Maamuzi ya kuwa na mitihani ya usaili kwa walimu iliyotungwa, kusimamiwa na kusahihishwa na NECTA (Baraza la Mitihani) ni jambo linaloweza kuwa na faida nyingi kwa mfumo wa elimu. NECTA tayari inasimamia mitihani ya kidato cha nne na kidato cha sita nchini Tanzania, hivyo ina uzoefu na utaalamu...
Napenda kutoa pendekezo muhimu kwa Waziri wa Afya na Waziri wa TAMISEMI kuhusu mchakato wa ajira katika sekta ya afya nchini.
Pendekezo langu linahusu kuanzishwa kwa mitihani ya usaili kwa waajiriwa wote wa Ajira za afya kabla ya kuajiriwa. Hatua hii itakuwa na lengo la kuboresha viwango vya...
Habari wapendwa,
Kuna ndugu yangu ameitwa kwenye usaili nafasi ya Afisa Utamaduni II (Cultural Officer Grade II) anauliza kama kuna yeyote alishawahi kuitwa kwenye usaili wa kuandika kwa nafasi hiyo ni maswali gani yanapendelewa kuulizwa kwenye mtihani wa kuandika?.
Natanguliza shukrani huku...
Mara zote huwa tunashauriwa kutizamana machoni wakati wa usaili wa kazi. Kwangu mambo sio mazuri kama nafanyiwa usaili na mwanamke, huwa siwezi kumwangalia machoni kwa muda mrefu.
Je, kuna mtu anachangamoto kama yangu? Njia za kutatua hilo ni zipi⁉️🤗
Sina mengi ila Utumishi kwenye hii Interview ya Compliance Officer mmetuonea. Pepa imepigika Jumamosi, leo matokeo, mchanganuo wa marks hueleweki, watu 33 tu ndio wameitwa oral.
Mnatufanya tujiulize uwezo wetu wa kufikiri kama ni mdogo kiasi hiko au vipi!
Siyo siri, kuwa mtu akikaa miaka mingi baada ya kuhitimu huku kila siku anapambana na maisha akili huwa inachoka. Halafu unapambanishwa na vijana fresh toka vyuoni akili bado inacharge hasa.
Ila hamna jinsi, itabidi mpambane tu. Tatizo ni kwamba unakuta mtu steam ishakata, baada ya kufanya...
Ni vyema wasailiwa pia wachunguzwe kwa kupitia online content zao, Kuna suala la maadili Sasa limekuwa changamoto.
Walioomba kazi pia wachunguzwe mambo wanayopost mitandaoni kama yanakidhi kimaadili. Baadhi wanapost mambo ya ngono halafu wanaomba nafasi za ualimu, wakakae na wanafunzi wetu, ni...
Email/barua pepe inatumwa na moja kwa moja unatakiwa ujiunge jeshini, na hakuna kutoroka nchi, baada ya kuishiwa wanajeshi, Putin ameamua kutafuta miili zaidi ya vijana kuipeleka ikazikwe Ukraine. Operesheni mwaka wa pili, pale Bakhmut pameshindikana balaa licha "mizoga" ya Warusi kujazana pale...
Habari ndugu zangu naomba mnisaidie mwenye uzoefu wa usaili kuhusu Jeshi la magereza kwa sisi Form Four tusiokuwa na fani.
Je, usaili wake upoje? Au maswali yanayoulizwa mara kwa mara ni yapi? (Oral & written)
Kwa wale mliofanya usaili wa MDA na LGA Januari mwaka huu, matokeo yametoka, ili kuona ya kwako ingia katika akaunti ya ajira portal na angalia kwenye application zako utaona kama upo selected or not selected.
Baada ya hapo subiria tu pdf ya lini Oral lini itafanyika na wapi, mliofanikiwa...
Kama kichwa kinavyojieleza,
Nina mpwa wangu naishi naye alifanya usaili utumishi kwa kada ya sheria.
Katika mtihani wake alibahatika kupata 90/100 akaibuka wa kwanza kwenye mtihani wa kuandika.
Lakini cha ajabu mpaka sasa hajaitwa kazini.
Tumekua nawasiwasi labda alitudanganya.
Hivi...
Habari za wakati huu,
Hili suala la usaili kufanyika Dodoma lizingatiwe tena na tena, sikatai lengo lilikuwa ni jema ila changamoto zimekuwa ni nyingi unakuta mtu anaitwa usaili wa kuandika tarehe 25 kisha ukipita hapo wa vitendo tarehe 28 ama mahojiano 29, sasa ukiangalia kwa haraka, asie na...
Kwa sasa imekuwa kama utaratibu. Kwa mfano ulio hai kuna baadhi ya waombaji wa ajira MDA's na LGA's walipewa taarifa ya kuitwa kwenye usajili tarehe 07/01/2023 na wengine wakaitwa kama majina ya nyongeza siku tano baadaye yaani tarehe 12/01/2023. Na wote hao watafanya usaili tarehe 15/01/2023...
Camera za CCTV zilimnasa jamaa akiruka ukuta na kwenda kufanya yake....
A military building in Bratsk, Russia, was set on fire overnight. The building was reported to go up in flames at about 2am local time. No injuries were reported but two employees were inside. The fire was reportedly...
wakuu kama mnavyofahamu unapoitwa katika usahili utumishi matokeo hutolewa na kila mmoja huwa ana mbinu yake ya kuyapokea sasa leo hii.
Hebu tupeane mbinu ya kuyapokea matokeo maana kama mnavyojua matokeo yanaweza kukuvunja moyo au kukupa moyo wa kutokukata tamaa.
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma Bw. Hassan Kitenge anapenda kuwataarifu waombaji kazi wote walioomba kazi katika kada mbalimbali za TRA kuwa, kuna mabadiliko yamefanyika katika mpangilio wa kumbi za usaili kwa wasailiwa wote waliokuwa wamepangiwa Dar es Salaam tarehe...
Kuanzia sasa Serikali itaanza kuzitazama ajira za vyuo vikuu badala ya kuangalia ubora wa ufaulu yaani GPA pekee sasa waajiriwe kwa kupimwa uwezo wao kwa kufanya usaili.
Kuangalia ufaulu pekee wa wanafunzi haitoshi kuboresha elimu badala yake ni muhimu kuongeza vigezo hivyo katika mapitio ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.