usaili

  1. G

    Group la WhatsApp, kwa walimu wa kemia na biologia kwa maandalizi ya usaili.

    Link hii hapa https://chat.whatsapp.com/K6A6IZtd9yBEWTpoyGZRHu
  2. Nyanda Banka

    Maswali ya interview (usaili) kwa kada ya ualimu yapoje?

    Nasikia ajira portal mambo tayari huko naona waalimu wengi wamekuwa Shortlisted, Haya tupeane mchongo kuhusiana na maswali ya Interview kwa kada hiyo ya ualimu. Tusaidiane ili tupate kazi wote kwa pamoja kwa manufaa ya kunisaidia taifa letu kufikia malengo makubwa kwa kuzalisha wataalamu...
  3. Kidagaa kimemwozea

    Maelfu waitwa kwenye usaili ajira za ualimu 2024

    Hatimaye mchakato wa kupata Majina ya waliofanikiwa kupenya katika Hatua ya usaili imekamilika, na Orodha hiyo tayari imetolewa ambapo mwombaji anatakiwa kuangalia status ya maombi yake katika account mtandao ya Ajira. Aidha mwombaji anatakiwa kujiandaa vizuri katika usaili utakao fanyika baada...
  4. Nyarupala

    Vituo vya usaili kwa walimu ni bado?

    Nikiingia kwenye account yangu kwenye sehemu ambako usaili utafanyika hakuna jina la kituo na badala yake wanaelekeza kuingia kwenye tovuti ya www.ajira. go.tz kwa taarifa zaidi lakini nako hakuna taarifa yoyote. Shida ni nini hapa wakuu? Au majina ya vituo bado?
  5. Career Mastery Hub

    Kwa walimu tu, chagua nini kinakufaa hapo kuelekea usaili wa sekretariate ya ajira

    UNDERSTANDING THE APTITUDE TEST IN DEPTH AND ITS USE IN ASSESSING TEACHERS For detailed information on the Aptitude Test and how it can be used to evaluate teachers, click the link below: Understanding the Aptitude Test and Its Role in Teacher Interviews 2024 and Other Fields:👇👇👇👇👇👇👇...
  6. Career Mastery Hub

    Je, unajua ni kwa namna gani maks zako zinapatikana usaili wa kuzungumza bila upendeleo ikiwemo sekretariate?

    👉One of the biggest concerns people have during interviews is the fear of being unfairly judged by the interviewer based on attitude and perception. Today, I will share how your marks are protected. Naaam! Mchakato wa utoaji maksi umedhibitiwa vizuri kwa kiasi hasa pale sekretariate ya Ajira😁...
  7. Career Mastery Hub

    Jua namna bora ya kujibu maswali ya usaili wa mazungumzo katika sekretariate ya ajira any professional recruitment panel

    MASTERING INTERVIEW RESPONSES NATURALLY: A GUIDE FOR SECRETARIATE JOB INTERVIEWS OR ANY PROFFESSIONAL. +255656480968 👉In a professional interview, questions should be clear, measurable, and able to be scored. The answers should also be measurable and follow specific criteria. For example, if a...
  8. Career Mastery Hub

    Unajua nini kuhusu mafanikio ya usaili wa kuandika kwa alama za juu ila unakosa kazi?

    JE, KILA MTIHANI NI FURSA YA KUFANIKIWA ? Nataka uweke hili kwenye akili yako: Unaweza kufaulu Aptitude Test au Written kwa maksi za juu sana kiasi cha kuwa wa kwanza ila ukakosa ajira. Naam! Najua wengi mnashangaa. Ungana nami ujifunze na uepuke kuwa miongoni mwao. Is it possible for me to...
  9. Career Mastery Hub

    Kama mwalimu nisome wapi ili nijiandae na mtiani wa usaili (aptitude test)?

    Leo nataka kujibu swali hili kwa kuzingatia uzoefu na usaili unaoendeshwa na mataifa mengine katika kada ya elimu. Kwanza, walimu wengi wanaojiandaa kwa mitihani ya usaili wa Sekretarieti ya Ajira wamekuwa na maswali mengi kuhusu mada zitakazojumuishwa kwenye mtihani wa maandishi (Written...
  10. gimmy's

    Kero: Mfumo mpya wa usaili wa watu kupangiwa kufanya usaili mikoa mbalimbali unagharimu na kuumiza sana watu

    Enyi mliopo kwenye wizara ya utumishi jitahidini mnapopanga mambo yenu mkumbuke hawa vijana wanaoomba ajira bado ni tegemezi kwa wazazi. Mtoto(Dr) alipangiwa usaili wa kwanza Kibaha mkoa wa Pwani akafaulu,usaili wa pili amepangiwa akanye mkoa wa Mara hivi hamuoni ni kuumiza wazazi? Yaani...
  11. G

    WALIMU WAITWE KWENYE USAILI LA SIVYO MSONGO UTAWAUA

    Sekretarieti ya Ajira mna tupa tabu ya kuishi na walimu waliomba kazi kila mda oya mtandaoni hakuna jipya, fanyeni kuwaita kwenye hizo interview.
  12. Career Mastery Hub

    Mfano wa mtihani wa ustadi (Aptitude Test) wa Walimu wa hesabu wa shule za Sekondari maswala ya usaili

    Ni kawaida kwa walimu wanaotarajia kufanya aptitude test kuwa na maswali mengi juu ya nini cha kutarajia na wapi pa kuanzia maandalizi. Japokuwa hakuna majibu maalum au sahihi ya nini hasa kitakachoulizwa kwenye mtihani, ni muhimu kuelewa lengo la aptitude test na kujifunza jinsi ya kujiandaa...
  13. G

    Hatimaye Walimu wapangiwa vituo vya usaili

    Tume ya uchaguzi imewapangia walimu walioomba ajira za tamisemi vituo vya usaili, kuona kama umeitwa ingia Ajira portal sehemu ya Notification.
  14. Mwizukulu mgikuru

    SI KWELI Watu wamepigana wakati wa Usaili wa Kada ya Afya nchini Tanzania

    Watu wanachapana mikono huko, yaani ni noma sana.
  15. G

    Je, kuna umuhimu kama taifa kufanya usaili kwa kada ya Afya na Ualimu ndo Uajiri?

    Leta hoja yako, ijikite kwenye 1. Kwanini miaka mingi kada hizi hazikuwa na usaili isipokuwa sasa. 2. changamoto kiujumla za Mchakato wa usaili kwa kada hizi 3. Faida ya kufanya na kutofanya usaili 4. Bajeti za wizara kutekeleza usaili. 5. Hitimisho. Soma Pia: Kada ya Ualimu na Afya wafanyiwe...
  16. Nehemia Kilave

    Tunashukuru wanataaluma wa Afya kwa majina kuwepo kwenye usaili , mlioitwa mjiandae kwa matokeo ya usaili

    Ni ukweli kwamba watu wengi wa afya walioitwa kwenye usaili wako wameajiriwa sehemu au kujishikiza sehemu . Kuna watakao pita kwenye usaili , tatizo wale watakao shindwa uhakika wa ajira huko walikokuwepo utakuwaje ? Je waajiri wetu ni waelewa ? Tujiandae kisaikolojia
  17. Wakujibwea45

    Nifanye nini kuhusu changamoto hii ya usaili?

    Niko shortlisted mkoa X ajira za afya changamoto ni kwamba akaunti yangu iligoma katika ku-apply ilikuwa inasema am not qualified, licha ya kuwapigia lkn hawakupokea kunitatulia iyo shida hivyo ikabidi nitumie akaunt ya mtu mwngne ku-apply japokuwa vyeti CV barua ni vyangu lkn jina linasoma lake...
  18. N

    Usaili kada ya Afya utaanza Septemba 2 mpaka 9, 2024

    Leo utumishi wametoa majina ya wasailiwa kada ya afya, usaili huo utaanza septemba 2 mpaka tarehe 9, katika mikoa waliombea nafasi! Niwapongeze sekretariati ya umma kwa kazi nzuri ambapo kwa sasa ni imani yangu saili zote zitafanyika kwenye mikoa ya waombaji hii itawaondolea vijana gharama na...
  19. Kidagaa kimemwozea

    Jiandae kwa usaili kada ya afya

  20. Escobber pablo

    Waliowahi kifanya usaili wa kidigitali/ kielectronic

    Kufuatia tume ya Utumishi wa mahakama kutoa majina ya watakao fanyiwa usaili kufanyika kwa njia ya kielectroniki. Karibuni wakuu tupeane maujuzi jinsi ya kutoboa kwenye huu usaili kwa wale wenye uzoefu kidogo. Na ni vitu gani vya kujiandaa navyo wakati wa usaili
Back
Top Bottom