usajili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Usajili kuongeza nguvu Yanga

    Baada ya kuitazama Game yetu jana tar 11 sept 2022, tukimgaragaza mtu goli nne kwake. Nilifanya analysis yangu nikaona kuna maeneo yanahitaji kuongezwa Nguvu ili tufike mbali kimataifa. Tunahitaji kuongeza baadhi ya wachezaji ili kuimarisha kikosi chetu kwa ajili ya mapambano. Naamini GSM na...
  2. Kihasibu: Hasara ya Milioni 400 usajili wa Aziz Ki kwenda Yanga

    Uzuri wa huu mchezo unafanyika hadharani kila mtu anaona, nani kifaa nani garasa. Aziz Ki ni mbovu, hana thanani ya milioni 400. Kifupi Yanga wameingia hasara ya milioni 400, yale ni manunuzi ya mchezaji yasiyo na tija. Hii hasara inatakiwa kuonekana kwenye vitabu vya Yanga mwisho wa mwaka kama...
  3. N

    Wana-Simba, mwaka huu ndiyo umeisha; tusubiri usajili wa mwakani

    Najua nitaitwa majina yoote hapa, "shabiki maandazi, hujui mpira wewe, ushawahi kucheza mpira?unachangia sh ngapi" Kwa kweli ikitokea simba ikachukua ubingwa wa ligi basi itakuwa miujiza mikubwa sana na kufika robo fainali ya CAF itabidi ifanywe sherehe kubwa sana. Aiseee, eiiish ...
  4. B

    Usajili wa Simba wamepatia 80%

    Simba imesajili vizuri Upande wa Beki sio mbaya sana, Akpan atamsaidia Kanoute. Mhm apunguze UZITO. PHIRI is the best kwa sbb ana track mpira na anakimbia kwa haraka naye aongeze mazoezi ya kupunguza uzito. Mzungu DEJAN yule hapana kwa soka la Afrika hatatusaidia mfano Jana SImba wakicheza...
  5. A

    Kwanini usajili wa namba E kwenye magari unakimbia sana?

    Napata ukakasi kuwa magari mengi hapo mwishoni yalifichwa kusajiliwa ili wasubiri namba E, maana gari zilikuwa zinaingia watu wako na chasis tu wanategeana watu wamalizie waanze herufi mpya. Huu ni umasikini sana sana kwa wenye magari madogo madogo eg, raum, IST, rumion passo nk. hawa watu...
  6. Chelsea yakubaliwa dili la kumsajili Wesley Fofana

    Chelsea imefikia makubaliano na Leicester City juu ya ada ya Paundi Milioni 70 kufanikisha dili la kumsajili Wesley Fofana (21) baada ya awali dili hilo kukwama mara tatu. Kocha wa Leicester, Brendan Rodgers alimpa adhabu beki huyo kufanya mazoezi na kikosi cha vijana cha U23 baada ya Fofana...
  7. National Alliance for Mass Advancement(NEMA), chama kilichonyimwa usajili kwa kuogopwa wanachama wake

    National Alliance For Mass Advancement(NEMA) Nimeingia Maktaba na nimekuta picha ambazo nilipiga mimi mweyewe kwa mkono na jicho langu ukumbi wa Arnautoglu miaka 28 iliyopita. Ilikuwa siku ambayo msajili wa vyama anahakiki wanachama wa NEMA. Leo asubuhi naziangalia picha hizi nacheka peke yangu...
  8. KUHUSU USAJILI WA MAGARI

    Msaada hapo wazee wa magari Eti usajili wa E umeanza rasmi?
  9. J

    TBS SASA KIDIJITALI: Usajili wa bidhaa za Chakula na Vipodozi pamoja na Majengo ya kuuzia na kuhifadhia bidhaa hizo, usajili ni Kielekroniki

    TBS YAWATAKA WAFANYABIASHARA WA BIDHAA ZA VIPODOZI NA CHAKULA PAMOJA NA MAJENGO YA KUHIFADHIA NA KUUZIA BIDHAA HIZO KUJISAJILI KIELEKTRONIKI Shirika la Viwango Tanzania (TBS) leo Tarehe 22 Agosti, 2022 imewataka wafanyabiashara wa Chakula na Vipodozi pamoja na wamiliki wa Majengo yanayotumia...
  10. Simba: Ni nani kafanya Usajili wa wachezaji?

    Kuna kila aina ya ushahidi kuwa Kocha mkuu wa Simba hahusiki na Usajili wa wachezaji hawa ndio maana hawataki baadhi yao, ni nani kapendekeza Usajili huu? Hapa ni kocha mkuu aondoke au kocha msaidizi aondoke,
  11. M

    SoC02 Mfumo fursa za kilimo biashara

    Mafanikio ya binadamu yeyote hutegemea namma anavyotumia maarifa katika kuyaendea yale anayoyaamini na kuyatamani. Wakati maarifa ni zao la teknolojia iliyopo, maono hutokana na mitazamo na uelekeo wa fikra za Imani za dini, falsafa na itikadi. Ndio kusema teknolojia na maono ndio msingi wa...
  12. Uongozi wa Simba fanyeji usajili wa mshambuliaji (readmade) sio huyu mzungu

    Tuna muda mchache sana kuelekea Mashindano ya CAF lazima macho yenu na akili zenu zifanye kazi chap chap hatuwezi fika popote katika mashindano ya CAF kama striker ni huyu Dejan Simba haitajin striker wa kumpa muda anatakiwa striker wa kuja kufunga sio huyu wa kumjaribu
  13. Simba chukueni billion 20 za Mo mfanye usajili wachezaji wa maana

    Simba solution ni simple tu chukueni pesa alizotoa Mo bilion 20 mnunue wachezaji wenye quality ya kupambana na Yanga. Acheni uswahili kuficha mambo wakati ubovu wenu tunauona. Kama Mo alitoa pesa pesa zikowapi si zitumike kuleta wachezaji? Shida ya Simba ipo kwa Mo sio kwa Kakolanya, Matola...
  14. Mashabiki wa Simba kuchanga pesa za kununua wachezaji

    MASHABIKI WA SIMBA KATIKA MITANDAO YA KIJAMII. Baadhi ya mashabiki wa Simba wameamua kuchangishana FEDHA kwa ajili ya kuimarisha idara ya kiungo na idara ya mshambuliaji. Hayo yametokea Baada ya mchezo wa jana DHIDI ya Yanga Baada ya Simba kufungwa goli 2 kwa 1. Mashabiki wamekuja juu...
  15. Simba na kamati ya usajili

    Simba imeshindwa kusajili wachezaji wafuatao ndani ya Dirisha kubwa 2022-23. 1. Victoria Adebayor. 2. Stephan Azizi Key. 3. Luis Joseph Miquisson. 4.Abdul Suleiman Sopu. 5. LOBIE CESAR MANZOKI. Na MBAKA SASA Haina mbadala wa kagere. KAMATI jisahihisheni. 6 ndio TATIZO kabisaaaa
  16. M

    Pongezi Yanga kwa usajili wa viwango vya juu

    Nafikiri mechi ya Yanga dhidi ya Vipers ilikuwa ni moja ya mechi bab kubwa, Vipers walionyesha ni namna gani wako vizuri kiufundi, walikuwa wanacheza objective football, walikuwa very sold kwenye ngome yao baada ya kutangulia kupata bao la mapema, ni moja ya timu ambayo iko vizuri sana kwenye...
  17. Uongozi wa Simba SC na Msemaji Ahmed Ally kuweni na 'Adabu' na Sisi 'Mashabiki' wa Simba SC juu ya 'Usajili' wa 'Manzoki' sawa?

    Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally jana Asubuhi ukiwa Wasafi FM ulisema tena kwa Kujiamini kabisa kuwa Mchana au Alasiri mtamtangaza rasmi Manzoki kuwa Mchezaji Wetu na haikuwa hivyo. Nilitegemea Wewe kama Mweledi ( Professional ) baada ya muda huo kupita basi Kiungwana ungetuomba Radhi ila...
  18. Mahakama: Uamuzi wa Tume ya Uchaguzi wa Kutumia Usajili wa Kilektroniki Pekee katika uchaguzi wa Agosti 8 ni batili

    Mahakama ya Juu imebatilisha uamuzi wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) wa uandikishaji wa Wapiga kura kwa Kielektroniki pekee katika uchaguzi wa Agosti 9, na kusema kuwa sababu zilizotolewa na tume hiyo hazitoshi Tume hiyo ilisema kuwa Usajili wa Wapiga kura kwa Makaratasi unaweza...
  19. Kamati ya usajili ya Simba Sports Club rekebisheni haya kabla ya Agosti 31

    KAMATI YA USAJILI SIMBA.wakuu. Habari wakuu. Mimi ni mpenzi wa mpira wa Miguu. Na kusoma kidogo ukocha kama mafunzo ya ziada tu kwangu. Nianze kwa kuipongeza KAMATI ya usajili ya Simba kwa kufanya usajili mzuri, kuangalia mapungufu Yao ya msimu uliopita. Endapo Simba ikifanikiwa kumpata...
  20. SENZO: Mimi Bado ni Mwananchi Sijaondoka Yanga kwa Ubaya, Akanusha kuchukizwa na Usajili wa Morrison

    #Kutoka_mwanasport Saa chache baada ya uongozi wa Yanga kutangaza kwamba aliyekuwa Ofisa Mtendaji wao Mkuu Senzo Mazingiza anaondoka mwenyewe ameibuka na kukanusha juu ya kuondoka kwake kuhusishwa na ujio wa mshambuliaji Bernard Morrison. Akizungumzia ishu ya kupishana mara mbili na kiungo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…