea wengine walisema wasingekubali matokeo ya Uchaguzi huo ambao umeonekana kama kipimo cha Demokrasia katika Taifa hilo...
Nadhani ni wakati sasa Mama Samia ajionyeshe kwamba yeye ni Rais na Mwenyekiti wa CCM, kama Humphrey anaweza kumdharau waziwazi na hachukui hatua, basi anajipalilia mazingira ya kuonyesha anaweza kudharauliwa na yeyote, Urais na Rais lazima uonyeshe uimara wake, haiwezekani watu wanakodi vipindi...
Tume ya Uchaguzi Nchini Libya imekataa maombi ya Urais ya Wagombea 25 akiwemo Mtoto wa aliyekuwa Kiongozi wa Taifa hilo, Muammar Gaddafi wakidai ni kutokana na sababu za kisheria
Tume hiyo imesema Saif al-Islam Gaddafi anakosa vigezo kwasababu alihukumiwa. Mahakama Jijini Tripoli ilimhukumu...
Nadhani huu ni mkakati bora kabisa ambao utasisimua siasa kuelekea 2025, utaua women wing ya chadema na hata ya vijana. Halima Mdee na Easter Bulaya na troop nzima ya wanoitwa Covid ni "dhahabu" ya kisiasa inayomezewa mate na CCM, japo chadema wamekomaa kuwachafua, wamebalansi hali yao...
Rais wa JMT mhe Samia amewashukuru wanawake kwa kumpa support ktk kipindi hiki kigumu ambapo amefikwa na janga la kupewa kiti cha urais.
(Source: TBC1)
Nini maoni yako juu ya kauli hii ya mhe rais Samia?
Mara nyingi huwa nasikia mgombea urais ni lazima spate saini za watu asilimia kadhaa Bara na Zanzibar.
Lengo huwa ni nini wakati akishinda Katiba inamlinda kwa kinga ya sheria ya mazuzu.
Kwanini asiwe anasainiwa na taasisi mbalimbali kwa niaba ili akikiuka/kuvunja Katiba ashitakiwe?
Na Siku zote Mwanasiasa makini na mjanja hupenda sana kuwateua watu anaowaona ama ni Tishio Kwake au wanaitaka Nafasi yake kwa Udi na Uvumba ili awamalize vizuri Kisiasa kwa kuwapigisha 'Shoti' katika Nafasi zao ili awatumbue, awachafue na waonekane hawafai kuwa Viongozi na ikibidi hata Wapuuzwe...
Kati ya vitu ambavyo Hayati Nyerere alivipinga sana ni pamoja na kabila kubwa kushika madaraka ya urais na hili alikuwa na sababu kubwa sana ambazo tumejidhihirisha katika kipindi cha awamu ya tano.
Nadhani wahusika mmejifunza pia na hamtarudia tena makosa mliyoyafanya miaka mitano iliyopita...
Mtoto wa kiume wa kiongozi wa zamani wa Libya Muammar Gaddafi ametangaza rasmi nia yake ya kuwania urais katika uchaguzi uliopangwa kufanyika mwezi Desemba wenye lengo la kumaliza miaka kadhaa ya machafuko tangu baba yake alipoondolewa madarakani.
Seif al- Islam al-Gaddafi mwenye umri wa miaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.