usa

  1. Marekani yamfukuza balozi wa Afrika Kusini

    Marekani imemfukuza balozi wa Afrika Kusini nchini Marekani na kumwelezea kuwa ni mtu asiyekubalika Marekani. Chief Secretary wa Marekani, Marco Rubio amesema kuwa Balozi Ebrahim Rasool wa Afrika Kusini, ni mtu anayeendekeza siasa za ubaguzi wa rangi, na anayemchukia Rais Trump, na kwamba...
  2. Tether USDT scam project Kuna siku tutalia sana, Grok AI kaipa red flag kwamba haiamini lakini anataka ni iamini, Je tether ni scam project ya USA?

    Wadau Leo ktk pitapita zangu nikakutana na mpango wa Marekani kufungua crypto reserve kama walivyofanya kwenye Gold reserve kule fort Knox. Lakini Kuna siku niliwahi sema siiamini USDT kwasabu ni scam project Kwa ninavyo amini Mimi. Lakini Leo nikaona nichart na Grok AI ya marekani. Kwanza...
  3. Kama Urusi anapigana na Ukraine kwanini USA anahaha na maridhiano?

    Watu wanchekesha sana, eti Urusi anapelekeshwa na kanchi kadogo ka Ukraine! Huwa nasema siku zote kwamba Urusi anapigana na mataifa zaidi ya 30 pale Ukraine. Ukraine ipo tu pale kama platform, kama uwanja wa vita baina ya NATO na Urusi. Hata Trump alimwambia Zelensk kama sio USA basi vita...
  4. Ushuru wa USA kwa Canada, Mexico na China vimeanza kufanya kazi rasmi

    Baada yakusitisha kwa mwezi mmoja, Trump kasema Canada na Mexico hawajafanya lolote kuboresha hali ya mipakani. Basi ushuru wa 25 percent kwa bidhaa kutoka Canada na Mexico umeanza kufanya kazi rasmi. China imeongezewa ushuru kufikia asilimia 20, toka 10. Waziri mkuu wa Canada ameongea na...
  5. Utawala wa Trump wautaja tena waasi wa Houthi kuwa "shirika la kigaidi la kigeni"

    Pesa ya kujenga nchi waliyoiharibu wenyewe hawana ila ya kurusha makombora kwenda Israel na USA wanayo. MATAPELI! ============= Wizara ya Mambo ya Nje siku ya Jumanne ilirejesha tena hadhi ya "shirika la kigaidi la kigeni" kwa kundi la Houthi linaloungwa mkono na Iran nchini Yemen, ikitimiza...
  6. Hivi kwa nini kitambulisho cha taifa Tanazania kwa USA ni sawa na leseni ya udereva wakati leseni ya kwao imebeba mambo mengi kuliko sisi

    Leseni ya USA ni kitambulisho cha hapa Tanzania kwa jina ID card kuwa wewe ni Mtanzania. Upande wa wenzetu waliona nini kwao ili.Wajuzi tuelewesheni
  7. Gadaffi angekuwa huu wizi wa kuibiana mali kama USA na Ukraine asingetaka kuusikia kabisa..RIP mwambaa

    Alisema anajua. Anatafutwa na Marekani na siku yoyote atauliwa BAADA ya kifo sikuwahi sikia HATA nchi ya afrika uliohuzunika na kusema polen WA Libya Mwamba huyu NDIE PEKEE aliapa kama Marekani wanataka mafuta basi iwe kwa MASLAHI ya wananchi wake Akawawekeaaaa masharti wakamkataliaa hahaha...
  8. Usia wa busara kutoka kwa shujaa Volodymyr Zelenskyy.

    Volodymyr Oleksandrovych Zelenskyy atabaki kuwa shujaa. Nukuu yake muhimu ya uzalendo hii hapa.
  9. Why is Ukraine negotiating a minerals deal with the US?

    The Ukraine has substantial supplies of key minerals, but some are now in Russian-occupied territory Kyiv and Washington are close to signing a deal over US access to Ukraine's mineral deposits, a Ukrainian minister says. Olga Stefanishyna, deputy prime minister for European and Euro-Atlantic...
  10. Trump, anamwambia Zelensky nitakusaidia kuimaliza hii vita kwa makubaliano maalum ya $500 Bilioni

    Siwezi mlaumu Trump maana Marekani imemlushia pesa mingi sana Ukraine KYIV — Utawala wa Trump uko karibu kufikia makubaliano na Ukraine kuhusu upatikanaji wa haki za madini zenye thamani ya mamia ya mabilioni ya dola, ikiw ani hatua kubwa kuelekea kumaliza vita vikali vya Russia dhidi ya taifa...
  11. Trump: comedian Zelensky aliingiza mkenge USA

    Nani amehack account ya Trumpet!?
  12. USA in a constitutional crisis!

    JUST WATCH THIS! ... they find themselves in a situation where it's no longer the question of 'left or right' but feel like they could be spiraling into FASCISM AND AUTOCRACY through their constitution which, some of us, think iS absolutely perfect! ... chaos is brewing in the US...
  13. T

    Kazi ambazo ni rahisi kupata kwa wakuja ukifika USA

    Kwa manew comers wabongo wapya wapambanaji. Kazi rahisi kupata nchini Marekani mara nyingi ni kazi za kuingizio (entry-level) ambazo hazihitaji ujuzi maalum au uzoefu mrefu. Hapa ni baadhi ya kazi rahisi kupata: 1. Mhudumu wa Meza (Waiter/Waitress): Kazi ya kuhudumia wateja kwenye migahawa na...
  14. D

    Kama USA Urais ni taasisi mbona Trump anajifanyia anavyotaka?

    Mara afukuze wafanyakazi anavyotaka, Mara aajiri anavyotaka, Mara ayafute mashirika anavyotaka, Mara aifute mikataba ya watangulizi wake hovyohovyo, Leo tena ameamuru sarafu flani isitengenezwe tena. Sasa hii imekaaje?!! Kumbe uraisi Raha sana.
  15. ACT Wazalendo Calls on African Frontline States to Sever Diplomatic Ties with USA Over Aggressive Interference in South Africa

    ACT Wazalendo expresses deep concern over the reckless and aggressive decision by U.S. President Donald Trump’s Executive Order of February 8, 2025 to cut foreign aid to South Africa in response to its sovereign land reform (acts) and its principled stance against Israel’s genocide in Palestine...
  16. Wana-uchumi: Dollar ndiyo inatumika katika manunuzi karibu Dunia nzima. Niaminishe USA ha-print pesa na kuzisambaza soko la dunia kupitia manunuzi!!!

    Mataifa mengi yakitaka kununua vitu nje ya nchi yanahitaji Dollar ya marekani. Marekani akihitaji kununua vitu anatumia Dollar. Kitu gani kitamfanya asi-print pesa zake anapohitaji kununua nje? Tanzania hatuwezi ku-print pesa yetu maana hatuwezi kuitumia kununua mafuta let say Iran...
  17. USA sio Mungu wakikosea tuwapinge, kwenye hili nasimama na Mahakama ya Kimataifa ya ICC

    Trump amewawekea vikwazo vya kifedha na Visa kwa maafisa wa mahakama ya kimataifa ya uhalifu ICC baada ya mahakama hiyo kutoa hati ya kukamatwa kwa viongozi wa juu wa Israel Israel na washirika wengine wa USA. Mtakumbuka kwamba mwaka jana 2024 mahakama hiyo ya kimataifa ilitoa hati kukamatwa...
  18. We have reached the peak of invention we are now on application, and that is bad for western world, specifically USA.

    The great power of the western world particularly USA was based on technology, the famous silicon valley. For years, the USA has been the center of inventions. These inventions gave the western world the upper hand on various crucial part of life like economy, communication, energy...
  19. Mwanamke mmoja aliyefungua mashata kampuni ya usafiri Lyft USA amejibiwa huduma yake

    Mwanamke mmoja huko marekani alifungua mashtaka ya kuishtaki kampuni lyft inayotoa huduma za tax mtandaoni kwa kumkatalia sababu ya uzito wake. Sababu hii ilichangiwa wengine wakisema ina ubaguzi na wengine wakisema ni unyanyasaji. Baada ya kuzuka mijadala mingi kampuni lyft imeamua kuongeza...
  20. PIGO JINGINE KWA MAREKANI: Urusi na Uchina zatengeneza Nvidia card bora mara 800 ya zile za USA

    Hii ni habari mbaya sana kwa Pro -USA. **************** ******************* Wanasayansi kutoka nchi hizo mbili wamesuka algorithm mpya kwa kutumia teknolojia ijulikanayo kama "reverse engineering" na kuweza kuboresha kadi kadi za video game . Algorithm hiyo mpya inaruhusu kadi za GPU hizo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…