==
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila katika ukurasa wake wa X zamani tweeter ameandika haya;-
Kati ya mwaka 1970 na mwaka 1998 wakati misaada toka nje ya Africa ilikuwa ya kiwango cha Juu kuliko wakati wowote ajabu ni katika wakati huo huo...
Jana nilikuwa Tanga na ile Ziara ya Raisi Samia Tanga ina sio chini ya V8 300, Bado hujazungumzia Nisan Patroo, bado Toyoto landcruser hardtop na magari mengine. Hapo jirani tu Hospitali ya Bombo ukifikankuna wagonjwa walisha jijatia tamaa make ndugu hawana uwezo wa pesa za vipimo.
Hii ni nchi...
Serikali ya Marekani chini ya Donald Trump imesitisha ufadhili katika programu mbalimbali za afya ikiwemo HIV, Polio, na Malaria duniani kote.
Kwa mujibu wa gazeti la New York Times, serikali ya Trump imesitisha takribani programu 5,800 zilizokuwa zinafadhaliwa na USAID ikiwa ni pamoja na...
Inaitwa China International Development Cooperation Agency (CIDCA). Imegawa msaada wa chakula kwa Zimbabwe, tusiwachukulie poa Wachina, kumbe wanalisha Africa pia tofauti na kuwa soko la lao la bidhaa na sehemu ya kuvuna rasilimali!
Ukiangalia hiyo chart hapo juu utaona zaidi ya Egypt hakuna nchi nyingine ya Africa iliyonufaika missada ya US kupitia USAID kama nchi za mabara mengine mfanonUlaya.
Lakini toka rais Trump asaini executive order ya kusitisha USAID. Watu mbali mbali wamekuwa wakitoa malalamiko na kuitolea mfano...
In a recent development that has stirred international controversy, U.S. Congressman Scott Perry from Pennsylvania has made startling allegations suggesting that the United States Agency for International Development (USAID) has indirectly funded the terrorist group Boko Haram. This claim...
Jaji Ali wa Federal Court ya huko Marekani ameondoa amri ya kuzuia misaada iliyowekwa na Trump mpaka kesi mbalimbali zilizofunguliwa na makundi mbalimbali ya watu zitakaposikilizwa na kutolewa hukumu.
MAGA wamelalamika sana wakisema inawezekana vipi Jaji muhamiaji ambaye ni DEI, Mwarabu na...
Baadhi ya wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wamejipanga kuishinikiza serikali iwaajili wote waliokubwa na zuio la misaada kutoka marekani!
Hii linadhihilisha wazi kwamba ajira serikalini kwa vijana wetu zipo za kutosha lakini hawana watetezi bungeni!
Pamoja na yote utaratibu...
Serikali imeshauriwa kuwatumia wataalamu wa sekta ya afya waliokuwa wanatumika katika hospitali za umma lakini sasa hawatoi huduma zao kwa sababu ya ajira zao kusitishwa na Shirika la Kimataifa la Misaada la Marekani (USAID).
Soma Pia: Trump asimamisha misaada kwa nchi nyingine kwa siku 90 ili...
Ripoti mpya ya Tanzania Human Rights Defenders Coalition (THRDC) inaonyesha kuwa kusitishwa kwa ufadhili kwa ghafla kumevuruga shughuli za NGOs za ndani, kusababisha upotevu wa ajira, kufungwa kwa miradi, na matatizo katika utoaji wa huduma. Kwa miongo kadhaa, Marekani imekuwa mfadhili mkuu wa...
Kufuatia uamuzi wa Rais wa Marekani Donald Trump ( Executive Orders) kuzuia fedha zote za misaada zilizokuwa zinatolewa na serikali ya Marekani kupitia baadhi ya taasisi zake ikiwemo taasisi ya misaada ya Marekani ( United States Agency for Development – US-AID), Mtandao wa Watetezi wa Haki za...
Kumbe USAID mwaka jana September ilifungua uchunguzi dhidi ya kampuni ya Elon ya Starlink kuhusu kuruhusu jeshi la Urusi kutumia Starlink katika vita vyake vya uvamizi Ukraine!
Mojawapo ya vikwazo ambavyo Serikali ya Marekani iliweka kwa Urusi baada ya uvamizi ni pamoja na Starlink kutoruhusiwa...
Ethiopia ndiyo mnufaika mkubwa zaidi wa USAID barani Afrika, ikipokea msaada wa dola bilioni 1.20. Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inafuatilia kwa karibu kiasi hicho cha dola bilioni 1.20.
Kuangaziwa kwa misaada ya nje ya Marekani kumeongezeka katika miaka ya hivi karibuni, huku nchi hiyo...
Ni Sera ya NGOs nyingi za kimataifa nchini kusafirisha staff/wageni kwa ndege (preferably ATC) kwa ajili ya safety/usalama. Sasa kimeumana tayari watu wapo home wiki ya pili ATC mjipange na wafanyakazi wa Halmashauri hukoo Buhigwe sasa.
ROUTE zilizokuwa maarufu kwa wafanyakazi wa NGOs za...
Katika mwaka wa 2023, Tanzania ilipokea dola milioni 512.8 kutoka Marekani kwa ajili ya sekta ya afya, ikiwa nchi iliyoongoza kupokea msaada mkubwa zaidi wa afya barani. Nigeria, taifa lenye uchumi mkubwa zaidi Afrika, ilifuata kwa karibu kwa kupokea dola milioni 512.1.
Kwa jumla, misaada hii...
Nyie machawa , wazeee wa Mikopo na kutembeza Bakuli la msaada, huku mkiimba mapambio, Mama anaupigaaaa!!.
Mliamua kuuacha Msingi aliokua kaunzisha BABA MAGUFULI katika kuhakikisha Taifa linaanza mchakato wa kujitegemea , mkawachukia wote wanaopinga habari za mikopo na misaada ya mashariti ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.