usajili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Kukurupuka katika usajili kwa Simba na Yanga ni kiashiria kuwa tuna safari ndefu sana

    Usiku huu nilianza kuona tetesi za usajili wa Chikwende! Kama ni kweli, hiki ni Kielelezo kingine cha kukosa weledi katika menejimenti ya Soka! Inawezekana Rais alikuwa sahihi aliposema Tatizo la doka la Tanzania ni Simba na Yanga! Katika hiki kinachoitwa uwekekezaji katika hizi timu mbili...
  2. Bilionea Asigwa

    Wafugaji wa kuku wa nyama na mayai wasiosajiliwa kuchukuliwa hatua

    Wafugaji wa kuku wa nyama na mayai wametakiwa kujisajili kisheria ili waweze kutambulika na kufanya kazi ya ufugaji kwa ufuata sheria zilizowekwa. Imeelezwa kuwa wote ambao hawajasajiliwa lakini wanafanya kazi ya ufugaji kuku, hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yao. Mpaka sasa takwimu...
  3. Analogia Malenga

    Vodacom Foundation wapambana kurejeshewa usajili wao

    Mfuko wa Kusaidia Jamii wa Vodacom (Vodacom Foundation) kama kampuni ambalo lilikuwa na ukomo wa ahadi ambalo linasaidia jamii na hivyo halikuwa na malengo ya kukuza biashara au uwekezaji lilifutwa kwa tangazo la BRELA la Septemba 11, 2019. Mfuko huo ambao umekuwepo nchini tangu Oktoba 2007 na...
  4. C

    Kucheleweshwa kwa Hela za kujikimu kwa wanafunzi wa elimu ya juu, mpaka pale watakapo lipa Hela ya usajili na kusajiliwa chuoni

    Wakuu naomba Muongozo juu ya hili suala. Je ni sahihi kwa chuo kuchelewesha hela za wanafunzi kwa kigezo cha lazima wasajiliwe chuoni wakiwa wameshalipa hela ya usajili, wakati miongoni mwa hao wanafunzi wanategemea hela hizo za kujikimu kuendesha maisha na kulipa pesa kama hizo wanazodaiwa...
  5. The Humble Dreamer

    Tume ya Vyuo Vikuu (TCU) iwafutie usajili wanafunzi wanaorekodi na kusambaza video chafu mitandaoni

    Wakuu Salaam: Siku za karibuni kumekuwa na usambaaji wa video chafu kwenye mitandao ya kijamii na jambo hili linaendelea kukua miongoni mwa wanafunzi wa Elimu ya juu. Na waliohusika katika video wapo pamoja na kwamba kumekuwa na matamko toka uongozi wa vyuo lakini bado hakuna fundisho. Hawa...
  6. GENTAMYCINE

    Wana Yanga SC tusikubali Usajili wa hawa akina Kisinda, Sarpong na Tonombe; ni mbovu. Tuandamaneni ili akina Yikpe, Molinga na Tshishimbi warudi

    Nikiwa kama mwana Yanga SC tena Mwanachama wake kabisa GENTAMYCINE mapema kabisa kabla hata 'Dirisha' la Usajili halijafungwa Usiku wa leo nakuwa wa Kwanza kabisa Kupinga 'Usajili' huu 'Mbovu' kabisa wa hawa Wachezaji akina Kisinda, Sarpong na Tonombe badala yake nataka akina Yikpe, Molinga na...
  7. kavulata

    Alichokosea Dr. Msolla kuhusu mashabiki Yanga kuchangia usajili

    Dr. Msolla kwa nia njema kabisa alisema kuwa wadau wa Yanga wachangie fedha ya kusajili wachezaji 2 wa kigeni. Kwa kauli hii dk Msolla Amevuruga saikolojia ya wachezaji, amevuruga saikolojia ya Wana Yanga na amewapa nafasi upande wa pili kutibua vichwa vya wachezaji na mashabiki wa Yanga kuwa...
  8. demigod

    Sikuamini nilipoambiwa kuwa Senzo aliondoka na ramani ya usajili, sasa nimeamini

    Hivi mashabiki wenzangu mnapendezwa na namna ya usajili wetu unavyoenenda hivi sasa. Ona sasa vituko hivi, Kuna mshambuliaji kutoka Lusaka Dynamo Chrispine Mugalu (ambaye huenda akasaini ndani ya siku 2 zijazo klabuni kwetu). Huyu ni forward ambaye takwimu zake za ufungaji ni za kiduwanzi...
  9. GENTAMYCINE

    Wana Yanga SC Wenzangu hivi ni mpaka lini Simba SC itaendelea 'Kutunyayasa' namna hii katika Usajili? Tuwafukuzeni upesi GSM na Msola watuachie Timu

    Nikiwa kama Mshabiki Mwandamizi kabisa wa Yanga SC 'nimekerwa' sana na aina ya 'Unyanyasaji' wa 'Kimafia' kabisa tunaofanyiwa na Timu bora si tu Tanzania bali Afrika ya Mashariki na Kati, Duniani hadi hadi Mbinguni ya Simba Sports Club halafu Sisi Wanayanga tunabaki 'Kunyamaza' tu pekee. Wiki...
  10. T

    "Kamilisha usajili wa ugali kwa alama ya mchicha"

    Alisikika kijana mmoja akinadi biashara yake ya mchicha. Wabongo mna maneno!
  11. GENTAMYCINE

    Kwa Usajili huu mzuri na Kabambe kabisa unaofanywa na Yanga SC sasa, bila shaka Makocha wao wapya kutoka nchini Hispania ni hawa wafuatao

    Kutokana na Usajili wanaoufanya sasa ambao 'Kitaalam' na 'Kiufundi' ni wa Kipumbavu (Kipopma) ukiachilia mbali ni wa Kimasikini pia, Mabingwa wa Kutochukua Kikombe chochote ndani ya Miaka Mitatu Yanga SC tayari wameanza Kututambulisha 'Kisiri' Makocha wao wapya ambao nahisi watakuwa ni hawa...
  12. OKW BOBAN SUNZU

    Kama ni rasi, Vaa jezi pitia jangwani ulambe usajili

    Asubuhi hii hapa jangwani tunajaribu bahati yetu
  13. mugah di matheo

    Tetesi kuhusu usajili Bongo kuelekea msimu 2020/21

    Karibuni tuelezane Tetesi za usajili VPL na FDL. Taja jina la mchezaji anatoka timu gani, anaenda wapi Naanza na Charles Ilanfya (KMC) kwenda Simba Mwamnyeto (Coastal Union) kwenda Yanga/Simba/Azam Awesu Juma (Kagera) kwenda Yanga Kigi Makasi (Ndanda) kwenda Dodoma Jiji
  14. Miss Zomboko

    Aliyefanikisha usajili wa Samatta atupiwa virago nje

    Klabu ya Aston Villa imemfuta kazi mkurugenzi wake wa michezo , Jesus Garcia Pitarch baada ya kukosoa sera za usajili za klabu hiyo. Mshambuliaji wa klabu ya AstoNVilla, Mbwana Samatta akimzunguka mlinzi wa Leicester City, John Evance katika mechi ya EPL. Pitarch aliondoka klabuni hapo siku ya...
  15. Influenza

    Ligi Kuu Tanzania Bara: Wachezaji 5 kubadilishwa katika mchezo mmoja. Usajili kuanza Agosti Mosi

    Shirikisho la Soka Nchini (TFF) limezingatia maelekezo ya FIFA katika kukabiliana na changamoto za #COVID19 ambapo katika mchezo mmoja timu itaruhusiwa kubadili hadi Wachezaji watano badala ya watatu Limesema marekebisho hayo yamefanyika katika Kanuni ya 14 (25) ya Ligi Kuu, Kanuni ya 14 (25)...
  16. M

    TBS na Usajili wa Hotel, maduka na Posho mills

    TBS imetoa tangazo na muda kwa wenye biashara tajwa hapo juu kujiandikisha. Jambo la kwanza ni kuwa muda waliotoa ni mfupi sana kwa mfano kwa posho mills ambazo zimesambaa mpaka vijijini sidhani kama muda huo utatosha. La pili, ndani ya website yao hakuna application form kwa ajili ya kuomba...
  17. H

    BASATA lamfuta usajili “Dudubaya”

    Baraza la Sanaa Tanzania lamfutia usajili msanii Godfrey Tumaini maarufu Kama "Dudu baya" kwa kosa la kutumia mtandao wake wa Instagram kuwatukana wadau wa mziki. Hivi karibuni msanii huyo alitumia maneno mabaya na kauli chafu kumtupia Mkurugenzi Mkuu wa Benchmark "Madam Rita" kwenye sakata...
  18. winnerian

    Naomba elimu juu ya Ulipaji wa Kodi zote stahiki za Kampuni baada tu ya kukamilisha Usajili na kuanza biashara

    Naelewa kuna kodi nyingi zinazostahili kulipwa TRA, ila kuna taratibu nyingi pia katika kuzilipa hizi kodi pamoja na kuandaa taarifa nyingi kwa nyakati tofauti katika mwaka. Naomba kwa wale wenye uelewa na hii elimu watupe katika mtiririko mzuri.
  19. Influenza

    NACTE yavifutia usajili Vyuo vya Ufundi 10 kutokana na kutokidhi vigezo

    Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) limevifutia usajili vyuo 7 kikiwamo Time School of Journalism (TSJ), kwa kutokidhi vigezo vya kutoa mafunzo yanayoratibiwa na baraza hilo. Mkurugenzi wa Uthibiti, Ufuatiliaji na Tathmini, Dkt. Geofrey Oleke amesema Baraza limevitaarifu vyuo husika kwa...
  20. R

    NIDA

    Serikali kupitia mamlaka yake ya Usajili wa Vitambulisho vya Taifa (NIDA) ilitoa muongozo wa kupata namba yako ya NIDA kwa njia ya kielectronic kama tayari MTU kishafika kwenye mamlaka halisi na kujisajili lakini anasubilia namba. Cha kushangaza ,Unapo andika ombi La kupata namba huambiwa ombi...
Back
Top Bottom