usaid

  1. T

    Wakati USAID Ikipotea, Tutegemee Vifo na Maambukizi Mapya ya HIV makubwa haijawahi tokea, Tusipochukua hatua ;it is really a timing Bomb!

    Leo nitajikita kwenye kupotea kwa misaada ya HIV/AIDS tu , tuna watanzania zaidi ya millioni na nusu wanachukua na kupata dawa za HIV/IADS bure kutoka kwenye shirika la USAID, hawa watanzania wanapata vipimo vya serostatus na viral loads kila mwezi kupima maendeleo yao bure kutoka kwenye shirika...
  2. Pdidy

    Sakata la USAID, mlio makazini mjifunze kupanga ni kuchagua, msisubiri kiwake mje kuwa Wajasiriamali

    Kupanga kuchagua Kuna waliochagua watafia wakiwa makazini, wapo waliochagua wakiwa makazini wanapiga biashara kadhaa, na wale ambao hawapo kote kote. Kifupi tu, sakata la usaid liwe fundisho kwa mnaoendelea na kazi huko...mjue saa yoyote mwanaadamu anashuka...mkiwa ofisini, mjipange...
  3. J

    Kanisa Anglican lampongeza Rais Trump kwa kuifutia Misaada Africa, ladai Viongozi wa Afrika wamedumaa kwa kuomba omba!

    Kanisa Anglican la Africa limepongeza Uamuzi wa Rais Trump wa Marekani kulifutia Bara la Africa misaada yote Akizungumza nchini Kenya askofu mkuu wa Anglican church amesema Omba Omba imewalemaza Kabisa Viongozi wa Africa ambao wanauza Rasilimali zao Kwa mikataba ya hasara huku wakitegemea...
  4. Marie Antoinette

    USAID yahagaritse imirimo yayo.

    Guverinoma y’u Rwanda yatangaje ko nta nkunga za USAID zacaga mu ngengo y’imari ya Leta ku buryo bizahungabanya ibikorwa byari byarateganyijwe, ishimangira ko mu gihe hari imishinga ifitiye abaturage akamaro yaba igizweho ingaruka n’icyemezo cyo guhagarika iyo nkunga, izashyirwa muri gahunda za...
  5. Manfried

    Ukiachana na kondomu, neti na dawa za kufubaza makali ya UKIMWI; aina gani ya msaada mingine kutoka USAID?

    Japo gharama za kupata ARV zipo juu Ila sifikirii Kama tutashindwa kulipia hizo dawa. Je, kwanini mnamlaani Trump?
  6. Hhimay77

    Magari ya kukodi

    Kodi gari lenye uhakika na Rhond's company limited linalofaa kwa mahitaji yako yote ya kusafiri. 📅 Yanapatikana sasa – weka oda mapema uhakikishe tarehe zako! ✅ Bei nafuu ✅ Magari masafi na yanayotunzwa Piga simu/WhatsApp +255 655 633 302
  7. M

    Trump ni Magufuli mweupe, anachokisema anakitekeleza haraka, wiki 1 tu kafukuza wahamiaji haramu na Kafuta USAID. Rais Samia pata somo

    Kasi ya Trump kwenye kutekeleza maamuzi magumu ni kubwa sana, natamani Rais wetu Samia na yeye awe na hii kasi. Hata Tanzania kuna taasisi kibao zinafilisi serikali hakuna cha maana zinazofanywa zinapaswa kufutwa fasta fasta TRUMP anatoa THANK YOU haraka kuliko thank you za Simba na Yanga.
  8. Naibili

    Kwa wale waliopunguzwa kazini (USAID na wengine)

    Kusitishwa kwa shirika la USAID na serikali ya Donald Trump kkutagusa maisha ya familia nyingi sana, Sasa kama wewe ni mwathirika usipanick relax, wewe si wa kwanza kukutwa na hali kama hiyo, Nimejaribu kukuwekea baadhi hatua za kuchukua ili upite salama 1. FIRST THING FIRST Ulikuwa...
  9. Mwamuzi wa Tanzania

    Serikali iongeze ulinzi kwenye maghala ya MSD, iweke sawa record ya ARV's. Kuna watu vichwa ngumu wanaweza kujizolea ili wakapige pesa siku za machoni

    Sasa ARV's zinakwenda kuwa big deal, wachuuzi wadogo hawatazipata tena. Hofu yangu ni kwamba kwenye maghala ya dawa ya MSD watu wanaweza kujizolea na kuzificha ili wakatajirike siku za machoni. Ulinzi uongezwe. JWTZ walinde maghala ya dawa kwenye kipindi hichi cha mpito, vijana wa SUMA JKT...
  10. M

    USAID hatimae imekufa rasmi kwa taarifa hii

    USAID is officially dead. Elon Musk alisema USAID ni shirika la kihalifu na linapaswa kufa Kwa taarifa hii ni wazi kwamba kauli yake imetekelezwa Je ndugu zangu nini itakuwa athari kwa Afrika hususani Tanzania aliyekuwa anaongoza kwa kupokea mafungu huko USAID...
  11. The Mongolian Savage

    Elon Musk anataka kuteua vijana wadogo 'Baby Face' kumsaidia kutengua shirika la msaada Marekani. Wataalam wamtahadharisha

    Bilionea namba moja duniani Elon Musk yuko mbioni kuwateua vijana sita wadogo kiumri na legelege wenye sura za kitoto Baby Face kumsaidia kuifumua kuifungua na kuianzisha upya shirika la misaada la marekani America foreign Aid Agency. Billionea huyu wa Tesla aliteuliwa kuwa mkuu wa Department...
  12. Stuxnet

    USAID haiwezi kufutwa kwa Executive Orders; watetezi kwenda Mahakamani kuzuia uamuzi wa Donald Trump

    Hili ni kinyume cha sheria. Si Donald Trump wala Elon Musk anayo mamlaka ya kufuta USAID; ni Bunge (Congress) pekee linaloweza kufanya hivyo kwa kupitisha sheria. Kesi za kisheria zinaendelea, ili kujaribu kuzuia hili. JFK alitoa amri ya kiutendaji kuunda USAID, kisha baadaye Bunge...
  13. Rorscharch

    Waafrika tunazaliana sana halafu kuumudu uzao huo tunategemea misaada ya wazungu: Ni aibu maana hatuna tofauti na mbuzi kwenye zizi

    Takwimu zinaonyesha tofauti kubwa katika ukuaji wa idadi ya watu kati ya nchi za Afrika Mashariki na zile za Scandinavia kati ya mwaka 1960 na 2024. Hapa chini ni muhtasari wa mabadiliko hayo: Afrika Mashariki: Kenya: 8.1M (1960) → 54.7M (2024) Tanzania: 10.1M (1960) → 67.8M (2024) Uganda...
  14. Mindyou

    VIdeo: Wabunge wa Marekani waandamana hadi mbele ya jengo la USAID wakitaka misaada irudishwe haraka, wataka Elon adhibitiwe!

    Wakuu, Huko nchini Marekani, viongozi na baadhi ya wabunge wameandamana nje ya jengo la USAID wakitaka shirika hilo lirudishwe na misaada irudi haraka sana. Jamii Raskin ambaye ni mbunge kutoka jimbo la Maryland aliongozana na wabunge wengine wakitaka shirika hilo LIRUDISHWE na Elon Musk...
  15. B

    Tanzania Kinara wa Kupokea hela za msaada kutoka USAID Afrika nzima. Yasemekana tutaathirika sana

    Kisiwa chetu cha Amani chenye Rasilimali nyingi kinapokea misaada ya mabeberu na Mabepari takribani Milioni 512 Kila Mwaka. Imeelezwa. Gazeti la Euronews limetaja kuwa Tanzania itakuwa ni miongoni mwa nchi zitakazo athirika kutokana na Hatua ya Donald Trump na Elon Musk kusitisha misaada hiyo...
  16. enzo1988

    Elon Musk asema Trump amekubali kufunga shirika la misaada ya kigeni la Marekani lenye bajeti ya $40 bilioni

    Elon Musk asema yeye na Donald Trump wamekubaliana kufunga USAID – shirika linalosaidia maendeleo ya kimataifa. Katika ujumbe wa sauti kwenye X, alisema: "Tunafunga shirika hilo," akiongeza kuwa alikuwa na "uungwaji mkono kamili kutoka kwa rais." Alisema kuwa shirika hilo "haliwezi...
  17. Waufukweni

    Elon Musk amesema USAID ni Shirika la kihalifu, linapaswa kufa

    Mmiliki wa kampuni ya teknolojia, Elon Musk ametangaza kuwa Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Marekani (USAID) linapaswa kufa kwakuwa ni shirika la kihalifu. Musk, ambaye aliteuliwa na Rais wa Marekani, Donald Trump kuongoza Idara ya Ufanisi wa Serikali (DOGE), ametoa kauli hiyo baada ya...
  18. Cannabis

    Kwa nchi zinazotegemea misaada hali inazidi kuwa ngumu, Elon Musk aanzisha mpango wa kuiua USAID

    Elon Musk ameanza kutekeleza mpango wa kuliua Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (USAID). Amesema anaamini USAID ni "shirika la kihalifu" ambalo linapaswa "kufa." Kupitia mtandao wa X Musk alisema “USAID ni shirika la uhalifu. Ni wakati wa kufa” Hii ni baada ya taarifa iliyosema...
  19. Manfried

    Nikikumbuka UKIMWI ilivyochukua ndugu zangu kumi wote na familia ikamkosa Mama na Baba, nakuomba Trump tusamehe kwa hili

    Wamerekani jaribu kutuonea huruma msije mkazuia kutupa Dawa za Ukimwi. Maana hata miaka ya 1990s Dawa zilikuepo but it was too expensive. I lost 8 siblings and two parents . Aisee itakuwa noma
  20. muafi

    Nimeamini USA ni kubwa la Dunia, Tamko la Trump tayari limeonyesha effect kwenye familia Yangu

    Hali ni mbaya kulia na kusaga meno tayari vimeanza. Mimi ni mtumishi mwandamizi wa shirika X linajihusisha na huduma za CTC, aisee moja haikai mbili haikai tumeanza kupewa notice, familia zetu zitaishije jamani, shirika linna step down! Trump ni shetani kabisa
Back
Top Bottom