Watu wanaojulikana kama Surma wanapatikana Ethiopia wanatamaduni ya kung'oa meno na kuchana mdomo wa chini
Zoezi hili hufanyika wakati wa kupevuka. Mwanamke atakayeweka sahani kubwa zaidi hulipiwa ng'ombe wengi kama mahari
Wanaume huchana midomo kuashiria wako tayari kuingi katika ndoa
TAWILEEE HUMU NDANI!!...Habari za muda huu wana JF, mim s mgeni Jf bt ni kijana mkongwe , na sijawahi kupost chochote zaid ya kukoment ktk majukwaa mbalimbali JF, hususan jukwaa la siasa, great thinkers, jamii intelligence na MMU.
Sasa ktk pitapita zangu jukwaa hil kwa kipind kirefu bila kupost...
Mazoezi ya lisaa limoja kwa siku yanatosha kukufanya upate mwili unaopendeza. Mwili unaokubali kila nguo. Mazoezi yanasaidia kukuepusha na magonjwa mengi ya muda mrefu, mfano kisukari, magonjwa ya moyo, stroke, na matatizo ya miguu.
Inapendeza ukiwa na miaka 70+au 80+ bado unaweza kwenda...
Habari za majukumu wapambanaji wenzangu.
Nipo kwenye hili jukwaa leo kuomba msaada kuhusu a to z ya biashara ya urembo wa magari yaani car accessories kama carpets, steering cover, radio, stickers, air freshner, na vingine vingi ambavyo sijavitaja.
Ningependa kujua nitahitaji mtaji wa shilingi...
Wadau wa JF habarini za siku natumaini mko poa na mnaendelea vema na majukum ya kila siku kama binadamu katika kujitengenezea mazingira ya mkono kwenda Kinywani yaani i mean mambo ya Diko
Wadau kama mnavyojua katika stage ya binadam kukua tunakutana na mambo mengi katika relationships, sex...
Susan Metta ni mwanamke wa miaka 40 kutoka nchini Kenya. Miaka miwili iliyopita alipopashwa habari za kuwa alikuwa na virusi vinavyosababisha ugonjwa wa ukimwi,badala ya kukumbwa na simanzi huzuni na machungu, mwanadada huyu anasema kuwa alitabasamu tu na kumueleza muhudumu wa afya aliyekuwa...
Kwa Wakazi wa Dar es Salaam; Hii si ya kukosa.
Fanya Booking ya Huduma ya Usafi au Urembo ukiwa Nyumbani kwako ama popote ulipo, na sisi tutakufuata hapo ulipo.
Popote ulipo, nasi Tupo. Hakuna tena haja ya kutumia muda mwingi wa kutafuta huduma za Urembo ama Usafi
Unaweza pia kufanya booking...
Wadau naombeni ushauri
Nimepata wazo la kumfungulia duka la urembo mke wangu ila nataka akajifunze kufanya makeup na kusuka location ya kujifunza = Kariakoo (kama nitaambiwa location nzuri zaid itapendeza) then akishakua vizuri ndo nimfungulie duka uku mtaani(Kigamboni). je, hii biashara iko...
TANGAZO LA KAZI TAREHE 17, DISEMBA 2020.
BEITO IINTERNATIONAL COMPANY LTD, tunajihusisha na shughuli za usafi na urembo. Ofisi zetu zipo Dar es Salaam, Wilaya ya Kinondoni, Mwenge, ITV.
Huduma tunazozitoa ni hizi zifuatazo;
USAFI
Usafi wa nyumbani wa kila namna kama vile kusafisha ndani na...
Nimepata wazo la kufungua duka litakalouza vifaa vya urembo kwa wakina Dada (cosmetics) maeneo ya Mbezi ya kimara au Kibaha. Nimewaza kuweka perfume mbali mbali! Mafuta ya kupaka, lotion, sabuni za manukato, rangi za kucha.
Je nahitaji kuwa na mtaji wa kiasi gani!?
Kariakoo nitapata bidhaa kwa...
Wadau eeh! Its time.
Najaribu kuvuta taswira ya wanawake warembo na wazuri. Huwa najiuliza hivi uzuri/urembo wao unaweza kuchangia kunogesha tendo.
Mimi kwa akili yangu najuaga mwanamke akiwa mzuri/mrembo kwenye tendo ndio atanoga tofauti na wale wenye urembo wa kawaida.
Wale wenye urembo wa...
Nahisi urembo wangu umevuka mipaka, wanaume wanahangaika sana kunipata adi nawahurumia kuna wanaonihonga viwanja wengne magari adi wengne wameacha adi familia zao kunipata mie kichwaBOGA. Sijui wanavutika kwa fesi yangu pua ya kitusi, au pengne uno langu matata.
Au ni K yangu yenye hadhi ya 5G...
Habari ya muda huu mpenzi msomaji wa makala hii. Mi naitwa DEOGRACIUS JOSHUA, Mkurugenzi na mmoja wa wamiliki wa kiwanda kidogo Cha vifungashio au mifuko mbadala kiitwacho DEO VIFUNGASHIO kukiwa chini ya DEO & FRANK Company Mkoani Dodoma, dodoma mjini.
Tunapenda kuwataarifu enyi wamiliki wa...
Wanaume naomba niwaulize kitu kimoja,
Kwanini mnaumia sana sisi kujiremba? Yaani nafanya kazi, natengeneza pesa, naenda saluni natengeneza nywele zangu, nabandika kucha, naweka kope zangu za bandia kwa pesa zangu. Mwanaume anatoka huko roho inamuuma eti "Akina dada wanajiremba sana, ooh sipendi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.