urembo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. 9mm

    Urembo Kwa wanawake na Nguvu Kwa wanaume

    Habari za muda huu wana jamvi, poleni kwa majukumu na harakati za kila siku za ujenzi wa taifa na kuhakikisha mkono unakwenda kinywani. Bila kuchelewesha muda niende moja kwa moja kwenye mada. Uumbaji wa dunia na vilivyomo ni wenye kupendeza na kutukuka sana. Ila kwa bahati mbaya mwanaadamu...
  2. S

    Kutikisa kiuno ni urembo?

    Hivi mnaotembea na kutingisha mzigo ni urembo au ni kitu gani,naona sielewi ,kusema kweli wananishughulisha vibaya mno kitu gani kinawafanya wawe wanaendaga kama wanakasolo.
  3. Eli Cohen

    Matamanio ya watu yana "evolve", ndio maana zamani makalio hayakuwa kigezo katika mapenzi na urembo

    Angalia ndugu, dunia ya mapenzi, urembo na fashion inaendeshwa kutokana na matamanio ya mwanaume. Vile desires za mwanaume zilivyokuwa zina evolve (kubadilika kutokana na muda) ndivyo vile ilivyopelekea kubadilika kwa nature ya mapenzi na urembo. Mwanadamu asili yake ni kuhitaji zaidi...
  4. Bushmamy

    Urembo wa asili

  5. Mwanamayu

    Umening'iniza rozari au tasbihi kwenye gari lako lakini hupishi wenzio, huo ni urembo?

    Unakuta kwenye gari imening'inia rozari au tasbihi kuonesha mwenye gari - labda kama ni mwajiriwa - ana mtukuza Mungu ambaye anamtaka ampende jirani yake. Jirani ni mtu yeyote aliye karibu yako. Sasa inakuwaje umkatarie mtumiaji mwingine wa barabara kuingia barabara kuu au kutoka barabara kuu...
  6. mkenya wa kova

    Njoo ujipatie offer ya urembo kutoka nyumba yako

    Tunatoa offer ya urembo safi kwa mwezi mtukufu kama ifuatavyo .... Dirisha 30000 ...nguzo 40000 ... skirting 100000 ..arch ya baraza 10000 ... Arch ya ndani 70000 0719999526/0747618315 WhatsApp
  7. Quraish Hussein

    Je kuna chuo chochote cha urembo na mapambo maeneo ya Mwenge Dar es Salaam

    Ni maeneo gani katika mkoa wa dar es salaam hasa pande za mwenge kunaweza patikana chuo cha ufundi stadi kama kupamba au urembo.
  8. music mimi

    Wadada nisaidieni kurasa nitakazopata urembo maridadi

    Hapa panawahusu wadada so naomba nijibiwe na wadada. Mie sio mtaalam sana wa vitu vya kike vilivyo kwenye trend. Ila nataka kumnunulia wifi yenu zawadi kwa ajili ya valentine so ninataka kununua kidogo kidogo mpaka siku hiyo maana mwaka jana sikumnunulia zawadi alipoa mpaka nikakosa raha...
  9. R

    Nahitaji fundi Dar mwenye uwezo wa urembo Gypsum kama huu

    nilipita sehemu mwaka juzi nikaona Ceiling nzuri kama hii. Nilipiga picha. Watalaam twambieni inahitaji makario kiasi gani cha pesa Sitting room kama hii. Fundi kama yupo tuanze kazi as soon as possible
  10. Side Makini Entertainer

    Mvuto ni tofauti na urembo au utanashati

    Hiki ni kitu ambacho unaweza kukitengeneza kutokana na matendo, mavazi na maneno yako. Katika mapenzi, urembo au utanashati hauna nguvu kama mvuto. Mvuto ni namna ambavyo unamfanya mtu akuone bora, wathamani na wakipekee. Mvuto ndio unafanya umuone Neema wako ni bora kuliko wanawake wote...
  11. BARD AI

    Kenya: Wabunge wanyimwa huduma za "Masaji" na Urembo kwenye Bima ya Afya

    Wabunge walitaka huduma za Urembo na "Massage" zijumuishwe kwenye Vifurushi vya Bima za Matibabu yao ambapo Tume ya Huduma za Bunge (PSC) imekataa na kuwataka kutumia fedha zao wenyewe kupata huduma hizo. Hata hivyo, Wabunge hao watapata Bima ya Tsh. Milioni 206 ikijumuisha na familia zao...
  12. sky soldier

    Mfahamu Jokate Mwegelo (Kidoti); Kuzaliwa Marekani, Urembo, kipanga darasani, Mapenzi, Siasa

    Kabla hajaukwaa Ukuu wa Wilaya, moja ya habari kubwa zaidi kumuhusu Jokate Mwengelo ambayo iliwahi kutikisa bara zima la Afrika, ni pale ambapo jarida bora zaidi ulimwenguni la Forbes lilipomtaja kuwa ni miongoni mwa vijana 30 bora kwa bara la Afrika ambao wana potential kubwa kuleta mapinduzi...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    Wanawake wengi bila urembo hawavutii! Sio wazuri

    Kwema Wakuu! Ninawaelewa wanawake katika Kupenda pesa Kwa sababu bila matunzo Kwa kweli hawafurahishi, hawavutii, Kwa uzoefu wangu mdogo na wanawake nuliowahi kuwaona katika majiji makubwa nachelea kusema Wanawake wengi yaani 95% bila ya urembo hawavutii na wala hawaonekani kuwa wazuri...
  14. Equation x

    Fundi urembo wa nguzo anahitajika kwa bei nafuu

    Kazi ya kuweka urembo kwenye nguzo 6, pamoja na mkanda wa slab wenye mzunguko wa mita 50. Hela iko mfuko wa shati, laki 4; haiongezeki ila inaweza kupungua.
  15. mkenya wa kova

    Tunatoa offer ya urembo wa nyumba kwa bei sawa na bure

    Njoo uchague sample ya urembo kwa offer ya pasaka na mwezi wa Ramadhani bei rahisi sana ,ni popote tanzania tunakufikia kwa.... Nguzo @ 50000 Dirisha@ 30000 Kona@40000 Arch@20000 Mkanda wa msingi@250000 Arch ya dining@ 150000 Piga 0747618315 WhatsApp 0719999526
  16. K

    Nani aliwadanganya Wanawake wa Kiafrika kuwa weupe ndiyo urembo?

    Yaani siku hizi imekuwa too much sasa Kuna mwanamke mmoja hivi nilikuwa na-chat naye yaani yeye kila picha yake akiweka status yaani ni Mzungu tu Sasa leo katika mizunguko yangu nimekutana naye live. Eee bwana ni mweusi tena ana chunusi. Nimem-block sipendi ujinga Hivi ninyi wanawake wetu...
  17. sky soldier

    NAFUMUA MSHONO: Simu za iPhone ni mdebwedo, wanaozitumia ni watu wa kufuata mkumbo bila reasoning. Simu za Android ndio mpango mzima!

    siongei sana, wacha tunyoke moja kwa moja kwenye hizi points zaidi ya 20 Bei ya iphone ipo juu kwasababu haitaki ushindani Iphone ni kama unaposafiri safari ndefu kwa basi, huwa kuna ile migahawa ipo highway sehemu ambazo hakuna makazi, bei ya "robo sahani" ya chipsi na vimishkaki vidogo ni...
  18. Binadamu Mtakatifu

    Ukweli kuhusu mbingu na urembo wa wanawake au mitindo ya fashion

    Hello ni mimi tena BINADAMU MTAKATIFU natumai mu wazima wa afya, Leo bwana nataka tusemezane kuhusu zaidi utakatifu na mbinu za adui(Ufalme wa giza) Kuna watu wengi ambao wamepotoshwa sana leo sitazungumzia dini ila kwa kiasi nwenye akili atatambua lililo sahihi sio kila mtu atakwenda mbinguni...
  19. BAK

    Urembo kupitia visu

    NTU yule yule lakini sura mbili tofauti before and after visu kufanya kazi yake hata hiyo before sijui kama visu vilikuwa havijampitia usoni. 😜
  20. MK254

    Mwanamke mzawa wa Kenya atunukiwa tuzo la urembo Uingereza

    Alikwenda ukubwani kupata elimu ya juu, sasa kuiwakilisha Uingereza kwenye shindano la urembo duniani kote.... A Kenyan-born model has been crowned Miss England and will now represent the European country in the 70th Miss World that will be held in Puerto Rico. Rehema Muthamia, 25, received...
Back
Top Bottom