Ukiwa Kiongozi wa Taasisi yeyote kubwa,lazima uwe na HIGH EMOTIONAL INTELLIGENCE, ukiwa Kiongozi na unaongozwa na hisia unajichimbia shimo mwenyewe...
Zaidi ya Mara moja tumeona Mkuu Kadhiirisha kua Ana hisia dhaifu so hapaswi kubeba hisia za watu zaidi ya million 60,.
Art Of Public Speaking...
Wakuu, joto la Uchaguzi mkuu limeanza kupamba moto. Tundu Lissu amefungua akaunti rasmi yenye jina la 'Tundu Lissu 2025' kwa ajili ya Kampeni za Urais.
Naona yupo tayari kukabiliana na Samia kwenye uchaguzi mkuu.
na kugombea urais kwenyewe, itategemea uwezekano wa kupewa fursa hiyo ya kugombea, hasa kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo chadema,
duru za kisiasa zinaeleza, uwezekano huo upo, tena mkubwa sana, lakini pia ikiwa ni vigumu na ikishindikana, basi planB itatumika bila mbambamba yoyote ili...
LISSU: NIMEANDIKA BARUA YA KUTIA NIA KUWANIA URAIS WA NCHI KUPITIA CHADEMA
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema ameshaandika barua ya kutia nia ya kuwania nafasi ya Mkamu wa Rais wa CHADEMA nafasi anayoishikilia kwa sasa pamoja na nia ya kuwania Urais wa Tanzania kupitia chama...
Wakuu,
Dodoma huko mambo ni moto. Kura wamemaliza kupiga saa 8 lakini mpaka sasa matokeo hola.
Kura zenyewe ziko elf 2 tu, nini kinawafanya wachukue muda mrefu hivyo?
Unaambiwa mpaka polisi wa kutuliza ghasia wamewekwa standby kama kikinuka waingilie kati!
Mpaka wamejitayarisha na polisi...
Nasikia watu wanasema kuw mwabukusi atakuwa moto as of TLS siyo taasisi bali mtu mmoja anaweza kuidrive tu akijisikia.
Sasa kama.wana sheria ni madictator tutakimbilia wapi
Tangu tuwe chini ya mkoloni jeshi la polisi linalalamikiwa kila siku. Utesaji na mauaji ya watuhumiwa. Kila siku ni kilio kwa wananchi.
Moja ya dhima ya kuanzishea Tls mwaka ni 1954 ni kutoa msaada kwa jamii inayoonewa na kunyimwa haki .
Sasa mbona utesaji wa polisi na hata mauaji...
Wakuu,
Mwakani wagombea Urais wanatakiwa kufanyiwa mdahalo kama huu ulioendesha leo na Star Tv.
Pia soma: Mdahalo wa Wagombea Urais Chama cha Mawakili Tanzania Bara (TLS) mwaka 2024
Kupitia mdahalo huo unaona kabisa huyu anafaa huyu amejaa pumba, na wengine wapo kwaajili ya kujaza nafasi tu...
Wataalamu wanaamini kuwa kuna majimbo machache tu ambayo yanaweza kumuwezesha mgombea wa Democratic Kamala au mpinzani wake wa Republican, Donald Trump kushinda uchaguzi mkuu wa Marekani hapo November.
Sita kati ya majimbo hayo-Arizona, Georgia, Michigan, Nevada, Pennsylvania na Wisconsin -...
Mwaka 2020 alizurura na kundi kubwa na mlinzi mwenye mishale kama anaenda kuwinda swala. Hakuna cha maana alichokisema kwa Watanganyika zaidi ya kuwa na jazba ya kupigwa masasi
Tanganyika inahitaji mabadiliko sio drama za kisiasa. Ufisadi umetamalaki, upendeleo, na ubwela.
Taifa hili...
Kesi ya Boniface AK Mwabukusi kupinga kukatwa kwenye Uchaguzi wa Rais wa Tanganyika Law Society kutolewa hukumu leo pale Mahakama kuu ya Tanzania
Jumaa Mubarak 😃
----
Mahakama Kuu ya Tanzania kanda ya Dar es Salaam leo, Ijumaa Julai 26.2024 imetoa hukumu ya kesi iliyokuwa imefunguliwa na...
Hii tamadani inayojijenga tanzania siyo nzuri kabisa. Mtu akijiandaa kwa mda mrefu kwa ajiri ya urais ataundiwa zengwe mpaka ataonekana ni jambazi.
Ninachofahamu mimi kila position huwa ina maamdalizi kwa anayetaka siyo kumlazimisha kama alivyolazimishwa jpm. Na ndo mana uongozi wake kulikuwa...
Hesabu za kisiasa zimechezwa na Rais aliyetakiwa kutetea kiti chake amejiengua na badala yake amemuunga mkono makamu wake, Kamala Harris kuchukua nafasi yake ya kuwania kiti cha Urais kupitia chama cha Democrats!
Atatoboa kwenye chama? Atauweza mfupa uliomshinda Hillary Clinton?
Pia, soma=>...
Mwaka 1995 Mwalimu Nyerere akisimama na kuhutubia mkutano mkuu wa kuteua Mgombea Wa CCM bara katika nafasi ya Urais . Alizisitiza "Watanzania wanataka mabadiliko , wasipo yapata ndani ya CCM watayatafuta nje ya CCM".
Aidha mwalimu Nyerere aliwataka wajumbe kuteua Mgombea atakayekidhi matakwa ya...
Kiongozi wa Upinzani chini ya Muungano wa Azimio la Umoja One Kenya, Raila Odinga amekosoa shinikizo la Waandamaji wanaotaka Rais William Ruto ajiuzulu akieleza hatua hiyo haitakuwa na mabadiliko yoyote katika Serikali.
Akizungumza na Wabunge wa chama cha Orange Democratic Movement (ODM)...
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imemruhusu wakili Boniface Mwabukusi kufungua shauri la marejeo ya uamuzi uliomwengua kwenye orodha ya wagombea urais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS).
Hata hivyo, imekataa ombi la kusimamisha mchakato wa uchaguzi huo ambao sasa utaendelea kama...
Inawezekana helkopta ilitua vibaya (kwa kujibamiza chini) ikachokonoa majeraha ya Lissu ndio maana haonekani kwenye kampeni?
Namshauri ajipe muda apone vizuri, sio chini ya miaka mitatu au minne. Asichukulie urais kama jambo la dharura kwake. Hili lo nchi lipo tu, aangalie afya yake kwanza.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.