usaili

  1. Amina68

    Ukienda katika usaili wa Utumishi hakikisha, una kitambulisho chochote, nakala au namba ya NIDA hazifanyizi kazi

    Kama Unaenda usaili wa utumishi hakikisha,una ID YOYOTE,COPY AU NAMBA YA NIDA HAZIFANYZI KAZI,UTAPOTEZA PESA NA MUDA WAKO BURE
  2. Meneja Wa Makampuni

    Tatizo la wasailiwa kulala nje siku za usaili Dodoma

    Hili limekua ni tatizo kubwa sana. Mdogo wangu ameenda kwenye usaili Dodoma mpaka muda huu saa sita usiku hana mahali pakulala, yeye na wenzake wametembea nyumba zote za wageni zimejaa. Hivi hakuna utaratibu mwingine serikali inaweza kuufanya ili vijana wetu wasijazwe huko Dodoma. Inaonekana...
  3. mcshonde

    Swali asilotegemea Mwanetu kwenye Interview ya Benki

    Moja kati ya vitu vinavyoumiza kichwa wahitimu wa miaka ya sasa ni mchakato wa kupata kazi. Wengi huona bora wafanye kazi yoyote hata kama haiendani kabisa na walichosomea. Sasa mimi ninakumbuka mwanangu mmoja alikuwa anasoma UDOM masomo ya biashara na uchumi. Yeye hakusubiri ahitimu masomo yake...
  4. K

    Sekretarieti ya ajira inawanyima haki watanzania kushiriki usaili wa ajira

    Ndugu wanajamvi pazeni hili jambo ratiba za usaili wa NAOT na bodi ya mikopo(Heslb) sio rafiki kwa wasailiwa na inakatisha tamaa kushiriki hatimae vijana wengi wanaotafuta ajira hushindwa kuhudhuria nafasi hizo za usaili. Usaili wa written ufanyike Dodoma Kisha practical ufanyike dar es salaam...
  5. Shimba ya Buyenze

    Usiende Kwenye Usaili (Job Interview) Kabla ya Kusoma Kitabu Hiki (na Vinginevyo)

    Kitabu hiki ni kizuri. Mimi binafsi kilinisaidia katika interview yangu ya tatu baada ya kuwa nimeboronga katika interview zangu mbili za kwanza. Ndiyo nilikuwa nimemaliza chuo na kazi ya kwanza ndiyo hasa niliitaka lakini nilikutana na vijana wenzangu kutoka Kenya na Nigeria nikajua tu waziwazi...
  6. ThisIsIt

    Ukimya wa PSRS

    Mimi kama watu wengine wengi tunaotafuta ajira serikalini, niliomba nafasi za kazi zilizotangazwa mwezi MAY. Jambo la kushangaza ni kwamba miezi mitano inaenda kuisha bila kuitwa kwenye usaili na wakati huo nafasi zilizotangazwa mwezi August nyingine September watu wameitwa kwenye usaili tayari...
  7. B

    Mwanamke alivyosababisha nichelewe usaili wa mrija wa asali

    Ndugu wanaJF Jumamosi (01/10/2022) nilileta uzi jukwaani nikiomba kwa aliyetangulia kubarikiwa pesa, aniwezeshe nauli niende kwenye usaili kule kwenye makao makuu ya nchi (kibiashara na Ikulu). Wadau wawili waliniwezesha kiasi cha Tshs 25,000/=. Baada ya wezesho hilo, nikawa na pungufu ya...
  8. M

    Kwanini Utumishi wanachukua muda kuita watu kwenye usaili LGs na MDs?

    Habari wakuu. Ni mwezi wa nne Sasa tangu utumishi watangazi ajira kwa kada tofauti katika LGs and MDs Ila hadi mwezi huu hawaja ita watu kwenye saili. Tatizo ni utumishi kuwa na watumishi wachache au ni kukosa accountability kwenye kazi zao?
  9. MK254

    Mrusi ampiga risasi msajili kisa kulazimishwa akapigane Ukraine

    Ameamua liwalo na liwe, ila hatokwenda kupigana kwenye vita visivyokua na tija au maslahi ya nchi... ========= A Russian man shot the head of a local military draft committee in Siberia on Monday, reports said. A video of the incident shared online shows an official collapsing on stage after a...
  10. MK254

    Finland yafunga mpaka wake kwa Warusi wanaokimbia usaili jeshini

    Safi sana Finland na mataifa mengine wamepiga pini, hakuna kuingia, warudi wapambane na Putin humo humo Urusi, walikua wakichekelea waliposkia ameanza vita vya kijinga dhidi ya kataifa ka-Ukraine. Wachague kwenda kufa au jela miaka kumi.............................. Kuna taarifa vijana...
  11. MK254

    Picha: Msafara wa Warusi wanaotoroka usaili jeshini

    Urusi sasa hivi hakukaliki kwa wanaume.... Watu wameamua kwenda kuanza maisha upya kwingine, wanamuachia nchi wazimu na vita vyake.... ISTANBUL (AP) — Military-aged men fled Russia in droves Friday, filling planes and causing traffic jams at border crossings to avoid being rounded up to...
  12. M

    Nimeitwa kweny usaili DUCE ila sijapewa namba ya mtihani.

    Samahani nimeitwa kwenye usaili ambao utafanyika tarehe 14/09/2022 chuo cha DUCE, Kwenye tangazo la walioitwa kwenye usaili nipo kwenye nafasi nne nilizoomba ila mpaka muda huu kwenye akaunti yangu ya ajira portal sijaandikiwa namba ya mtihani nimejaribu kuwapigia lakini simu zao hazipokelewi...
  13. L

    Usaili Environmental officer

    Habari wana JF, Niliomba kazi ya environmental officer, na sasa naona mikeka ya utumishi imeanza kutoka, naamini na sisi soon wanatutolea, mwenye possible zozote za wapi nipigie au hata ambaye amewahi kushiriki usaili wa design hiyo msaada tafadhali. Asante
  14. Uponyaji na uzima

    Usaili wa utumishi (kwenye interview ya mchujo) unawalenga wanafunzi na wahitimu wapya

    Nimehudhuria usaili kadhaa wa utumishi kwa kazi nilizoomba kupitia ajira portal wiki hii. Ni kazi za ICT officers. Kwenye mchujo (written interview) wanauliza maswali ambayo ni ya wanafunzi, yale maswali yanayohusisha kukariri vitu vingi na terminologies.
  15. F

    Naomba kujuzwa maswali ya usaili NACTE

    Habari zenu wapendwa! Poleni kwa majukumu mbalimbali. Samahani, naomba kwa anaefaham maswali ya written interview ya NACTVET nafasi ya Coordinator of Curriculum Assessment. Natanguliza shukrani
  16. M

    Usaili wa ajira za utumishi wa umma ni bora uendelee kufanyika Dodoma. Mambo ya kikanda sijui kufanyika taasisi husika haijakaa sawa

    Habari wana bodi! Mimi nikiwa mmoja ya vijana mtafuta ajira, mnaweza kuwa mashahidi wa ajira za utumishi zikifanyikia Dodoma zinakuwa fair sana kuliko zikifanyikia kwenye taasisi husika. Mfano ajira za vyuo vingi, zimefanyikia kwenye taasisi husika. Watu wengi nimesikia wakilalamika ya kuwa...
  17. Muha wa mjini

    Walioitwa kwenye usaili wa askari magereza Dodoma

    Habari viongozi. Samahani sana ningependa kujua kama kuna mwanajamii forums yoyote alie itwa kwenye usaili Tujuane. Na Tuulizie kwa wale wazoefu wanaojua maswali yanayo patikana kwenye Usaili ni ya aina gani?
  18. A

    Naomba kufahamishwa kama TAA imeshaita watu kwenye usaili

    Habari, Wadau naomba kuuliza hivi hawa Wakala wa Viwanja vya Ndege - TAA wameshaita watu waliochaguliwa kwa ajili ya usaili? Maana tokea nilivyoomba hamna updte yoyote ile mwezi wa pili sasa huu
  19. Funa the Wild

    SoC02 Mimi ni USAILI/INTERVIEW''; Kilio cha Usaili. Je, Wapi nakosea?.

    Miongoni mwa jambo pasua kichwa kwa watafuta ajira wengi wenye vyeti vilivyoosheni GPA zenye vigezo vya mtu kupata nafasi ya kuwajibika eneo husika basi kuhusu USAILI huwezi kuacha kuzungumzia. Kuna haja ya kuliangalia hili swala la mfumo wa umimi/ubinafsi katika mfumo mzima wa usaili...
  20. N

    Jinsi ya kujibu swali la wewe ninani kwenye usaili

    Kama ni mtafuta ajira ambaye umewahi kupata bahati ya kuitwa kwenye usaili, bila shaka swali hili sio geni. Ni swali la “wewe ni nani” ambalo mwajiri anauliza ili kufahamu taaluma, ujuzi na uzoefu wako. Amini ninapokuambia kuwa, wala hahitaji kujua kabila na mkoa uliozaliwa. Anahitaji madini ya...
Back
Top Bottom