Habari njema kwetu mashabiki wa Rivers United tumesajili majembe mawili ya kazi, karibuni sana kutoa comments zenu msisahau pia tuko katika michuano maalumu inayofanyika huko Benin ikishirikisha top clubs za west africa kujiandaa na klabu bingwa, matayarisho ni muhimu sana
Tumemsajili Branabas...
Leo Simba Sc inaenda kufanya utambulisho ambao bara la Afrika na mabara ya jirani yataenda kusimama.
Bonus
Mambo anayofanya Peter Banda huko kambini ni hatari mpaka wenzake wanabaki wanashangaa
Kwamba tangazo limetoka kuwa mrudishe vyeti vya usajili vya kudumu mpewe vya miaka mitano mitano! Hamjashtuka bado? Mpo usingizini bado?
Mkiamka mtakuta mmefutwa. Serikali inaona njia rahisi ya kufuta usajili wa Kanisa kama la Gwajima na makanisa yale wasiyotataka ni hiyo.
Waliwahi kutishia...
SIMBACHAWENE: MABADILIKO YA HADHI YA VYETI VYA USAJILI WA JUMUIYA KUHUSISHA JUMUIYA ZA KIJAMII PEKEE BADALA YA TAASISI ZA KIDINI _ Na Mwandishi Wetu, MOHA.
_
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amesema zoezi la...
1. Diblo Dibala (Soloist)
2. Bileku Mpasi (Rapper)
3. Allain Kounkou (Dancer)
Naamini wakisajiliwa tu na hawa Watatu basi Waimbaji maarufu wa Bendi yenu ya Jangwani Music FC Band kama akina Makambo, Mayele, Moloko, Mukoko, Bangane na Djuma watauza mno Albums zenu ambazo mnatarajia kuzitoa.
Club za Simba na Yanga wameshindwa kabisa kubalance usajili wao na kujikita zaidi kupata first eleven ya wageni. Najiuliza aina hii ya usajili itawasaidiaje vijana wa Tanzania wanaopanga kutoka kimaisha kwa fani ya mpira? Lini wataonekana na kutoka?
Naomba nichukue nafasi hii nikiwa kama mdau wa michezo na shabiki mkubwa wa timu ya Yanga (Timu ya Wananchi), kuupongeza uongozi wa timu, chini ya Mwenyekiti Mshindo Msolla, Wadhamini wa timu, benchi la ufundi, na wadau wote kwa ujumla! Kwa kufanya usajili mzuri.
Nimekiona hiki kikosi mahali...
Ili kukuza demokrasia Nchini na uwepo uongozi/utawala bora wenye misingi ya usawa kwa kila mtawala na mtawaliwa ni wakati sasa kuwa na Mahakama ya Katiba na Usajili wa Vyama vya Siasa.
Nchi inavyoenda kwa mfumo huu bila chombo madhubuti ni sawa na kuendesha kikada na fikra za mtu binafsi bila...
Prof. Kabudi alibainisha hayo jana jijini Dar es Salaam wakati wa maadhimisho ya nne ya usajili wa matukio muhimu ya binadamu yaliyoandaliwa na RITA na kusema mfumo huo utasaidia kutoa nakala mtandaoni kabla ya nakala ya cheti cha ndoa kutolewa.
“Kabla mfumo huu haujaanza kufanya kazi, wadau...
Club yangu ya Yanga nmekuwa nikiipenda toka mwaka 1980s wengi wakiwa wadogo ama hawajazaliwa.
Nikiwa mwanachama halali mpaka leo hii zaidi ya miaka 40. Naifahamu Yanga kiasi fulani ambacho kinanipa nafasi ya kusimamia ninachoamini pasipo kuyumba.
Nimekuwa mara nyingi nikisema Uhuni ambao...
Waziri wa Katiba na Sheria Prof. Palamagamba Kabudi amesema viongozi wa dini ambao hawajasajiliwa na Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) hawataruhusiwa kufungisha ndoa ya aina yoyote na endapo watafungisha ndoa bila ruhusa, ndoa hiyo itakuwa batili.
Kwanza naomba nieleweke kwamba, Huu uzi hauongelei chama chochote, isipokuwa unaangazia makosa ambayo yakifanyika ndani ya chama chochote, na nani ndani ya chama endapo atafanya makosa yanayopita uwezo wa kustiliwa hadi kupelekea kufutwa kwa Chama,
Kama M/kiti wa chama husika, anajihusisha na...
Barcelona yafungua kesi Mahakami kupinga usajili wa Lionel Messi kujiunga na PSG, wakidai klabu hiyo haiwezi kumsajili mchezaji huyo kutokana na rekodi mbaya ya mapata na matumizi ya klabu hiyo, ambapo wanaamini wakifanya hivyo watavunja kanuni ya Financial Fair Play.
Mawakili wa Barcelona...
Ukiona chama cha siasa kimeishiwa wajenga hoja kwa muda mfupi lazima ujiulize sababu. CCM imejimaliza kwa sababu zifuatazo;
1. Imejiwekea utaratibu kwamba, Mwenye kusema Ni yule tu mwenye cheo ndani ya chama kwa maana mwenyekiti, makamu, katibu mkuu na mwenezi, mawaziri na manaibu,. Waliobaki...
Team zote zinasajili na kutangaza sajili zao ila club ya Soka ya Simba Tanzania zinasikika tetesi ila hazikamiliki!
Je hiyo ndo professionalism au? Maana dunia nzima hata huko ulaya kuna hekaheka na wadau wanasikika lakini he sie Simba ndo tumekua proffesional kuliko hata huko ulaya...
Kiufupi ule ubabe wa Yanga aka uto in dhahiri umerejea. Naona wengi sasa wanasimba tunawabeza lakini ukweli tusipoangalia hawa jamaa wanakuja kuchukua mafanikio yetu.
Kumbuka tuna wachezaji umri umewatupa kama John Boco, Onyango wakipata injury tu basi tumekwisha msimu ujao.
Kwa Kuanzia tu ni kwamba Daktari wa Timu ya Taifa ya Congo DR amewashangaa Yanga SC Kumsajili Beki Shabaan Djuma ambaye ni 'proin injury Player' wakati aliwashauri Wasimsajili.
Pili baada ya Kocha Nabi kurejea Likizoni sasa amezozana na Uongozi wa Yanga SC kwa Kumsajili Mshambuliajj Herritier...
Kampuni ya Tencent ambayo ni wamiliki wa app ya WeChat ambayo inatumiwa zaidi na wachina, wamesitisha usajili wa watumiaji wapya wa mtandao huo.
Wamefikia hatua hiyo ili waweze kuboresha mifumo yao ya ulinzi ambao utakamilika mwezi Agosti.
Taarifa ya Tencent imesema kuwa maboresho yanafanyika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.