Amani kwenu watumishi wa MUNGU katika kristo YESU
Katika kitu ambacho nilikuwa sijui ni kuwa kama mwanetu Young D mzee wa bongo bahati mbaya kuwa alihamia Marekani
Leo ndo nimejua
MWENYEZI MUNGU aendelee kuwabariki hawa vijana katika ridhiki zao na mapambano yao ya kila siku
AMINA tuendelee...
Kwanza nimpongeze Hon. D. Trump kwaujasili wa kuiondoa USA katik ufadhili wa WHO. Binafsi naona kama anania ya kufikirisha akili za viongozi wa nchi masikini kutumia vizuri makusanyo yao ya ndani badala ya kununua samani na magari ya kifahari.
Pia, nifulsa kwa raia wenye akili bunifu katika...
Rais mstaafu wa Kenya Uhuru Kenyatta ameonya viongozi wa Afrika dhidi ya kutegemea sana misaada ya kigeni kufuatia uamuzi wa Rais wa Marekani, Donald Trump, wa kusitisha msaada wa shirikisho duniani kote.
Akizungumza wakati wa Mkutano wa Usalama wa Afya wa Kanda ya Afrika Mashariki 2025...
Kwanini USA wanalazimisha nchi nyingi Duniani kutumia Dollar ili kununua vitu Kimataifa?.
Kwanini USA wanawapandishia kodi Nchi nyigne kuna nini hapo au ni kwamba USA ndo Great Market in This World Only?
Hali ni mbaya kulia na kusaga meno tayari vimeanza.
Mimi ni mtumishi mwandamizi wa shirika X linajihusisha na huduma za CTC, aisee moja haikai mbili haikai tumeanza kupewa notice, familia zetu zitaishije jamani, shirika linna step down!
Trump ni shetani kabisa
Trump amelaumu uongozi wa Obama na Biden kuruhusu watu kuja kufanya kazi ambazo zinahitaji ma-genious na hivyo kuruhusu hata watu wenye ulemavu wa akili kufanya kazi maalumu kwa ma-genious.
Trump ameyasema hayo alipokuwa anazungumza na waandishi wa habari kuhusu ajali hiyo.
Mambo yanaendelea...
Mange yupo sawa kwa hili
https://youtu.be/wMER57zVsfg?si=ZIhQ0ZUpmoGYodnJ
Miradi ya treni yote na barabara badala ya kutoa kwa kampuni za Tanzania badala yake wanatoa kwa China
Viongozi wengi wazalendo wa kweli waliopita walisisitiza juu ya Afrika kujitegemea na kuacha kutegemea mataifa ya magharibi. J.K Nyerere, Kwame Nkrumah, Thomas Sankara, John Magufuli na viongozi wengi mashuhuri waliweka msisitizo juu ya Afrika kutumia rasilimali zetu wenyewe kama vile ardhi...
Hili sakata linaloendelea la Rais Donald Trump kutishia kufuta misaada iliyokuwa inatolewa kwa Nchi Maskini hasa afrika imezua kasheshe.
Hata hivyo wananchi ktk mataifa mbali mbali yaliyoko kwenye orodha inayotishiwa wamekuwa na hisia na mawazo tofauti juu ya kadhia hiyo.
Wengine wanasema...
Kauli ya WHO Kuhusu Taarifa ya Marekani Kujitoa katika shirika hilo
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesikitishwa dhidi ya tangazo la Marekani kwamba inapanga kujitoa katika Shirika hilo.
WHO ina jukumu muhimu la kulinda afya na usalama wa watu duniani, wakiwemo Wamarekani, kwa kushughulikia...
Hasara ni kubwa sana, kwa mara nyingine Dunia unaenda kupata pigo kubwa kwa kukubali kuongozwa na mpumbavu. Marekani inapambana kuwa na ushawishi haswa huku Afrika ambapo china imeleta ushawishi mkubwa Wa kiteknolojia Leo anatokea mpumbavu mmoja kujiondoa kwenye shirika la Afya duniani. Huu ni...
Kutokana na moto unaoendelea kuweka huku miundombinu likiendelea kuharibika
Zipo taarifa kadhaa ikiwamo moto huo kuhusishwa na ugaid
Na kama itakuwa ndivyo basi marekan atakuwa amevuliwa nguo
Kwa siku ya Jana mshukiwa mmoja amekamatwa akiwa ni simu za mkononi Tano na kadi za bank...
Kwa kawaida adui yako ukiwa wamfyeka vitani ni furaha kwako. Cha kushangaza South Korea na Ukraine wamekuwa wakilalamika kuwa wanaajeshi wa North Korea (adui yao) wanaopigana vita upande wa Urusi dhidi ya Ukraine wamekuwa wakifyekwa kwa makumi elfu!
Wakati propaganda hizo zikiendelea, North...
Nawezaje ku trade soko la hisa la USA mikiwa TZ?
Nawezaje kununua big stocks kama AAPL, TSLA etc
Sio Forex bali Stock MARKET kama kuna broker naweza mtumia hapa TZ
Huko tulikoiga siasa hizi za vyama vingi huo ndio utaratibu wao. na wana sababu za msingi.
Sababu hizo bado zina mashiko kwa Chadema.
Msikilize Ansbert ngurumo
https://www.youtube.com/watch?v=rL5qDn_RctU
Watu wengi wamejidanganya Sana eti Marekani anaiba mafuta Uarabuni bila kujua Marekani ni kinara wa Uzalishaji wa crude oil duniani
USA anazalisha pipa million 21 kwa siku na kumuacha Saudi Arabia, Russia kwa mbali Sana.
Bado USA ni kinara kwenye Uzalishaji wa gesi duniani.
Ukijumlisha na...
Muda si mrefu Uchumi wa USA unafika 30 trillion USD.
Uchumi wa USA ni mkubwa Sana. Ni rahisi kuitawala dunia kwa huo uchumi
Mchina ana safari ndefu Sana.
Ana watu 1.4 billion na uchumi bado ni 18 trillion.
===
Katika hali isiyo ya kawaida Wakili wa Brooklyn Nchini Marekani, Breon Peace ametangaza kujiuzuru mapema mwakani kabla ya Uapisho wa Rais Mteule wa Marekani Bw Donard Trump ambaye ataapishwa tarehe 20 January 2025 huku Peace akijiuzuru tarehe 10 siku chache kabla ya Uapisho wa Trump na...
Mwanajeshi wa Marine (USA) aliamua kuacha kazi jeshini na kuanza kazi mpya kama mwalimu wa high school, sasa kabla mwaka wa masomo haujaanza aliumia mgongo na akatakiwa avae plaster cast(piopi zile wanazovaa waliovunjika), akafungwa plaster cast iliyozunguka sehemu ya juu ya mwili wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.