Raia 11 wamesema uapisho wa William Ruto na Rigathi Gachagua utakua ni ukiukwaji wa Katiba ya Nchi yao hivyo kuwasilisha ombi katika Mahakama ya Juu nchini humo kuzuia kuapishwa kwao iwapo watachaguliwa katika Uchaguzi wa leo
Wamefafanua kuwa Kwa kuzingatia masharti ya Sura ya Sita ya Katiba...
Habari wana JF ,nimewaza sana kuhusu uthubutu wa kugombea kuwa Rais wa Nchi ,nimegundua cha kwanza lazima uwe na sifa .
Nikajiuliza hivi Ukachana na Skafu anayopenda kuvaa Mwigulu Nchemba ya Rangi za bendera ya Taifa ni sifa zipi Nyingine zilimsukuma achukue form ya kugombea Urais 2015 kupitia...
Nakumbuka Baba wa Taifa Mwal. Nyerere, miaka ya 70, Wabunge walitaka kujiongezea mishahara.
Akauliza “Nchi hii masikini, mnaotaka wawape mishahara mikubwa ni wananchi masikini, watatoa wapi hizo hela za kuwapa?”
Wakang’ang’ania. Akasema basi hili sikubaliani nalo. Twende kwa wananchi...
Mahakama Kuu nchini humo imeruhusu Serikali kutaifisha Tsh. Bilioni 3.9 sawa na Ksh.200,000,000 za Mgombea Mwenza wa Urais wa Kenya Kwanza, Rigathi Gachagua kwa kushindwa kueleza jinsi alivyozipata kutoka kwa Mashirika ya Serikali.
Mnamo 2020, Mahakama Kuu ilizuia kuhamisha au kutumia fedha...
William Ruto amekosoa uamuzi wa Mpinzani wake, Raila Odinga kutoshiriki Mdahalo wa Wagombea Urais katika Uchaguzi wa Agosti akisema kitendo hicho ni kuepuka Uwajibikaji
Amesema Raila si Mgombea halisi na hajashiriki Mdahalo kwasababu anaepuka Maswali magumu. Ruto amedai Mpinzani wake hana...
Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha wa Roots, Profesa George Wajackoyah amesema hatashiriki kwenye Mdahalo unaotarajiwa kufanyika leo kwa kudai kuwa Mdahalo umepangwa
Wajackoyah ni Mgombea wa Pili kujitoa kwenye Mdahalo huo baada ya Raila Odinga kutangaza kujitoa mapema Jumapili kwa kuwa...
Napenda sana siasa za kihivi, pale ambapo hakuna uhakika nani ataukwaa urais, wagombea wote kila mmoja anajinadi kwa kila namna. Mdahalo umeandaliwa baina ya wagombea urais ambapo watapambanishwa kwa hoja kila mmoja aeleze kwanini tumchague yeye.
Watatumia jukwaa moja na itakua mwendo wa...
Kwa mliobahatika Kuutizama Jana mtakubaliana nami kuwa.
1. Wagombea Wenza wana Akili sana kiasi kwamba wanashawishi kuwa wakiwa Ikulu watakuwa Msaada mkubwa Kwa Mabosi zao (Marais)
2. Wagombea Wenza wamechujwa Kweli katika Vyama vyao husika na siyo tu wa Kukurupushwa Kiuhuruma au Kiupendeleo...
Mgombea George Wajackoyah
Wakati mmoja alikuwa mtoto wa kurandaranda mitaani nchini Kenya na wakati mwengine akawa mchimba kaburi nchini Uingereza, George Wajackoyah amekuwa kivutio cha kisiasa kwa kugombea urais wa Kenya kupitia ahadi ya kuligeuza taifa hilo la Afrika Mashariki kuwa muuzaji...
Most Democrats want someone other than Biden to run in 2024: Poll
A new Siena College-New York Times poll highlights the US president’s dwindling popularity amid domestic and international crises.
Only 26 percent of Democratic respondents want Joe Biden to be the party’s nominee in the next...
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta amesema alikuwa tayari kuachia madaraka ya Urais baada ya Mahakama Kuu kuufuta ushindi wake katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2017, angefanya hivyo ili kuzuia umwagikaji wa damu lakini Naibu wake, William Ruto alimshawishi kutofanya hivyo.
Mahakama iliagiza kurudiwa...
Mgombea Uraisi Nchini Kenya, George Wajackoyah amesema kuwa akiingia madarakani atafanya mchakato wa kuuza korodani za fisi pamoja na nyama nyingine za mnyama huyo Nchini China ili kukuza kipato cha taifa hilo.
Wajackoyah amesema mlo wa Wanyama hao utasaidia kukuza uchumi wa Kenya na kuimarisha...
Mgombea wa Urais Nchini Kenya, William Ruto ameahidi kuwafukuza Wachina wote wanaofanya kazi zinazoweza kufanywa na wazawa, iwapo atashinda uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Agosti 9, 2022.
Amesema kuna Wachina wanaouza mahindi ya kuchoma na simu mtaani nchini humo.
"Kuna wachina wanauza...
Habari za Leo ndugu zangu, poleni na majukumu ya siku ya leo.
Leo nimeona niwajulishe kile ninacho kiona mwaka 2025 na uzi huu uwe shahidi itakapofika wakati huo.
1. Mpaka mchakato wa ndani wa kupata majina ya wagombea CCM unaanza, chaguo la wengi kwa nje litakuwa Mwanamke.
2. Form yakwanza...
Mgombea wa Urais kupitia Azimio la Umoja One Kenya, Raila Odinga ameendelea kuongoza kwa umaarufu kuliko wagombea wenzake katika Jiji la Nairobi, Kenya akifuatiwa na mgombea wa Kenya Kwanza, William Ruto.
Takwimu hizo ni kwa mujibu wa Utafiti wa Shirika la Trends & Insights for Africa (TIFA)...
HISTORIA NI MWALIMU; MH AUGUSTINO LYATONGA MREMA ALIVYOWIKA NA KASHFA YA LOLIONDO UCHAGUZI MKUU WA URAIS MWAKA 1995.
Leo 10:15 hrs 12/06/2022
Issue ya Wamasai Ngorongoro imemuibua Tundu Lissu na kashfa ya Loliondo,kwanza kabisa suala la kashfa ya Loliondo lilikuwa ni zito sana, shukrani kwa...
Wenye Yanga yetu tunaenda na Msomi Dk. Mshindo Mbwete Msolla na siyo Matapeli wengine halafu ni wana Simba SC kindakindaki.
Tutanuniana sana Mwaka huu.
Chama tawala nchini Nigeria kimemchagua kiongozi wake wa kitaifa Bola Tinubu kuwa mgombea wake wa urais kwa uchaguzi ujao wa 2023 ambapo atashindana na kiongozi wa upinzani Atiku Abubakar kumrithi Rais Muhammadu Buhari katika Uchaguzi Mkuu wa Februari 2023
Katika kura za mchujo Tinubu (70)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.