usaili

  1. mirindimo

    KERO Polisi fanyeni usaili wenu kikanda, kutoa watu mikoa tofauti kufanyia usaili Dar ni usumbufu mkubwa

    Gaweni kikanda Tanzania bara ni pakubwa sana, mnategemea mtu kutoka Kagera aje Dar kwenye usaili? Mtu kutoka Mbeya huko aje Dar kwenye usaili? Tumieni hekima na busara gaweni kikanda wekeni usawa na haki, mpate watu sahihi.
  2. Mike Moe

    Tupeane nondo jinsi ya kupita kwenye usaili wa tume ya taifa ya uchaguzi

    Afisa mwandikishaji jimbo la tabora mjini seif. S. Seif ametoa tangazo la walioitwa kwenye usaili wa waandishi wasaidizi na waendeshaji wa vifaa vya bayometriki jimbo la tabora mjini utakaofanyika katika ukumbi wa halmashauri ya manispaa ya tabora siku ya tarehe 11-12/7/2024 kuanzia saa 8:00AM...
  3. engineerafrican

    Maoni yangu kwa utumishi (Secretariat ya ajira) especially kwa kujiongeza kufanya usaili wa ajira online

    Awali ya yote ningependa kuipongeza Secretariat ya ajira kwa hatua nzuri waliofikia ya kufanya interview online, ni kweli mfumo itakiwa na manufaa sana kwa kupunguza gharama za uendeshaji usaili kwa pande Zote mbili. Msailiwa na msaili.. kwa hlo naipongeza ssrekali kwa hapo walipo fikia, Ila...
  4. Pfizer

    Ridhiwani Kikwete: Mfumo wa usaili wa ajira sasa kufanyika online. Hakuna tena kwenda Dodoma kwa usaili

    Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema mfumo wa usaili kwa njia ya kidigitali utapunguza gharama kwa kiasi kikubwa kwa wasailiwa wa ajira tofauti na hapo awali ambapo watu walilazimika kusafiri hadi Jijini Dodoma kwa ajili wa...
  5. mercphason

    Kwenye Usaili wa Udereva wa Serikali mambo hani huzingatiwa?

    Wakuu, naomba kujuzwa kwa anaejua usaili wa dereva wa serikali uwa mambi gani muhimu yanaulizwa na kuzingatiwa. Asante.
  6. G

    Usahili jeshi la zima moto na uwokowaji

    USAHILI JESHI LA ZIMA MOTO NA UWOKOWAJI
  7. I

    Usaili Jeshi la Magereza na Uhamiaji

    Wakuu habari, naomba kuuliza je usaili wa kujiunga jeshi la magereza na uhamiaji 2024 tayari au kuna ambayo wameshaanza kuitwa?
  8. D

    Usaili wa kazi uliyokuwa unafanya mwanzo kabla ya kushushwa cheo

    Habari wakuu, Ninaomba ushauri wa jambo hili. Miaka miwili iliyopita niliashushwa cheo kutokana na kutoelewana na mfanyakazi mwenzangu ambaye hayupo tena kwenye kampuni yetu. Sasa nafasi hiyo imetangazwa tena ila kwa mkoa mwingine. Na mmoja kati ya wahusika wa usahili ni kiongozi aliyekuwepo...
  9. M

    Mkeka wa usaili kwa jeshi la zimamoto unatoka lini?

    Wakuu naomba kufaham kwa yeyeto ambaye amepata tetesi au anajua ni lini PDF la usahili wa ZIMAMOTO linatoka. Dogo langu aliomba nafasi sasa ila Siku zinasongea hatuoni mrejesho. Mwisho japo si kwa umuhimu: wanatarajia kwenda depot mwezi gani?
  10. L

    Placement za PSRS kuchelewa kwa muda mrefu

    Habari zenu wakuu? Kuna suala linanichanganya sana akili. Ni kuhusu placement za PSRS kuchelewa mno. DUCE walikaa miezi mingi kabla ya kuitwa (sio chini ya 8). Kwa sasa kuna kada tangu ifanye usaili mwezi Julai 2023 mpaka leo hii Dec 15 bado hayajatoka majina ya walioitwa kazini. Najaribu...
  11. W

    Jinsi Mwonekano wako unaweza kuwa na athari chanya au hasi wakati wa Usaili wa kazi

    Unapokwenda kwenye Usaili wa Kazi, Mwonekano wako wa mwanzoni tu, unaweza kuwa na athari kubwa wakati wa mahojiano. Na hiyo ni kwasababu tafiti mbalimbali zinaonesha baadhi ya Waajiri hufanya maamuzi kuhusu ajira ndani ya sekunde 30 za kwanza wanapokutana na mwombaji kazi. Hata kama Usaili si...
  12. W

    Mambo muhimu ya kuzingatia unapoitwa kwenye Usaili wa Kazi

    Fahamu mambo ya kuzingatia wakati unapoitwa kwa ajili ya Interview: 1. Fanya Utafiti kuhusu Kampuni iliyokuita kwa kufahamu Huduma na Maono yake ili majibu yako yalingane na malengo ya Kampuni 2. Elewa vizuri Majukumu ya nafasi uliyoiomba yaani (Job discription) ili uwe tayari kujadili jinsi...
  13. benzemah

    Tangazo la kuitwa kazini waliofanya usaili 26/11/2022 hadi 04/10/2023

    Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombajikazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 26-11-2022 na tarehe 04-10-2023 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katikatangazo hili. Orodha ya majina haya...
  14. harunimaiga

    Usaili wa nafasi Jeshi la Polisi mkoa wa Dar es Salaam unashangaza

    Usaili wa nafasi za kazi jeshi la polisi umeanza October 31,2032. Mikoa yote nchi nzima. Baadhi ya mikoa wamemaliza usaili kwa ngazi zote, lakini mkoa wa Dar es Salaam bado. Usaili ufanyika ngazi ya wilaya na mwisho ni mkoa, ambapo kikawaida mitihani ya mchujo ufanyika katika ngazi ya wilaya na...
  15. TRA Tanzania

    Tangazo la kuitwa kwenye usaili TRA

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inapenda kuwataarifu waombaji kazi waliofaulu mtihani wa mchujo na kuchaguliwa kwa ajili ya usahili wa vitendo na mahojiano unatarajiwa kufanyika kuanzia tarehe 29 Oktoba, 2023 hadi tarehe 2 Novemba,2023.
  16. sychellis

    Walioitwa usaili TRA Septemba 2023

    Habari za Asubuhi wanajamii forum, Uzi uu ni maalum kwa kupeana maelekezo,miongozo,Maswali yote yanayopendwa kuulizwa na TRA katika INTERVIEWS zao,yeyote anejua ni maswali gani wanapenda kuuliza basi ashee nasi hapa kwa vipengele vyote walivyotoa TRA hususa ii ya September 2023. 1.SWALI Namba...
  17. Stelingi

    DUCE mbona hawatoi matokeo( placement) ya usaili wa 30.01.2023

    Aisee hivi mbona jobless tunafanyiwa hivi. Matokeo hayatoki zaidi ya miezi tisa 9. Hii ni sawa kweli???? Au ndo watu wakikaa kwenye viti hawajali hisia za wengine. Hata kama ni kupima uvumilivu hii sasa ni too much. Walisema baada ya wiki tatu sasa inaenda kukamilika mwaka. Na kila siku...
  18. jemsic

    SoC03 Kuzingatia kariba za watu kwenye usaili na uteuzi kutachochea uwajibikaji

    UTANGULIZI Imetokea mara nyingi tumesikia Rais akiteua au kuchangua watu mbalimbali kushika nyadhifa serikalini au pengine watu kuitwa kwenye usaili wa kazi ili kuchambua na kupata wafanyakazi bora. Pamoja na ujuzi na uzoefu wa watu, ili kuteua au kupata wafanyakazi wenye weredi na ufanisi...
  19. Mchochezi

    Kilimanjaro Bus watangaza nafasi 30 za wahudumu wa mabasi huku wakijitokeza zaidi ya wadada 200 katika usaili

    Jana kulifanyika usaili wa kutafuta wadada watakaohudumu katika mabasi ya kampuni ya mabasi ya Kilimanjaro. Nafasi zilikuwa 30 tu lakini waliofika katika usaili huo ni zaidi ya 200. Wengi wao wakiwa ni wahitimu wa vyuo vikuu. Hongereni wadada wote mliojitokeza katika interview hakika mmethubutu.
  20. T

    Usaili wa magereza unakuaje?

    Msaada Naomba kufahamu usaili wa magereza kwa wenye fani mbalimbali Unakuwaje
Back
Top Bottom