usajili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JanguKamaJangu

    KENYA: Afungua kesi Mahakamani kupinga usajili mpya wa laini za simu, ataka picha za wateja zifutwe

    Karanja Matindi, raia wa Kenya, Eliud anayeishi Uingereza ameifungulia mashitaka Mamlaka ya Mawasiliano ya Kenya (CA) kwa kuagiza watumiaji wote wa laini za simu kujisajili upya, akitaka Mahakama ipinge maamuzi hayo kuwa ni kinyume cha katiba. Mamlaka ilitoa tangazo kuwa laini ambazo...
  2. polokwane

    TRA wekeni mfumo wa wazi au App ya kuangalia taarifa za usajili na ulimiki wa Vyombo vya Moto ili kuepusha hizi kadi feki

    Napendekeza TRA waweke mfumo wa wazi ili watu waweze kutizama Taarifa za usajili wa gari, piki piki au bajaj ili kujia mmiliki halali ni nani Mnaficha kitu gani kuweka mfumo huo kuwa huru? Mbona ni jambo ambalo linawezekana na ni jepesi tu Hili litasaidia sana kuzuia watu kutengeneza kadi feki...
  3. TZCHINA

    Usajili kufanya mtihani wa ufamasia

    Habarini wapendwa wote, ni matumaini yangu wote ni wazima na mnaendelea poa. Naomba mwenye kujua namna ya kuverify malipo, baada ya kulipia malipo jinsi ya kuverify na kusubmit maombi. Ahsanteni sana na weekend njema.
  4. John Haramba

    Usajili wa Bernard Morrison kurudi Yanga, kuna mvutano mkali unaendelea!

    Jana hata kabla ya Simba kutoa taarifa kuhusu kumsimamisha Bernard Morrison nilieleza kuwa mchezaji huyo amesimamishwa kwa sababu ya utovu wa nidhamu kwa kile kilichodaiwa kuwa alitoroka kambini. Baadaye Morrison akapost kwenye pages zake kuwa kuna kitu kikubwa kinakuja akiwa ameweka picha...
  5. mshale21

    Usajili wa Simba kuwekwa hadharani leo, Mwanasimba kaa mkao wa kunogesha furaha

    Taarifa ya usajili itakujia leo kupitia Simba App [emoji336] [emoji935] Saa 7:00 mchana shughuli zote zitasimama kwa muda kupisha utambulisho wa mabingwa wa nchi. Shughuli yote kwenye Simba App [emoji2]
  6. Upepo wa Pesa

    Je, kampuni mbili zinaweza kusajiliwa chini ya kampuni moja?

    Naomba mnieleweshe. Kama mtu anataka fungua kampuni A na B ina maana lazima awe na bank acc mbili na kila moja ifanye kazi kivyake. Je, inawezekana hizi kampuni mbili zika sajiliwa chini ya kampuni moja? Mfano badala ya kuwa na kampuni A na B ukawa na kampuni C na hii kampuni C iwe na hizo...
  7. Chendembe

    CEO wa Simba tulipaza sauti mapema kabla usajili kukoma

    Wakati muda wa dirisha la usajili kukaribia kutamatika, tulieleza kwamba Simba sio football academy ambapo wachezaji kinda wanafundishwa. Pia, tulibainisha mapungufu ya safu ya ulinzi na namna ya kuziba nafasi zilizoachwa na kee players mliowauza. Mbali zaidi, wengine tukalaumu hatua ya...
  8. M

    Mwenyekiti Simba SC Mangungu: Nchi itasimama Dirisha dogo la Usajili

    Kwa 'nyepe nyepe' nilizonazo huenda 'Visiki' Viwili muhimu sana Vikang'olewa mahala. Nilipoona tu 'Mafia' ninayemkubali Simba SC nzima Kassim Dewji karithi Mikoba ya 'Mafia' Zachariah Hanspoppe nikajua kuna Watu wanaenda Kuumia, Kulia na hawatoamini.
  9. M

    Baada ya kushinda kesi CAS Bernard Morrison anataka kuishtaki Yanga SC kwa kufoji sahihi yake katika Usajili

    Taarifa za ndani kabisa ambazo KEROZENE nimepenyezewa zinasema ya kwamba baada ya Mchezaji Bernard Morrison Kukerwa na alichofanyiwa na Yanga SC mpaka kumpeleka CAS wakati haki ilikuwa ni upande wake sasa anataka Kuwanyoosha kwa Kesi ya Kufoji sahihi yake ambayo ni Kesi rasmi ya Jinai (Criminal)...
  10. Elijah

    Ni zipi taratibu za kuanzisha chama cha siasa Tanzania?

    Salamu wakuu, Naomba kufahamu taratibu za kuanzisha chama cha siasa. Ahsanteni..
  11. Konseli Mkuu Andrew

    Tasmini baada kuanza kwa mifumo ya usajili kwa alama za vidole

    Salaam Wakuu. Leo tujadili kidogo kuhusu matumizi ya mifumo ya kusajili simukadi kwa alama za vidole maana moja kati ya faida tulizokuwa tukiambiwa ni kwamba utaweza kuzuia hali ya uhalifu wa kimtatandao ambao kwa wakati ule ulikuwa umeanza kuota mizizi.Maswali ya kujiuliza: 1. Je mfumo huu...
  12. Erythrocyte

    Tazama msururu wa Usajili wa CHADEMA Digital huko Rukwa

    Hii ndio Chadema na hapa ni Nkasi huko Rukwa leo tarehe 25/10/2021 , msululu huu ni wa wananchi walioamka alfajiri kupanga mistari mirefu ili kupata usajili wa Chadema digital . Ni zaidi ya vitambulisho vya Nida.
  13. Offshore Seamen

    Serikali iangalie upya suala la usajili wa meli za kigeni baada ya kusitishwa mwaka 2018

    Usajili wa Meli (Ship registration) hiki ni kitendo Cha kuipa meli uraia katika nchi Fulani na kurusiwa kutumia bendera hiyo iwapo baharini. Meli iliyosajiliwa na Tanzania italazimika kufata Sheria na katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mfano endapo meli itakiuka jambo lolote itaadhibiwa...
  14. B

    Ni lini TRA watatangaza kuomba usajili wa clearing and forwarding services?

    Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza. Naomba kuuliza ni lini applications za shughuli tajwa zitatangazwa.
  15. chiembe

    Kwa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA anatuhumiwa kwa ugaidi, usajili wa CHADEMA usitishwe mpaka pale Mahakama itakapotoa uamuzi

    Haya ni maoni yangu, usajili was CHADEMA kama Chama cha Siasa ufutwe au usitishwe kwa kuwa shughuli zake kwa tuhuma zilizopo, ni za kigaidi. Vyombo vya dola vikifanyie ukaguzi was kina, na kwa kipindi cha ukaguzi huo,usajili wao kama chama cha siasa usimamishwe. Pia, kama ambavyo mtumishi wa...
  16. M

    Naheshimu Kamati ya Usajili ya Simba SC, ila nauliza Shiboub tuliyemwacha ana tofauti gani na huyu Kanoute tunayemsifu leo?

    Mtanisamehe kama nitawakwaza ila kwangu Mimi Mightier siiaona tofauti ya Kiungo Shiboub tuliyemwacha kwa sababu za Kipuuzi na leo hii Kumsajili Kiungo Kanoute tunayempamba. Tena kwa ninavyomjua Shiboub na kumtizama tokea akiwa Kwao Sudan na katika Mashindano mbalimbali ya Kimataifa aliyocheza...
  17. muafi

    Serikali turekebisiheni Sheria ya Usajili wa Blogs vijana tujiajiri

    Wakati vijana tunajitahidi kupambana na umasikini serikali nayo inazidi kupambana vijana tusitoke kwenye umasikini, Mimi ninataka kufungua blog ya kuwa natangaza mambo mengi ya urembo utanashati nk lakini nashangaa kumiliki blogu na kuisajili hapa nchini ni gharama kubwa mpk kufikia milioni...
  18. kasanga70

    Biashara ya Giza kwenye Usajili wa Taasisi za Dini

    Kuna mambo hii nchi ukitafakari sn unaweza kukosa majibu. Taasisi husika zinazosajili institution nyeti kama za Dini Ni vijiwe vya kupigia hela tu, waziri yupo miaka nenda Rudi, msajili yupo nk. Ukienda pale kwa msajili wa Taasisi hizo kwanza unakutana na majimama fulani yanakuchanganya kwa...
  19. Sam Gidori

    Instagram kuwalazimisha wateja wanaojisajili kuandika umri wao kwaajili ya usalama wa watoto

    Sasisho jipya la Instagram linawataka wote wanaojiunga na mtandao huo wa kijamii kuandika umri wao, vinginevyo hawataweza kujiunga na mtandao huo. Hatua hiyo mpya ya Instagram haitawaathiri wote ambao wamekwishajisajili kwenye mtandao huo, lakini itawalenga wateja wapya wanaojisajili, ikiwa na...
  20. Course Coordinator

    Usajili gani umekushtua msimu huu?

    Baada ya kufunguliwa dirisha la usajili timu mbalimbali zimefanya sajili ili kuimarisha vikosi vyao. Kuna baadhi ya team zimefaidika na kupata wachezaji baada ya janga la Corona kutokea . Hizi hapa ni sajili ambazo mimi naona kama isingekua Corona zisingetokea sababu janga la Corona limeacha...
Back
Top Bottom