Usaili EWURA unafanyika Lini kwa waliotuma maombi ya kazi?
Hii imekuwa unyanyasaji mkubwa Kwani maelfu walituma maombi ila ewura wamepiga kimya au walishaajiri? Tunaomba majibu
Baada ya jana kumpokea stendi kuu ya Dodoma na kumlipia lodge, akanipa tunda maana tuna miaka miwili hatujaonana na huyu Mama E.
Asubuhi nikampeleka chuo cha Dodoma kwenye usaili, mchana nikamfuata nikampeleka Malaika Annex kula kuku wa kuchoma baadae nikampeleka room kwake akapumzike kidogo...
Habari zenu wakulungwa!!
Naomba kujua mtu ambaye ataenda/yuko invited kwenye usaili wa PCCB Jumamosi ijayo pale Dodoma?
Anayetokea Dsm, Mwenye private car tuchangie mafuta twende naye
Asante
Wakuu mmeshasikia usaili utakaofanyika 8/1/2022. Usaili huu utajaza jiji la Dodoma umati wa watu 12,377 hao ni wa nafasi ya afisa uchunguzi tu.
Kuna nafasi ya afisa uchunguzi wasaidizi wameitwa watu 9,729 kwa nafasi ya watu 150 tu.
Jumla ya wasailiwa inakuwa 22,106 kwa ajili ya jumla ya...
Wanaita watu wengi Sana katika usaili hii nilifanikiwa kuifatilia ni fani ya ICT Officer (System Administrator) wanaitaji nafasi moja lakini wameita watu 752.
Vijana waliohudhuria pale wamezuiliwa kuingia kwenye usaili ni wengi sababu ya kuzuia mfano mwingine alikua anashiriki hizo interview...
Nmefanya Usaili Finca J4 ila mpaka Leo siku ya 5 naona Kimya au ndio ule msemo wa ukiona manyoya ujue kashaliwa😂😂😂
Ila nilifanya vizuri nina uhakika Labda kama kuna mtu yoyote anaefahamu recruitment process yao huwa inachukua muda gani?
Habarini wadau, ilikuwa siku ya 07/08/2021 Nyomi kubwa ya watu zaidi ya elfu 15 ilikusanyika chuoni UDOM kufanya usaili wa TRA hatua ya written kwa kada Mbalimbali kuanzia ngazi ya Diploma Hadi Degree.
Lakini baada ya kufanya written siku ya 09/08/21 UTUMISHI wakatoa tangazo la kuahirisha...
Wadau naombeni msaada wa mawazo ikiwa ndo siku ya kwanza kuitwa Kwenye interview...based on your career!! Viashiria gani positive inabidi uwe navyo na vipi inabidi uzue
Wakuu salam kwenu. Niko hapa naomba tips za wapi pa kugusia kwenye written exams za utumishi kada ya ICTO upande wa software developer na Sys Admin.
Hii ndo interview yangu ya kwanza utumishi naona kama napapasa gizani.
Msaada wenu wadau kitaa pamekaza kinoma.
Haya ni maswali yanayonisumbua ninapokuwa kwenye interview.
Sijawai kuyajibu nikapatia uwa najikanyaga siku zote. Ofcoz nazungumzia zaidi interview za kwenye NGO.
1. What is your experience in writing reports to donors?
2. What do you understand about ..... policy (yani anakutaka useme kitu...
Gazeti la Uhuru lina Mkurugenzi Mtendaji wake Ernest Sungura.
Kwa wale wasio mfahamu huyu mheshimiwa, alikuwa akiongoza vile vile TMF, Tanzania Media Fund.
TMF ilikuwa ikitoa fedha za wafadhili katika vyombo vya habari kuendeleza uweledi wa The Free Press
TMF chini ya Sungura ilikuwa kichaka...
Juzi kuna mdau aliandika kuwa mitihani ya usaili wa Tax Officers wa TRA umevuja na walikuwa wanasove pepa wakiwa kwenye magari kuelekea Dodoma kwenye usaili. Sasa sekretariet imesema usaili umeahirishwa bila hata kutoa sababu zinazoeleweka.
Kuna kaharufu ka uozo hapa.
Pia, Soma=> Mtihani wa...
Naomba msaada wenu nijiandae na maswali gani,nimeitwa kwa mara ya kwanza na UTUMISHI,ni post ya MHANDISI MITAMBO DARAJA LA II (MECHANICAL ENGINEER) TEMESA
Msaada wenu nipitie wapi
job description yao ni hii
i. Kufanya kazi chini ya uangalizi wa mhandisi aliyesajiliwa na mwili wa usajili wa...
Leo asubuhi nimemleta mtu hapa UDOM kuhudhuria Usaili wa kazi za Utumishi, hakika watu ni wengi. Binafsi nliyemleta ameitwa kwenye Usaili wa nafasi za National Audit, only 10 kama sio 20 nafasi lkn wameitwa watu sio chini ya 3400, yaani watu hao ndio wapatikane only 20 people. Kibaya zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.