Wakili maarufu, George Wajackoyah, amezua gumzo hivi karibuni nchini Kenya. Hii ni baada ya kujitosa rasmi kwenye kinyang'anyiro cha kugombea kiti cha urais, kwenye uchaguzi mkuu, baadaye mwakani. Alipoibuka na moja ya sera yake ya kipekee, alipozungumza na wanahabari jijini Nairobi. Wajackoyah...
Muigizaji wa filamu za pono kugombea urais.
Majina ambayo wengi hufahamu anaitwa Rocco Siffredi, lakini kwa majina halisi aliyopewa na wazazi wake anaitwa Rocco Antonio Tano, ni raia nchini Italy mwenye umri wa miaka 52 . Huyu bwana ni muigizaji mkubwa wa filamu za pono ambaye ametangaza rasmi...
Kundi la vijana nchini Nigeria, chini ya mwamvuli wa Bunge la Vijana wa Kaskazini, limetoa wito kwa mfanyabishara tajiri zaidi Afrika Aliko Dangote, viongozi wengine wa wafanyabiashara na wataalamu kuingilia kati uchaguzi wa rais wa 2023.
Vijana hao wanasema kuwa uzoefu wao itasaidia kuleta...
Linapokuja suala la mali au madaraka huenda kundi la wanawake ndio kinara wa kuvuna kirahisi sana, iwe kwa haki au kwa hila, wanawake ni wavunaji tu.
Wakati watawala wa CCM walipokuwa wanawapanga wanawake kwenye safu mbalimbali za uongozi kama alama ya ujanja ujanja ya kuwatumia ili kuimarisha...
DT anaweza kuwa rais kwa mara nyingine tena
Michelle Obama Is the Last Place We Should Look For Help With Our Donald Trump Problem
Kristyn Burtt
December 30, 2021·2 min read
Well, it looks like Joe Rogan has created a political firestorm by predicting that former First Lady Michelle Obama...
Mahakama ya Juu Nchini humo imekataa ombi la aliyekuwa Rais wa Taifa hilo, Donald Trump la kuzuia kutolewa rekodi za White House kwa jopo linalochunguza vurugu zilizofanywa na wafuasi wake eneo la Bunge.
Amri ya Mahakama inamaanisha zaidi ya Hati 700 zinaweza kutoa mwanga juu ya matukio...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema urais sio mtu ni taasisi lakini kikatiba kunakuwa na mtu pale juu. Amewaambia Mawaziri kuwa kama hawampendi Rais aliyepo basi wapende nchi yao
Amesema hata kama haumpendi Rais Samia isiwe kigezo cha kupuuza mambo yote ambayo serikali inafanya. Ameruhusu watu...
Kati ya watu walio kwenye kumbukumbu ya kuutaka urais.
Mwigulu Nchemba Madelu, ni mmojawapo,na ushahidi bado maandishi yako kwenye mawe katika barabara kuu nyingi yakisomeka
"mwigulu for president".
January Makamba, ni mmojawapo wa viongozi waliokuwa wakiratibu kampeni za mtandaoni huko...
Wakuu nataka kujua,
Kwa mujibu wa katiba ya muungano wa Tanzania, Rais wa jamuhuri lazima awe na umri wa kuanzia miaka 45 ndipo anaweza kuwa na sifa ya kugombea urais.
Swali
jJe, kwa mfano Rais X akiwa Madarakani na umri wake ni miaka 50 na Makamu wake Y yeye akawa na umri wa miaka 40. Baadae...
Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nachukua nafasi kupinga uamuzi wa CHADEMA kumpa nafasi ya kugombea urais wa JMT 2025 spika aliyejiuzuli ndugu Ndugai.
Hili suala halihitaji unabii kwamba CHADEMA wanatamani spika aliyejiuzulu ahamie kwao hata...
Kupigiwa mizinga 21? , Kuwekewa red carpet? Kuvaa tai nyekundu? Kuwa na walinzi kama njugu?
Kuna nini kwenye haya mamlaka ya kutawala na kuwa mkuu wa nchi?
Je sio kuwatumikia na kuwaletea maendeleo wananchi? Kama ni hivyo kwa nini watawala wanachukia kusikia kuna mtu atawania au kutia nia?
Makala maalum toka maktaba ya JF:
https://www.jamiiforums.com/threads/hamuoni-inavyopendeza-rais-samia-akiwa-magogoni-na-dkt-mpango-akibaki-dodoma.1873766/#post-39142626
KURUDISHA UHURU WA MIHILIMI MITATU YA DOLA TANZANIA, KATIBA ITAMKE KILA MHIMILI UWE NA MAKAO YAKE KTK MIJI TOFAUTI
Dodoma...
Wale waliodhani Wana deal na Samia, Sasa nadhani wanajua Wana deal na taasisi ya Urais moja kwa moja, taasisi hii ikifungua makucha yake, ni hatari sana.
Pale Kuna full squad ambayo imeapa kumlinda Rais na Urais dhidi ya chochote, pale ndio chem chem ya ulinzi na usalama wa nchi. Ni angalizo...
Kwa hali ilivyotokea Leo sikutegemea mama ametoka povu vile heee🙄 kulalamika suala la Ndugai ni kutokujiamini yeye ndiye Rais ingetosha tu kuwaeleza Watanzania kwamba amesamehe yote na kwa kuwa uongozi hakuutafuta hategemei malumbano ya kugombea kiti Cha Urais na Watanzania wangemuomba aendelee...
Katika hali isiyodhaniwa na wengi Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe Majaliwa Khassim Majaliwa amfunda Mhe Job Yustino Ndungai kuhusu nafasi ya Urais,
===========
Kassim Majaliwa: Madaraka yote yanatolewa na mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu amepanga kila kitu nani atakuwa nani katika kipindi gani...
Tukifuata itifaki ni kwamba pale unapomu address kiongozi mkuu wa nchi basi ni vyema kutanguliza maneno mfano “ Mh. Rais Mama Samia Suluhu Hassan” baada ya hapo inafuatiwa risala.
Ama unapotoa risala ikakulazimu kumtaja Rais wa nchi basi ni vyema kuzingatia itifaki ya utambulisho kwa kum...
Hili ni kundi ambalo halijatosheka na damu liliyokunywa, na tayari limeanza kujipanga kunywa damu zaidi ya watanzania, kutupa miili yao baharini, kupoteza raia kwa njia ya kuteka kwa magari aina ya Noah, kufukuza watumishi bila kufata taratibu, kuchukua kwa nguvu pesa za wafanyabiashara, mali...
Mama Anamalizia miaka minne ya awamu ambayo kairithi kikatiba, bado awamu yake, awamu hii ya sasa yupo kwa niaba ya marehemu.
Mama anamalizia miaka 4 ya kipindi cha pili cha miaka 5 ya awamu ya 5. Akimaliza anaanza awamu yake ya sita mwaka 2025 yenye vipindi 2 vya miaka mitano mitano mpaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.