urusi na ukoloni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Rais Ukraine asema Urusi inatafuta Wapiganaji wa Afrika ikiwemo Tanzania wakapigane vita dhidi ya Ukraine . Kumbe ndo sababu Wanamuunga Mkono Mtekaji!

    Hakuna Siri itabaki sirini !!. Rais wa Ukraine amezionya Nchi za Afrika kuacha kuisupport Nchi ya Urusi Kwa kuipatia Wapiganaji kwani Kwa kufanya hivo ni kutangaza Vita dhidi ya Ukraine !!. Haya Yamejiri ikiwa ni siku chache tangu Urusi itume Ujumbe maalumu kuonana na Aliyejichagua na...
  2. JamiiForums Tanzania System ishaanza kushughulika na Traore? Al Qaeda waingia Burkina Faso, waondoa benera za Urusi na kuua wanajeshi 60

    Wakuu, Kikundi cha wanamgambo wa Kiislamu kinachohusiana na Al Qaeda, JNIM, kimedai kuhusika na shambulio dhidi ya kambi ya kijeshi katika jimbo la Loroum kaskazini mwa Burkina Faso, ambapo wamesema waliua wanajeshi 60. Shambulio kubwa lilitokea katika mji wa Sole, huku shambulio jingine...
  3. JamiiForums Tanzania Urusi haikuwa na makoloni Afrika, lakini ilikuwa na makoloni huko Siberia inayomiliki hadi leo

    Waafrika wanaoishabikia urusi hudai kuwa haikuwa kuwa na makoloni afrika kama mabeberu. Wasichojua ni kwamba urusi ilikuwa na makoloni makubwa sana huko Asia na bado inayamiliki hadi leo pamoja na kuwa Afrika yote leo iko huru. Kwa mfano mpaka leo Siberia ni koloni la urusi pamoja na kuwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…